antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mkuu, usichanganye mambo, tofautisha allah na Mungu. The later is supremeAsiyeshindwa ni Allah peke yake na anayejaribu kuchukua sifa hiyo lazima atamfedhehesha na kama alivyofanya kwa akina Fira'aun na wengine waliotangulia.
Apa Umepuyanga mzee[emoji4]Hiyo ardhi ilipogawanywa na UN Israel walipewa 55% na Wapalestina wakapewa 45% wakakataa wakitaka 100% yote. Wapalestina mpaka leo kuna makundi yanataka maeneo ambayo Israel haiwezi yatoa nayo yawe sehemu ya Palestina. Au wengine wanataka kabisa Israel ifutike waende sijui wapi na ardhi nzima iwe Palestina.
Kama unadhani Israel inatishika na mikutano wewe jidanganye tu, hiyo ni mikwara mbuzi kwao. Hakuna taifa la Palestina litaanzishwa kwa maeneo yaleyale wanayodai Wapalestina. Na hakuna taifa lolote litailazimisha Israel ikubali taifa la Palestina kinyume na msimamo wao wa do or die.
Pale suluhu ilikuwa ni mataifa mawili jambo ambalo wote hawataki. Huwezi wafukuza Wapalestina sababu walipolowea hapo baada ya Waisraeli kupigwa na Babylonian empire, utawala wa Byzantine, Roman empire na Muslim crusaders walizaliana hivyo ni kwao. Waisraeli walikimbia eneo lao sababu ya kuteswa na kunyanyaswa na kila jirani na kila state, hawakuikana au kuisahau ardhi yao (rejea wimbo wao wa taifa - Hatikva). Walikuwa goigoi, leo hii huwatoi hapo bora uwaue.
Huwezi waondoa Waisraeli sababu zaidi ya miaka 1400 nyuma ile ni ardhi yao, wana historia nayo na ushahidi kama magofu ya temple ya Suleiman upo.
Kwa akili ya kawaida tu, jiulize Wayahudi kwao wapi? Walijikusanya kutoka Uingereza, Ufaransa, Marekani, Canada, Misri, Uturuki, Urusi na kote uko walikuwa na tamaduni zilezile, lugha ileile na dini ileile. Kwahiyo Myahudi wa Marekani ilitokea zari tu akafanana kilakitu na Myahudi wa Uturuki maelfu ya kilometers mbalimbali? Jibu ni lazima kuna chimbuko lao, ndio hapo Israel sasa.
Ukitaka kuunda Palestina kwa masharti ya Wapalestina hawa basi waue Waisraeli wote. Nao wamejipanga kukusubiri, wakiwa na machungu na hasira za kuzunguka dunia nzima wakinyanyaswa kisa wamekimbia kwao. Sasa jichanganye waweke pembeni sheria za kimataifa waingie kwenye death mode.
Wenye msimamo ni Israeli au palestinaUhuru wa Palestina hauwezi kupatikana bila usuluhishi wa pande zote 2 kuhusishwa na kukubaliana. Palestina atataka baadhi ya maeneo na miji kutoka Israel ili aanzishe taifa hilo, je Israel atakubali takwa hilo? Hicho kitu haliwezekani, jambo jema ambalo lingezaa matunda ni kuundwa kwa taifa moja tu la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina ili iwe jamii moja, Hamas waache misimamo yao ya kidini. Bila hivyo itazuka vita vya 3 vya dunia, Israel hatanii na wala hawezi kuogopa mikwara ya Russia, China hata USA, tusubiri vita vikali sana kati ya Israel na maarifa ya kiarabu
Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika.
Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa taifa la Palestina kuwahi kupata ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo jipya ambalo tayari mataifa kadhaa ya Ulaya yameshatoa wito kwa Benjamin Netanyahu aondoe vikwazo vyake visivyokuwa na mashiko kuhusiana na taifa hilo.
Makundi yaliyoalikwa huko Moscow ni pamoja na Hamas wenyewe,Islamic Jihad yenye makao makuu Syria,PLO iliyoanzishwa na Yasser Arafat na makundi kadhaa mengine.kIkao hicho kinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Katika siku za karibuni viongozi wa Ufaransa,Uiengereza,Hispania na Ujerumani wamekuwa wakimshinikiza sana waziri mkuu wa Israel aache vipingamizi dhidi ya uundwajji wa taifa la Palestina.Macron wa Ufaransa amesema taarifa za kudai kuundwa kwa taifa la Palestina si siri tena na kwamba anataka ifanyike haraka.
