Urusi na China; Kuanguka kwa Dola na kuinuka kwa Yuan

Urusi na China; Kuanguka kwa Dola na kuinuka kwa Yuan

Umesema kweli, hoja zako zina mashiko japo watu wengi watakupinga humu kwa mihemko. This is for really going to happen.

Wao wanapanga na Allah anapanga, hakika Allah ni mbora wa mipango.
Ndio hivyo mkuu wengi wao wanapinga kishabiki kwasababu yy anamahaba na taifa fulani.
 
Umesema kweli, hoja zako zina mashiko japo watu wengi watakupinga humu kwa mihemko. This is for really going to happen.

Wao wanapanga na Allah anapanga, hakika Allah ni mbora wa mipango.
Kwataarifa yako Sasa. China na Urusi hawamjui Allah. Wachina wengi ni Budhas na Warusi wengi ni Orthodox,Kule China Deen ya Allah na Wafuasi wao wameuliwa balaa na Waliobaki kule UIGHUR wamepelekwa Kambi ya Uponyaji ili waondolewe Masalia ya Iman ya Allah. Kwahiyo Kama huyo ALLAH atawabariki Wachina kwa maovu wanayoyatenda dhidi ya Wafuasi wa Allah Basi atakuwa Hana Akili.
 
Huko kumeonekana sio jambo raisi; wazungu si kama wa Tanzania ambao kila kitu kimepabda bei na tumekaa kimya. Wataandamana mda si mrefu we ngoja wakose gesi uone
Wanaandamana kutokana na sababu zzilizosababisha Bei kupanda. Kwa Hili la Ukraine,nakuhakikishia wananchi wa nchi za Ulaya wako pamoja na viongozi wao wa kisiasa. Atakayeandamana huko kupinga Bei ya gesi ataonekana anaunga mkono Kinachofanywa na Urusi dhidi ya Ukraine.
 
kwahiyo umasikini mkubwa wa kirusi na uchina Leo uje utawale dunia kirahisi hivo
 
Wewe waweza kuwa kilaza wa TBC au gazeti la Uhuru, maana unaandika UONGO mtupu[emoji849]

Mfano mmoja tu:
Bomba la gesi toka Urusi kwenda EU (Nord Stream 2) linapitia ujerumani, na lilifungwa na serikali ya Ujeramani muda mfupi kabla ya uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. We unadanganya kuwa Urusi ndo ililifunga!!!
Nord stream2 halikuwah kuanza kufanya kazi lililokua linafanya kazi ni nord stream1
 
Kwataarifa yako Sasa. China na Urusi hawamjui Allah. Wachina wengi ni Budhas na Warusi wengi ni Orthodox,Kule China Deen ya Allah na Wafuasi wao wameuliwa balaa na Waliobaki kule UIGHUR wamepelekwa Kambi ya Uponyaji ili waondolewe Masalia ya Iman ya Allah. Kwahiyo Kama huyo ALLAH atawabariki Wachina kwa maovu wanayoyatenda dhidi ya Wafuasi wa Allah Basi atakuwa Hana Akili.
We jamaa ndyo unamjua Mungu kuliko wao how sure you are?? kwahyo kwako Orthodox wanaabudu kiti gani?
 
Back
Top Bottom