Pole sana kwa kweli, naona hujui ulisemalo.aisee tuache utani Urusi akishateka eneo kama hilo la mariupal nakwambia hakuna hata inzi anaeweza kuruka hapo.. wana ulinzi wa kiwango cha juu sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa kweli, naona hujui ulisemalo.aisee tuache utani Urusi akishateka eneo kama hilo la mariupal nakwambia hakuna hata inzi anaeweza kuruka hapo.. wana ulinzi wa kiwango cha juu sana...
Mtani ameitikia kinyonge. Mimi sioni kama kuna shida wao kufanya parade hapo kwani upo wakati wataachia tu hilo eneo hapo, usikute Russia anafanya hivyo ili Ukraine ijikite zaidi kukomboa eneo hilo before tarehe 9 huku wakiachia nafasi mambo mengine ya msingi. Ukraine kwa sasa ijikite zaidi kutafakari nini cha kufanya ktk pambano hili.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongea ushuzi wwMkuu kuna kitu sisi wamasai tunaita "MASAKA" hiyo ni zaidi ya mauaji ya kimbari. Sasa kama ndani ya Russia maeneo ya kuzika wanajeshi wake yamekwisha basi sio mbaya gwaride likaandaliwa hapo Mariupal
lakini si wao ukraini na washirika wao ndo wameongea hayo?Wewe unawamini walevi wanya vodka. Si walisema atakayeingilia atakutana na kitu kizito sasa ivi kila nchi inasaidia Ukraine. Mpaka sasa tunapoelekea na majeshi ya kulinda amani ya Africa yataenda kuwasaidia Ukraine. Utakuja kujiona wa ajabu
Wewe ni kichaa?Mkuu kuna kitu sisi wamasai tunaita "MASAKA" hiyo ni zaidi ya mauaji ya kimbari. Sasa kama ndani ya Russia maeneo ya kuzika wanajeshi wake yamekwisha basi sio mbaya gwaride likaandaliwa hapo Mariupal
Ila sijamfikia Puttin
Imedhibitika.Sio kweli kuwa sherehe zitafanyika mariupol
Moderators wekeni hii habari jukwaa la Udaku sherehe zinafanyika st Petersburg Russia
Sherehe zinafanyika wapi mrusi mwenye sherehe ndio yuko correctImedhibitika.
So unajua Zelewinky anaupiga mwingi.? Propaganda
Zinafanyika red square Moscow sasa hivi angalia BBC au CNN au CGTN au Aljazeera au Skynews wanaonyesha liveVipi Sherehe hapo mariupol Mkuu tunaomba mrejesho.
Akili za baadhi ya Pro Putin wanazijua wao tuVipi Sherehe hapo mariupol Mkuu tunaomba mrejesho.
Sisi tunamuuliza mleta mada aliotuhakikishia sherehe zitafanyikia hapoBado Mariapol hapana usalama! Sidhani kama watafanyia kwenye mji huo.
Sisi tunamuuliza mleta mada aliotuhakikishia sherehe zitafanyikia hapo
we sijui shule uliyosoma imekusaidiaje!! wengine Jamii forum mnaivamia tu ilitakiwa muwe kwenye level zenu za Instagram na Facebook......
nakusihi rudia soma tena kilichoandikwa.. hii ni (nukuu) quote ya wanalichosema nchi za magharibi juu ya wasiwasi wao kama urusi anaweza kufanya gwaride la maadhimisho ya siku ya mashujaa kwenye ardhi ya ukraine (Mariopaul) wala sio mimi kwamba nimebuni kutoka kichwani. .wala sio urusi aliyetangaza kufanya hivyo.. bali ni wale ndugu zenu (waukraine) kwa sababu ya wasiwasi wao juu ya maamuzi ya urusi.. soma tena...
Nimepiga kambi hapa nasubiri majibuMkuu samahani lakini na Mimi nanukuu maneno yako ya kwenye hiyo habari na nakuuliza swali pia haya maneno uliyanukuu kutoka huko ulikonukuu? Nanukuu
"NB: Richa ya kuongezeka kwa propaganda za magharibi kuwa Russia imetetereka kwenye hii vita; Naona mbabe...Putin anataka aionyeshe dunia na kuhalarisha kuiteka na kuitawala miji kadhaa ya Ukraine kama vile Donetsk, luhansik, mariupal na kherson."