Raisi wa Brazil kwa upande wake amepuuza sasa madai ya vifo vingi vya holocast.
Russia invites Palestinian factions to meet next week: Palestinian Authority PM
Marekani ameongoza dunian kwa kuuza silaha huko Israel Kila siku wanafyatua mabom ili Israel isianguke , mpaka hapo ilipofika kama sio marekan euro .nakuhakikishia hatachakula cha hao wanaheshi wangekosaWayahudi wanalalamika sababu kila ikitokea fujo ambazo hata hawajaanzisha wao, wao ndio uibuka washindi au kupata hasara kidogo. Hizi lawama ni sababu Wayahudi hawashindwi, wangekuwa wanashindwa kila mapigano basi Waarabu wasingelilia hizo haki.
Vipi kama Iran isingekuwa inaipa silaha Hamas.......Umeliangalia hilo....Jaribu kila mara kuangalia pande zote.Marekani ameongoza dunian kwa kuuza silaha huko Israel Kila siku wanafyatua mabom ili Israel isianguke , mpaka hapo ilipofika kama sio marekan euro .nakuhakikishia hatachakula cha hao wanaheshi wangekosa
hana hela ana maneno tu na kujimwambafai amesikika hivi karibuni kwenye interview ya Tucker akiomba west waache kupeleka misaada Ukraine ili amalize kazi. inaeleka Himmars zinamtesaHana uwezo kwa vipi kwani hujaona alivyowanyang'anya Ukraine Advidiika ?
waunde taifa moja ila gaza na west bank ziwe autonomous regions kama zilivyo honkong,macau,xianjin
Mgogoro ni complex, umebeba extremes kila upande, Israel na Palestina, Kumbuka kuanzishwa kwa Hamas ni extreme version ya Wapelestina, na Netanyahu na chama chake cha Likud kuunda serikali yake kachukua watu wa chama chenye extreme views....Ni vigumno kufikia ufumbuvi....Kama wangepatikana moderates pande zote, angalau mwelekeo wa amani ungeweza kufikiwa.
Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika.
Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa taifa la Palestina kuwahi kupata ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo jipya ambalo tayari mataifa kadhaa ya Ulaya yameshatoa wito kwa Benjamin Netanyahu aondoe vikwazo vyake visivyokuwa na mashiko kuhusiana na taifa hilo.
Makundi yaliyoalikwa huko Moscow ni pamoja na Hamas wenyewe,Islamic Jihad yenye makao makuu Syria,PLO iliyoanzishwa na Yasser Arafat na makundi kadhaa mengine.kIkao hicho kinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Katika siku za karibuni viongozi wa Ufaransa,Uiengereza,Hispania na Ujerumani wamekuwa wakimshinikiza sana waziri mkuu wa Israel aache vipingamizi dhidi ya uundwajji wa taifa la Palestina.Macron wa Ufaransa amesema taarifa za kudai kuundwa kwa taifa la Palestina si siri tena na kwamba anataka ifanyike haraka.
Raisi wa Brazil kwa upande wake amepuuza sasa madai ya vifo vingi vya holocast.
Russia invites Palestinian factions to meet next week: Palestinian Authority PM
Kama Israel hatanii basi na wengine nao hawana utani pia.Watambana mpaka ataachia taifa liundwe kwa usalala wake.
Urusi anachokitaka kwa ukraine kinatofauti gani na islael anachikifanya kwa palestina?. Wote ni wavamizi.Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika.
Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa taifa la Palestina kuwahi kupata ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo jipya ambalo tayari mataifa kadhaa ya Ulaya yameshatoa wito kwa Benjamin Netanyahu aondoe vikwazo vyake visivyokuwa na mashiko kuhusiana na taifa hilo.
