Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Hakuna air defence system ya kuzuia hypersonic missiles nchi yoyote. Na bado Russia haina missiles nyingi, na hizo missiles hazina payload kubwa kwamba zinafanya uharibifu kuliko missiles nyinginezo, hizi hypersonic ziko undefeated ila ni gharama kubwa.

Badala ya kutumia hypersonic missiles Russia ingefanya SEAD mission ikawa inapitisha ndege na kudondosha mabomu kirahisi. Na kutumia makombora yasiyo ya gharama, badala yake ndege zinaangushwa na makombora baadhi yanadondoshwa. Wanalazimika kudunduliza hypersonic missiles kujitutumua.

S-300 nyingine hii Ukraine waliharibu
 
CC: m-Yukrein wa Kajiado MK254 ,
m-Yukrein wa Namanyele kp kipanya44
 
Hivi HIMARS zimeishia wapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 , vile vidrone vya Uturuki siku hizi havitengenezwi tena? Abraham na Leopard zitafika lini, Armored vehicles kutoka NATOA hasa AUSTRALIA NA CANADA mmezisikia tena?
Ukitaka kujua kazi yake muulizie former deputy Prime Minister na mkuu wa ROSCOSMOS, Dmitry Rogozin alikolazwa atakwambia nini maana ya HIMARS
 
Teh teh teh 😂😂 yaani hasara zote alizopata mpaka sasa unaita ' store clearance'....?
Ukihesabu hasara kwa Urusi compare na hasara kwa upande wa pili.
-Urusi kapata hasara kiasi Gani.
-Ukraine kapata hasara kiasi Gani.
-nato wamepata hasara kiasi Gani.
- ambao sio NATO wamepata hasara kiasi Gani..

Urusi = Ukraine+NATO + non NATO.

Maana Urusi hakua anapiga makombora hewani,wala risasi ,wala mabomu.alikua anapiga vitu na silaha za maadui zake.
Askari wake wamepiga na wao kupigwa.
Sasa tuuangalie na upande wa maadui zake Hali ikoje?
Wamepata hasara kiasi Gani.
Maana tumesikia na kosoma wote Mimi na wewe kua memba wa NATO walilalamika kua wameishiwa akiba ya silaha kwenye maghala Yao.

Tumsifu yesu kristu.
 
Kweli hawa jamaa wanatuchanganya na hii vita yao ni kama vile kuna mambo ya kutoa masiraha yao yaliyokaa store muda mrefu yatumike.

But kama mtu ana masiraha mazito hivyo how asimalize mchezo kwa kuda mfupi ili maisha yaendelee?.
Hivi unafikiri kikifanyika kilichofanyika Hiroshima na Nagasaki utakua utu kweli huo?
Do you think about the inocents?
 
Silaha=✓
Siraha=x
 
Hizo zana za uhakika wanazipata wapi na siku gani,,!?
wakati bwana put in,, anazidi kujipakulia minyama,, soon ukrein inakuwa bidhaa ya Russia,,
 
Yeye hajui kiingereza wewe hujui kishwahili, unakosea sana Tuliza munkari.Vita iendelee mashabiki wenzangu.
 
Labda kongo, somalia tu walikula fito za makalio na wakakimbia.HALAFU SI WATIE TIMU MBONA HAWAENDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…