Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Hebu nikumbushe Patriot zilipelekwa lini Ukraine, na zimekua deployed wapi na wapi? Inawezekana hii habari sikuisikia labda.
 
Mbona husemi Urusi tumia nuclear ili tuamini kama wewe ni superpower?? Should russia use any means to defeat Ukraine?? No haikubaliki kutumia silaha za maangamizi Ukraine ndio maana wanatumia muda mrefu kumaliza vita ,,,,
 
Alisikika mtetezi mmoja wa upinde wa mvua aking'aka
 
Wewe ni mjinga bwashee, sasa ndo unasema nini au ndo kuchanganyikiwa? Ukraine ni jimbo ndani ya Russia hahahahahaha!

Kichwa kipo empty bwashee, ujui hata unaongelea nini ndo uweze kuchambua masuala mazito ya kisiasa duniani?
Punguza ujuaji mkuu...
Umeelewa kweli alichoandika!?
Halafu hasira na kejeli za nini? Au ndio khofu ya kukosa ufadhili wa vilainishi?
 
Patriot haiwezi kudetect na kuzuia hypersonic missile...

T14 Armata
 
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani hasara zote alizopata mpaka sasa unaita ' store clearance'....?
 
Siku 3 sasa zimekua tunanza utafuta mwaka na nusu aisee
Unajua mlizoea kupiga Iraq nchi dhaifu na isiyo na msaada wowote kwa umoja wa NATO Kwa mwezi mmoja.

Yugoslavia NATO walipigana mambomu kwa almost mwezi.

Libya USA na ufarasnsa mwezi.

Sasa mmeunganisha nguvu zeniu zote,mnachangishana silaha Hadi mnaishiwa,mmeweka vikwazo vyote kabisa hapa Duniani,halafu mnaanza kuhesabu siku.

Sasa hebu tuangalie USA na NATO wake wote na wapambe wengine walitumia mda Gani kupigana na vikundi TU,wala sio nchi.vikundi. Vya Al qaida na talaban huko afghanisatani.

Sasa linganisha Ukraine inayopewa misaada yote kutoka sio nchi zote za NATO pekee,Bali na nchi zote za west.

Halafu linganisha hizohizo nchi zote za west zinapigana na vikundi vya Al qaida na talaban kwa miaka 20.
Ukiweza kutulia na kufanya ulonganifu huu ndio utajua nani mwamba kati ya NATO na Urusi.
Hii ni kwa faida Yako na wengine wenye mawazo ya kuhesabu muda wa hii SMO.
 
We nae ni mpuuzi puuzi tuu..huna unalojua...hufai hata kwenda veta..wewe rudi secondary kabisa mana hata uandishi wako unatia kichefuchefu.. kama USA anajiamini kwa nini asipeleke tako pale ukraine mazima..mbona anaiba iba na hao NATO.
 
Point muhimu sana hii.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺ
Umemaliza mwamba.
 
Mara masaa 3, Mara siku 3, Mara wiki 3, Mara miezi 3, Mara miaka 3, Mara miongo 3
Tuelewe kipi? Mnachosha mashabiki wa vita
Kweli hawa jamaa wanatuchanganya na hii vita yao ni kama vile kuna mambo ya kutoa masiraha yao yaliyokaa store muda mrefu yatumike.

But kama mtu ana masiraha mazito hivyo how asimalize mchezo kwa kuda mfupi ili maisha yaendelee?.
 
S-300 na TOR zimepigwa na Ukraine jana. Ushindwe silaha ndogo za angani uje uweze hypersonic missiles
 
Wapi USA walitia mguu na wakamaliza habari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…