Makundi yaliyoalikwa huko Moscow ni pamoja na Hamas wenyewe,Islamic Jihad yenye makao makuu Syria,PLO iliyoanzishwa na Yasser Arafat na makundi kadhaa mengine.kIkao hicho kinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Katika siku za karibuni viongozi wa Ufaransa,Uiengereza,Hispania na Ujerumani wamekuwa wakimshinikiza sana waziri mkuu wa Israel aache vipingamizi dhidi ya uundwajji wa taifa la Palestina.Macron wa Ufaransa amesema taarifa za kudai kuundwa kwa taifa la Palestina si siri tena na kwamba anataka ifanyike haraka.
Raisi wa Brazil kwa upande wake amepuuza sasa madai ya vifo vingi vya holocast.
Russia invites Palestinian factions to meet next week: Palestinian Authority PM
Hiyo ardhi ilipogawanywa na UN Israel walipewa 55% na Wapalestina wakapewa 45% wakakataa wakitaka 100% yote. Wapalestina mpaka leo kuna makundi yanataka maeneo ambayo Israel haiwezi yatoa nayo yawe sehemu ya Palestina. Au wengine wanataka kabisa Israel ifutike waende sijui wapi na ardhi nzima iwe Palestina.
Kama unadhani Israel inatishika na mikutano wewe jidanganye tu, hiyo ni mikwara mbuzi kwao. Hakuna taifa la Palestina litaanzishwa kwa maeneo yaleyale wanayodai Wapalestina. Na hakuna taifa lolote litailazimisha Israel ikubali taifa la Palestina kinyume na msimamo wao wa do or die.
Pale suluhu ilikuwa ni mataifa mawili jambo ambalo wote hawataki. Huwezi wafukuza Wapalestina sababu walipolowea hapo baada ya Waisraeli kupigwa na Babylonian empire, utawala wa Byzantine, Roman empire na Muslim crusaders walizaliana hivyo ni kwao. Waisraeli walikimbia eneo lao sababu ya kuteswa na kunyanyaswa na kila jirani na kila state, hawakuikana au kuisahau ardhi yao (rejea wimbo wao wa taifa - Hatikva). Walikuwa goigoi, leo hii huwatoi hapo bora uwaue.
Huwezi waondoa Waisraeli sababu zaidi ya miaka 1400 nyuma ile ni ardhi yao, wana historia nayo na ushahidi kama magofu ya temple ya Suleiman upo.
Kwa akili ya kawaida tu, jiulize Wayahudi kwao wapi? Walijikusanya kutoka Uingereza, Ufaransa, Marekani, Canada, Misri, Uturuki, Urusi na kote uko walikuwa na tamaduni zilezile, lugha ileile na dini ileile. Kwahiyo Myahudi wa Marekani ilitokea zari tu akafanana kilakitu na Myahudi wa Uturuki maelfu ya kilometers mbalimbali? Jibu ni lazima kuna chimbuko lao, ndio hapo Israel sasa.
Ukitaka kuunda Palestina kwa masharti ya Wapalestina hawa basi waue Waisraeli wote. Nao wamejipanga kukusubiri, wakiwa na machungu na hasira za kuzunguka dunia nzima wakinyanyaswa kisa wamekimbia kwao. Sasa jichanganye waweke pembeni sheria za kimataifa waingie kwenye death mode.
very unfortunate, Israel ameshaweka wazi kwamba kutokana na icho kilichotokea October 7, hawaoni watakuwa salama kama kutakuwa na nchi ya palestina pembeni yao, wameapa kamba hiyo ni ndoto ya mchana. hata hivyo westbank kuna wayahudi wakazi zaidi ya 600,000 hivyo kwao bora waishi na wapalestina ndani kuliko kuwapa nchi, hilo halitakuja kutokea na urusi hana uwezo wa kumpa maelekezo yeyote Israel. hii ndio bahati mbaya kwa wapalestina. hamas kawaponza sana.mazungumzo yalishaanza na saudia na quatar kutengeneza taifa, hamas wakatibua maji.Urusi baada ya kupata ushindi mnono kule Advidika dhidi ya Ukraine imejiona ina wajibu wa kushauriana na makundi yote ya kipalestina wakati ambapo vita vya Gaza navyo viko ukingoni kumalizika.
