Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

Hapa hata mi wa darasa la 4 nimepata concept
Usizolewe akili kirahisi namna hiyo.
Tumia akili uliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu kudadisi haya mambo, usiyachukulie kwa pupa bila kuyahoji.

Anachokwambia hapo huyo jamaa yako ni kwamba utu wake unathamani; unanunuliwa mradi tu bei itoshe bila kujali utu wake.
Mataifa ni hivyo hivyo. Kuna wanaokubali kuhadaiwa, kama akina Goberchef wa wakati huo na matokeo yake ndiyo yameifikisha nchi yake hapo ilipofika.
Mzee wa watu kafa kwa aibu kubwa hata msiba wake haikuwa wa kitaifa kwa aibu aliyoisababishia nchi yake.

Hawa waliopo kwenye madaraka wamekataa uhayawani huo waliofanyiwa na nchi za magharibi zilizopanga kumwingilia mRusi hadi kitandani mwake; kakataa upuuzi huo.
Sasa kibaraka waliyepanga kumtumia kufanya njama zao ndiye anayeonja joto ya jiwe, na wanazidi kumchochea, huku wakijua hataweza kuishinda vita hii, ambayo wao wenyewe wanaogopa kumkabili mRusi moja kwa moja.
 
Tutaendelea kuwaelimisha lakini wabishi huwa hawaelimiki.
EeenHeeeee!
Hakuna kitu hapo cha kujifunza mkuu wangu 'Bams'. Hakuna.

Hapa hakuna "swala la ubishi", ila kilicho wazi ni kwamba unaamini nadharia potofu kabisa, nadharia inayodhalilisha utu wa mtu anayeamini hivyo, au taifa, ambalo viongozi wake wana tabia za kujitweza kiasi hicho.
 
Wewe huwe na siri za vita ya ukereine na urusi wewe nani?
 
Hapa hakuna mwenye uwezo wa kujua idadi ya wanajeshi waliokufa hata wanajeshi wa urusi hawajui
 
Putin kavu sana nilikua namwona ni mtu wa maana kumbe Jinga fulani tu..kati ya vita vya kijinga hii nayo ya hovyo hovyo wanaua watu bila sababu harafu alisema anachukua Nchi sasa hivi anagombania maeneo madogo ambayo vita yake ni kama Israel na Palestinian katengenezewa vita kaingia...
 
Shule za kata hizi zimetuharibia kizazi.
For this reasoning capacity, I wonder if you managed to complete even F4. If yes, you ended up with 7F. Your carrying a Skull with full of Urojo.
 
Shule za kata hizi zimetuharibia kizazi.

For this reasoning capacity, I wonder if you managed to complete even F4. If yes, you ended up with 7F. Your carrying a Skull with full of Urojo.
Nyie ndo wasomi wa madesa🚮
 
Hebu tutajie misaada ambayo Ukraine amepata kutoka NATO ni ipi na ni lini
kwa hili swali ndo nimegundua we mtoa mada ni kiaz sasa ya nin kuchosha watu hapa kula viaz kata gogo.kalale [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Sasa Kuna warusi wa kiparang'anda wanakuja
 
Sasa Kuna warusi wa kiparang'anda wanakuja
Tunawasubiri waambie wakimbie. Hawana uwezo wa kujibu hoja zetu. Ni mazwazwa fulani hivi ambayo yanapiga porojo badala ya kujikita kwenye hoja.

Tumehoji mambo mengi sana yenye logic kakini hakuna anayeweza kutujibu zaidi ya matusi.

Wamelishwa upupu ndo wameng'anana NATO NATO.

1. They don't know about NATO Arsenals and its military power.

2. They don't know the role NATO is playing in Ukraine.
 
Shule za kata hizi zimetuharibia kizazi.

For this reasoning capacity, I wonder if you managed to complete even F4. If yes, you ended up with 7F. Your carrying a Skull with full of Urojo.
Baada ya yale uliyoandika kuonyesha ulivyo kitabia bado unatafuta nijibishane nawe kwa lolote?
Hiyo lugha huiwezi na kukufahamisha kwa mara ya mwisho, elimu yako ni mbovu sana kutokana na jinsi ulivyowasilisha mada yenyewe na namna uchangiaji wako unavyojionyesha kwenye mada.

Kwa hiyo, hili la elimu, huna chochote cha kujivunia watu wakutambue kwamba unayo elimu nzuri.
Kama utakuwa na akili kidogo utakuwa umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…