kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
UteuziHivi mnapomalizaga kwa kuweka namba ya simu huwa mnataka nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UteuziHivi mnapomalizaga kwa kuweka namba ya simu huwa mnataka nini ?
🤣🤣🤣Sawa , bado upo ndotoni , amka sasa kumekucha ,
Mwonyeshe alipokosea mkuu 'Bams', nasi wengine tutafaidika.Duh! We kweli Chakubanga, maana uelewa kuhusu mifumo ya fedha inavyofanya kazi ni zero kabisa.
Tanzania balaa mtu mwenye Masters ana andika utumbo kama huu!!Duh! We kweli Chakubanga, maana uelewa kuhusu mifumo ya fedha inavyofanya kazi ni zero kabisa.
Satan's code is being decoded.Western world haiwezi anguka leo..wala kesho.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin ni Kama jiwe tuu ukimwona anavyoropoka utadhani wa maana kumbe fala tunapenda mawazo mbadala kama ulivyochambua mleta uzi. Nadhani wengi wetu tunaangalia huu mgogoro kwa upande mmoja zaidi( mtazamo wa kimagharibi) lakini tunasahau huyu Urusi(mtazamo wa kimashariki) kuna mambo mengi alijifunza baada ya vita baridi kwaiyo akawa Kobe akainama chini sasa hii inaweza ikawa ndio ujio wa kurekebisha makosa. Ngoja tuendelee kuagiza popcorns
Are you serious brother to put story about North Korea in major issue like that??Satan's code is being decoded.
Somewhere I read that without his mark [authorization] one will never sell or buy.
Iran was sanctioned, North Korea, China...
Hopefully, Putin is bringing this madness to the end.
Who gave your western god the power/authority to sanction other nations?Are you serious brother to put story about North Korea in major issue like that??
Even Iran is just an Imaginary enemy of Western
Their having power of sunction because their own major part of world economyWho gave your western god the power/authority to sanction other nations?
Nimesoma kichwa cha habari tu, COW BOY aka Mnyamwezi yupo toka WW1 na WW2 na zote ameshiriki ipasavyo...ila bado anakamata usukani.... Mabepari walishaseti misingi ya kuishi na kuishika dunia..
Movement za China wanazijua na kuzibalance vizuri sana, Mrusi ameshafanyiwa tathmini na pale Ukraine ni chambo tu kile kuliangusha Taifa la Urusi jumla jumla na kummaliza kabisa Putin.
Europe na USA tayari wanabudget ya shughuli yote ya ukraine bila kuyumbisha chumi zao na mwisho wa siku raia wa Urusi wataiangusha serikali yao wenyewe kwa njaa...