Inawezekana harakati hizo za Urusi ni kupiga hatua za mbele za mbele katika mchakato wa kuundwa kwa taifa la Palestina kuwahi kupata ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo jipya ambalo tayari mataifa kadhaa ya Ulaya yameshatoa wito kwa Benjamin Netanyahu aondoe vikwazo vyake visivyokuwa na mashiko kuhusiana na taifa hilo.
Makundi yaliyoalikwa huko Moscow ni pamoja na Hamas wenyewe,Islamic Jihad yenye makao makuu Syria,PLO iliyoanzishwa na Yasser Arafat na makundi kadhaa mengine.kIkao hicho kinatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Katika siku za karibuni viongozi wa Ufaransa,Uiengereza,Hispania na Ujerumani wamekuwa wakimshinikiza sana waziri mkuu wa Israel aache vipingamizi dhidi ya uundwajji wa taifa la Palestina.Macron wa Ufaransa amesema taarifa za kudai kuundwa kwa taifa la Palestina si siri tena na kwamba anataka ifanyike haraka.
Raisi wa Brazil kwa upande wake amepuuza sasa madai ya vifo vingi vya holocast.
Russia invites Palestinian factions to meet next week: Palestinian Authority PM
Alwaz: Hii attempt ya Hamas ya October 7 haitaki fikira nzito! Wamejaribu, Wameonya ujasiri, ni kama ule ujasiri wa waarabu wa vita vya mwaka 1973! Hatimaye Waarabu walipoteza zaidi.
Kwa kukusaidia tu Hamas wanapoteza Gaza! Sijui source ya habari ni ipi hasa, kinachozungumzwa sasa hivi ni reconstruction Gaza baada ya vita, na Hamas is not the major player! Itakuumiza, lakini ukweli ndio huo.
Hapo utaona Utengano wa Waarabu, na utaona Iran ni fundi tu wa kutumia proxy but not real war, utaona nguvu ya Marekani, hasa akiweka pressure zake za chinichini....
Kinachoumiza zaidi Rafah inaweza kuvamia kipindi cha Mfungo wa Ramadhani.....Sielewi kwa nini Israel imechagua kipindi hicho
Kwa hiyo attempt ya Hamas October 7 was very daring, lakini inaonyesha support ya Iran haikua kama walivyotarajia....Houthi haina msaada wowote....Inapoteza muda muda....Haibadili mwelekeo wowote wa Gaza.
Uko sawa mkuu....wengi assumption ni kwamba Hamas walipofanya vile walijua reaction ya Israel itakuwa kubwa, sasa ni nini walitegemea kwa malipizi ya Israel? Hapo ndipo inapokuja Iran......kwa sababu ni mfaziliwa wao mkubwa in terms of Military equipment's, hivyo ilidhaniwa Hiran itaingia vitani kuwasaidia....Mimi huwa sielewi kabisa kuhusu Iran
Hivi watu walitarajia Iran ifanye nini ili ionekane imei sapoti Hamas?
Vita ni gharama na RISK kubwa haswa kupigana DIRECT
Ndio maana unaona mpaka sasa ni vikundi tu kama Houth, Hezbollah vinavyo jaribu kuishambulia Israel na sio nchi kama nchi
Iran hawezi kufanya ujinga wa kuishambulia Isreal maana atakua kaipa sababu Dunia chini ya US kuishambulia
Anajua kabisa atakua anapigana na Dunia vs yeye
Ile nchi za kiarabu kuanza kurudisha uhusiano na Israel ndicho kilichowapa nguvu Hamas kufanya mipango madhubuti ya kutibua na kujitetea.very unfortunate, Israel ameshaweka wazi kwamba kutokana na icho kilichotokea October 7, hawaoni watakuwa salama kama kutakuwa na nchi ya palestina pembeni yao, wameapa kamba hiyo ni ndoto ya mchana. hata hivyo westbank kuna wayahudi wakazi zaidi ya 600,000 hivyo kwao bora waishi na wapalestina ndani kuliko kuwapa nchi, hilo halitakuja kutokea na urusi hana uwezo wa kumpa maelekezo yeyote Israel. hii ndio bahati mbaya kwa wapalestina. hamas kawaponza sana.mazungumzo yalishaanza na saudia na quatar kutengeneza taifa, hamas wakatibua maji.