Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

👍
 
Kwajinsi upinde walivo na genye mshindo,kwanini Mpaka sasa wanajificha kumpiga mrusi, tatizo nini
 
Wacha uwongo na propaganda; Patriot system hazijafika Ukfraine kwa vile bado wanapewa mafunzo namna ya kuzitumia.
 
Kama Afghanistan [emoji1023] sio
 
Ww unaongea Russia , w
amalizane na Iran kwanza kule kambi zao zilivyogeuzwa kifusi, Iran ni nchi pekeake kwa miaka hii ya karibuni iliofanikiwa kupiga Ballistic missiles kambi za marekani hakuna nchi yyte inayofkiria kufanya hivyo, mbona hakujibu mpaka leo kwa wajukuu wa Huseyn, unafkri huyo marekani hana mahesabu nani wa kuingia nae vitani yaani anaingia tu, uliza miongoni mwa sababu DT walimuondoa haraka madarakani maana wamarekani
 
Nakukumbusha tu. Mifumo ya PATRIOT haijafika nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine bado wanapewa mafunzo ya matumizi ya Mifumo hiyo nchini Ujeruman na Poland. Patriot zitafika nchini Ukraine mwanzoni mwa mwezi wa 6 mwaka huu. Usifikilie kwamba Silaha ni kama Chakula kwamba Wakitangaza kuipatia Ukraine Silaha basi wewe kwa akili yako finyu unafikilia tayari kesho yake watazipeleka hizo Silaha.
 
Yeye hajui kiingereza wewe hujui kishwahili, unakosea sana Tuliza munkari.Vita iendelee mashabiki wenzangu.
Kishwahili = [emoji777]
Kiswahili = [emoji3581]
Kipofu na kiziwi wanachekana.
 
Wewe kweli kiazi, hizo kambi zilikuwa jimbo gani ndani ya USA?

Zile ni kuzuga hakukuwa na kambi bali ni maeneo ya kumpoteza adui

Wakati wanauliwa kila siku, takbiirrr haijawai kusaidia bwashee

Ile mligeuzwa mazuzu ili mjifariji, kiongozi wenu analiwa kichwa mchana kweupe, na hamna cha maana mmekifanya USA bwana ni wataalamu wa kuwapoza maadui

Mkuu wetu wetu wa majeshi auliwe kama mbwa, tena kwa kupigwa kombora alafu inaisha hivi hivi kweli Iran bado sana, hata TZ tungeingia vitani aise
 
Kwahio unataka kuniambia zilikua sio kambi unaongea ukiwa kijijini kwenu huko kwamba zile sio kambi ni sehem za kumpoteza adui, hapo tu kwanza sioni hoja wala sina mda mchafu wa kupoteza wa kubishana na ww
 
Hivi unaisifia urus kwa lipi sasa mwaka na nusu anaangaika tu na ukrein America hapigani na urusi kama yeye au mchina unayemsifia arushe kombora America ndiyo utamjua vita siyo silaha Bali bajeti ya kivita america bajeti yao wizara ya ulinzi kila mwaka hutengewa dola billion 636 dunia kote hakuna nchi inatenga Nusu ya hizo 636
 
Hii vita vya UKRAINE na RUSSIA vimeleta outcomes nyingi tofauti na imeweza na kuendelea kubadili mambo mengi katika huu ulimwengu tunao ishi kwani ukiangalia mwenendo wa DUNIA kwa sasa hasa USA na Western countries walivyoo struggle kutafuta kuungwa mkono na mataifa mengine zidi ya RUSSIA.

Ukitazama kuhusu vikwazo dhidi ya RUSSIA unaoana kabisa katika hili jambo wamefeli vibaya sana vikwazo walivyo viweka vimekwenda kuwaumiza sana EUROPEAN countries badala ya RUSSIA .

Matumizi ya DOLLA kwa sasa NCHI nyingi Dunia wameanza kubadili kwenye INTERNATIONAL TRADE kutumia DOLLAR kama International trade CURRENCY
Kwa Mfano, India kwa sasa wemekubalina na UAE watafanya biashara kwa RUPUEE
RUSSIA, IRAN, SAUDIA , RAQ wanakwenda kufanya biashara kwa kutumia YUAN currency ya China.

ANOTHER BLOW China ameweza kuwapatanisha SAUDIA na IRAN na CHINA kwa lugha rahisi ame score HUGE POINT ktk hili anakwenda kuwa na Big ROLE MIDDLE EAST (USA sio muhimu tena Middle East wamemuonysha sio muhim tena katika siasa zoa)

Ukraine kiukweli imesha malizika kinacho baki ni kujitutumua tu na hata wao wemshaliona hilo hakuna kitu watakacho achieve katika VITA ,,..EAST Of UKRAINE yote ile inakwenda kuwa RUSSIAN territory laabda miujiza itoke kurudi under UKRAINE.

ukita kujua UKRAINE wanaanza kui dump taratibu angalia NEWS BBC,CCN or DW katika midea za western hii vita hawalipi COVERAGE yakutosha kama zamani ilivyo kuwa.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Balance of power....inaanza kuchipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…