Urusi imepanga kufanya gwaride la maadhimisho ya siku ya mashujaa Mei 9 kwenye mji walioteka wa Mariupal

Urusi imepanga kufanya gwaride la maadhimisho ya siku ya mashujaa Mei 9 kwenye mji walioteka wa Mariupal

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
1,782
Reaction score
3,525
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya dunia, AFP inaripoti.

Idara ya upelelezi ya kijeshi ya Ukraine ilisema afisa kutoka utawala wa rais wa Urusi amewasili Mariupol kusimamia mipango ya gwaride hilo. Katika taarifa, ilisema: Mariupol itakuwa kitovu cha 'sherehe'. Mitaa ya katikati mwa jiji inasafishwa kwa haraka na uchafu, miili na vifaa visivyolipuka.

Meya wa Mariupol, Vadym Boichenko, baadaye aliiambia televisheni ya Kiukreni kulikuwa na "kazi" zinazoendelea katika jiji hilo, kana kwamba Warusi walikuwa wakitayarisha jambo fulani.

NB: Richa ya kuongezeka kwa propaganda za magharibi kuwa Russia imetetereka kwenye hii vita; Naona mbabe...Putin anataka aionyeshe dunia na kuhalarisha kuiteka na kuitawala miji kadhaa ya Ukraine kama vile Donetsk, luhansik, mariupal na kherson.


source: AFP na 'the gardian'

Ukraine has accused Russia of planning to hold a ‘Victory Day’ military parade in the captured city of Mariupol on 9 May to celebrate victory over the Nazis in the second world war, AFP reports.

Ukraine’s military intelligence said an official from Russia’s presidential administration had arrived in Mariupol, to oversee plans for the parade.

In a statement, it said:

Mariupol will become a centre of ‘celebration’. The central streets of the city are urgently being cleaned of debris, bodies and unexploded ordnance.
Ukraine’s military claimed a “large-scale propaganda campaign” is under way, adding:

Russians will be shown stories about the ‘joy’ of locals on meeting the occupiers.
Mariupol’s mayor, Vadym Boichenko, later told Ukrainian television there were ongoing “works” in the city, as if the Russians were preparing for something.

Boichenko said:
 
aisee tuache utani Urusi akishateka eneo kama hilo la mariupal nakwambia hakuna hata inzi anaeweza kuruka hapo.. wana ulinzi wa kiwango cha juu sana...
Wewe unawamini walevi wanya vodka. Si walisema atakayeingilia atakutana na kitu kizito sasa ivi kila nchi inasaidia Ukraine. Mpaka sasa tunapoelekea na majeshi ya kulinda amani ya Africa yataenda kuwasaidia Ukraine. Utakuja kujiona wa ajabu
 
Hilo haliwezi tokea kwani Puttin anajua muda wa kuendelea Kukaa ndani ya ardhi ya Ukraine unahesabika.
Sidhani kama NATO imeona kuna shida Russia kufanya parade hapo sababu ina uwezo wa kuanzisha upinzani ili kuchafua hewa eneo hilo. Nakumbuka siku za nyuma walisema kuwa dhumuni ni kuona vita ikisonga mbele kwa kuchukua muda mrefu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom