Urusi kaonesha mfano mbaya, Venezuela naye anafuata: Dunia inaanza kuharibika

Urusi kaonesha mfano mbaya, Venezuela naye anafuata: Dunia inaanza kuharibika

Kwamba umoja wa mataifa uliiruhusu U.S kuvamia Iraq ?
Hapana; ni kwamba kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa marekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya US
 
Hapana; ni kwama kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa mwarekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya US
Unasema hapana halafu maelezo yako una justify upumbavu wako unaotaka uonekane ndio usahihi.
 
Mfano mbaya umeonyeshwa na UMOJA WA MATAIFA kwa kutoikemea Urusi ilipovamia nchi huru ya Ukraine, lakini ikaikemea Israel ilipoingia Gaza kusaka magaidi walioivamia Israel na kubaka na kuchinja raia. UN imejaa unafiki na undimalakuwili na itakuwa wanakula RUSHWA sana.
 
Raia gani wa Israel kabakwa na ka chinjwa ?
 
Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Ukiona mtu anaitetea marekani ujuwe ni zuzu na hajielewi.
 
Usiseme sijui historia wewe ndio uniambie huo mwaka Tibet ni taifa ?
Unajua maana ya serikali? Hujui kuwa serikali ya tibet huongoza na Dalai Lama miaka yote ilikuwa taifa huru? Unajua kitu inaitwa "Ganden Phodrang"?
"
 
Ukiona mtu anaitetea marekani ujuwe ni zuzu na hajielewi.
.......na Ukuiona mtu haijui Marekani basi ujue mtu huyo si kuongea naye. Ni wale wa kusikia kwenye propganda tu wala hawajaui maisha ya kimarekani
 
Mfano mbaya umeonyeshwa na UMOJA WA MATAIFA kwa kutoikemea Urusi ilipovamia nchi huru ya Ukraine, lakini ikaikemea Israel ilipoingia Gaza kusaka magaidi walioivamia Israel na kubaka na kuchinja raia. UN imejaa unafiki na undimalakuwili na itakuwa wanakula RUSHWA sana.
Unakosea sana kulinganisha mgogoro wa urusi na Ukraine Vs Israel na Gaza . Hii ni migogoro miwili tofauti na sababu zake hazifanani hata kidogo.
 
Hapana; ni kwama kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa mwarekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya US
Tunajua sababu za kuingia Iraq ni kuwa ana silaha za nyuklia . Na mkaguzi mkuu wa UN hansce blix alikwenda na kuthibitisha Iraq hana silaha za nuclear . Sasa kilichosababisha marekani kuanzisha vita na kumkamata sadam hussein ni kipi?
 
Mtazamo mfupi huo uliojaa mawazo ya ugombea uhuru wa miaka sitini; Uingereza, Ufaransa na Israel wamevamia nchi gani. Mgawanyo wa ardhi baina ya Israel na Palestina ulifanywa na Umoja wa mataifa mwaka 1947 kufuatia mapendekezo ya United Nations Special Commission on Palestine. Waarabu wengine hawataki kuwapo kwa Tiafa la Israel, na ndiyo maana ya mgogoro huo. Wangetambua tu mipaka hiyo iliyowekwa na umoja wa mataifa kama Tanganyika ilivyotambua mipaka baina yake na nchi za Rwanda na Burundi ambayo iliweka na umoja wa mataifa baada ya vita ya kwanza, kusingekuwapo mgogoro.
Kati ya Israel na Palestine nani ambaye haheshimu mipaka iliyowekwa na UN?
Kwanini Israel inatambulika kama nchi wakati Palestine haitambuliki kama nchi bali kama mamlaka tu?
 
Inaelekea hujui kuwa walipitia umoja wa Mataifa, siyo kuwa walaijichukulia sheria mkononi bila umoja wa mataifa kujua. Ni kweli sababu walizotumia zilikuwa hafifu lakini walipitia njia sahihi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=DhWlPo3qxak

Wana Jf, Marekani iliivamia Iraq "kihalali". Hivyo kosa la Urusi ni kutotumia kidude kinachoitwa UN kuhalalisha kuivamia Ukraine.

Funzo kwenu wanajf ukitaka kujichukulia sheria mkononi kimataifa "kihalali" basi kitumie kidude UN. Mmeelewa?

Hii imenikumbusha satire ya yule Comedian Bassem Youssef alipowakejeli baadhi ya Pro-zionists pale aliposema "IDF ndio jeshi pekee duniani linalowaonya raia kabla ya kuwapiga mabomu! Ni jambo zuri lilioje hilo!.. Hivyo kwa mantiki hiyo hata majeshi ya Urusi kama yatawaonya na kuwapa tahadhari raia wa Ukraine kabla ya kulipua majumba yao basi tuko poa tu na Putin sio?, Habibi umeshawaonya vamia tu"
 
.......na Ukuiona mtu haijui Marekani basi ujue mtu huyo si kuongea naye. Ni wale wa kusikia kwenye propganda tu wala hawajaui maisha ya kimarekani
Kumbe wewe unazungumzia maisha ya kimarekani.? Mimi nakufungua ubongo wako uutambuwe uharamia unaofanywa na marekani.
 
Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
We ndina huna hoja yeyote na ndio maana nimekukaza kwa hoja ukakimbilia kutoa matusi.

Kipindi Israel ina teka maeneo ya Jordan, Syria na misri hiyo UN ilikuwa haujaundwa?
Mbona mpaka sasa Israel haijayarudisha hayo maeneo kwa wenyewe zaidi ya Sinai ambayo na yenyewe Misri alirazimika kuingia vitani kulikomboa?

Alafu hiyo UN inaongozwa na sheria moja hiyo ambayo ww umeishikia bango?

Hiyo UN iliyo haramisha nchi moja kumega ardhi ya nchi nyingine ,si ndo hiyo hiyo iliyoharamisha ,kuvamiwa mataifa mengine huru kama anavyo fanya Marekani kwenye nchi zingine?

Si ndo hiyo iliyo haramisha kuwaweka magerezani watoto chini ya miaka 18?
Si ndo hiyo hiyo iliyo weka sheria za vita kwa ajili ya kuwalinda raia kwenye uwanja wa vita ambazo kwa sasa hiyo Israel haizizingatii?

Ww ulicho kifanya ni kumlaani mwizi alafu wakati huo una msifia mbakaji na muuwaji.

Hiyo UN yako ipo kwa ajili ya Tz na Burundi na sio akina Marekani na Urusi na washirika.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unajua maana ya serikali? Hujui kuwa serikali ya tibet huongoza na Dalai Lama miaka yote ilikuwa taifa huru? Unajua kitu inaitwa "Ganden Phodrang"?
"
Dalali lama ni kiongozi wa dini na pia alikuwa ni land lord.

Tibet ni sehemu ya China kabla hata wazungu hawajapanda meli kwenda kuvamia North America.
 
Urusi imeonyesha mfano kuwa taifa moja linaweza kumega ardhi ya Taifa jingine na kuifanya yake, Venezuela naye sasa anafuata, anataka kumega nusu ya Guiyana ajichukulie. Hii lawlessness itaishia wapi, Je Tanzania nasi tujitwalie Burundi na Rwanda zote kwa vile wakati wa Mjerumani tulikuwa nchi moja?
Wameanza Isreal kuivamia Palestina
 
Unasema hapana halafu maelezo yako una justify upumbavu wako unaotaka uonekane ndio usahihi.
Una capacity ndogo sana kuajdiliana na mimi kwenye swala lolote iwapo unaanza kuniita mpumbavu. Kajifuze namna ya kujenga hoja kuliko kutumia matusi. Nimekuwapo hap JF zaidi ya miaka 16, ninajua matusi sana ila leo sitatumia lugha ya matusi kwako ila ninakushauri utafute watu wenye lugha za matusi huwa ninawajibu vipi; tena kwa lugah chafu kas=bisa kuliko walizotumia kwangu. Halafu uje unijibu kabisa sitakujibu rasmi kwa hii post hii.
 
Ushaanza ku panic wewe kafiri.

Ukweli ni kwamba kama mabwana zenu katika ukafiri wanavunja sheria walizojiwekea wenyewe au wanatetea kuvunjwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe huku wakijifanya ni watengenezaji na wabora, kwanini nyinyi mnapiga kelele wengine wanapozivunja kwa namna yao wao?

Au ubabe una watu wake maalum?
Mbora katika wakafiri au maamuna?
 
Una capacity ndogo sana kuajdiliana na mimi kwenye swala lolote iwapo unaanza kuniita mpumbavu. Kajifuze namna ya kujenga hoja kuliko kutumia matusi. Nimekuwapo hap JF zaidi ya miaka 16, ninajua matusi sana ila leo sitatumia lugha ya matusi kwako ila ninakushauri utafute watu wenye lugha za matusi huwa ninawajibu vipi; tena kwa lugah chafu kas=bisa kuliko walizotumia kwangu. Halafu uje unijibu kabisa sitakujibu rasmi kwa hii post hii.
Nimefarijika sana kuona mkuu Kichuguu uko active JF, ma ligend wengi wametupa kisogo.
 
Back
Top Bottom