Hapana; ni kwamba kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa marekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya USKwamba umoja wa mataifa uliiruhusu U.S kuvamia Iraq ?
Unasema hapana halafu maelezo yako una justify upumbavu wako unaotaka uonekane ndio usahihi.Hapana; ni kwama kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa mwarekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya US
Umepigwa spana kali sana na huyo jamaa hapo juu umeamua kumtukana. Kwakifupi kakushinda kwa hoja.[emoji1787]Wewe ni stupid na foolish kabisa kwa kuandika upumbavu huu hadharani
Raia gani wa Israel kabakwa na ka chinjwa ?Mfano mbaya umeonyeshwa na UMOJA WA MATAIFA kwa kutoikemea Urusi ilipovamia nchi huru ya Ukraine, lakini ikaikemea Israel ilipoingia Gaza kusaka magaidi walioivamia Israel na kubaka na kuchinja raia. UN imejaa unafiki na undimalakuwili na itakuwa wanakula RUSHWA sana.
Ukiona mtu anaitetea marekani ujuwe ni zuzu na hajielewi.Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Abadani asilani. Na wenyewe wanalijua hiloHivi unaielewa Rwanda vuzuri?
Tz inaweza kuishia kumegwa kilaini tu
Unakosea sana kulinganisha mgogoro wa urusi na Ukraine Vs Israel na Gaza . Hii ni migogoro miwili tofauti na sababu zake hazifanani hata kidogo.Mfano mbaya umeonyeshwa na UMOJA WA MATAIFA kwa kutoikemea Urusi ilipovamia nchi huru ya Ukraine, lakini ikaikemea Israel ilipoingia Gaza kusaka magaidi walioivamia Israel na kubaka na kuchinja raia. UN imejaa unafiki na undimalakuwili na itakuwa wanakula RUSHWA sana.
Tunajua sababu za kuingia Iraq ni kuwa ana silaha za nyuklia . Na mkaguzi mkuu wa UN hansce blix alikwenda na kuthibitisha Iraq hana silaha za nuclear . Sasa kilichosababisha marekani kuanzisha vita na kumkamata sadam hussein ni kipi?Hapana; ni kwama kesi ya US ilipitia umoja wa mataifa na dunia nzima ilijuwa concerns za US kuhusiania na vita hiyo. Siyo Kwamba rais wa mwarekani aliamka na kuamua kuwa tukachukue ardhi ya Iraki iwae mali ya US
Kati ya Israel na Palestine nani ambaye haheshimu mipaka iliyowekwa na UN?Mtazamo mfupi huo uliojaa mawazo ya ugombea uhuru wa miaka sitini; Uingereza, Ufaransa na Israel wamevamia nchi gani. Mgawanyo wa ardhi baina ya Israel na Palestina ulifanywa na Umoja wa mataifa mwaka 1947 kufuatia mapendekezo ya United Nations Special Commission on Palestine. Waarabu wengine hawataki kuwapo kwa Tiafa la Israel, na ndiyo maana ya mgogoro huo. Wangetambua tu mipaka hiyo iliyowekwa na umoja wa mataifa kama Tanganyika ilivyotambua mipaka baina yake na nchi za Rwanda na Burundi ambayo iliweka na umoja wa mataifa baada ya vita ya kwanza, kusingekuwapo mgogoro.
Inaelekea hujui kuwa walipitia umoja wa Mataifa, siyo kuwa walaijichukulia sheria mkononi bila umoja wa mataifa kujua. Ni kweli sababu walizotumia zilikuwa hafifu lakini walipitia njia sahihi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=DhWlPo3qxak
Kumbe wewe unazungumzia maisha ya kimarekani.? Mimi nakufungua ubongo wako uutambuwe uharamia unaofanywa na marekani........na Ukuiona mtu haijui Marekani basi ujue mtu huyo si kuongea naye. Ni wale wa kusikia kwenye propganda tu wala hawajaui maisha ya kimarekani
We ndina huna hoja yeyote na ndio maana nimekukaza kwa hoja ukakimbilia kutoa matusi.Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Dalali lama ni kiongozi wa dini na pia alikuwa ni land lord.Unajua maana ya serikali? Hujui kuwa serikali ya tibet huongoza na Dalai Lama miaka yote ilikuwa taifa huru? Unajua kitu inaitwa "Ganden Phodrang"?
"
Wameanza Isreal kuivamia PalestinaUrusi imeonyesha mfano kuwa taifa moja linaweza kumega ardhi ya Taifa jingine na kuifanya yake, Venezuela naye sasa anafuata, anataka kumega nusu ya Guiyana ajichukulie. Hii lawlessness itaishia wapi, Je Tanzania nasi tujitwalie Burundi na Rwanda zote kwa vile wakati wa Mjerumani tulikuwa nchi moja?
Una capacity ndogo sana kuajdiliana na mimi kwenye swala lolote iwapo unaanza kuniita mpumbavu. Kajifuze namna ya kujenga hoja kuliko kutumia matusi. Nimekuwapo hap JF zaidi ya miaka 16, ninajua matusi sana ila leo sitatumia lugha ya matusi kwako ila ninakushauri utafute watu wenye lugha za matusi huwa ninawajibu vipi; tena kwa lugah chafu kas=bisa kuliko walizotumia kwangu. Halafu uje unijibu kabisa sitakujibu rasmi kwa hii post hii.Unasema hapana halafu maelezo yako una justify upumbavu wako unaotaka uonekane ndio usahihi.
Mbora katika wakafiri au maamuna?Ushaanza ku panic wewe kafiri.
Ukweli ni kwamba kama mabwana zenu katika ukafiri wanavunja sheria walizojiwekea wenyewe au wanatetea kuvunjwa kwa sheria walizojiwekea wenyewe huku wakijifanya ni watengenezaji na wabora, kwanini nyinyi mnapiga kelele wengine wanapozivunja kwa namna yao wao?
Au ubabe una watu wake maalum?
Nimefarijika sana kuona mkuu Kichuguu uko active JF, ma ligend wengi wametupa kisogo.Una capacity ndogo sana kuajdiliana na mimi kwenye swala lolote iwapo unaanza kuniita mpumbavu. Kajifuze namna ya kujenga hoja kuliko kutumia matusi. Nimekuwapo hap JF zaidi ya miaka 16, ninajua matusi sana ila leo sitatumia lugha ya matusi kwako ila ninakushauri utafute watu wenye lugha za matusi huwa ninawajibu vipi; tena kwa lugah chafu kas=bisa kuliko walizotumia kwangu. Halafu uje unijibu kabisa sitakujibu rasmi kwa hii post hii.