Urusi na China; Kuanguka kwa Dola na kuinuka kwa Yuan

Wewe waweza kuwa kilaza wa TBC au gazeti la Uhuru, maana unaandika UONGO mtupu🙄

Mfano mmoja tu:
Bomba la gesi toka Urusi kwenda EU (Nord Stream 2) linapitia ujerumani, na lilifungwa na serikali ya Ujeramani muda mfupi kabla ya uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. We unadanganya kuwa Urusi ndo ililifunga!!!
 
Marahemu Gadaffi aliupigania mfumo wa Gold, ila US na NATO matumbo joto
 
Mleta mada ana upeo mdogo sana lakini kajaza CV yenye mivyeti kibao wakati kichwani mweupe
 
Vijana Wana njaaa sana. mrusi anaweza kupambana na tembo USA, France, UK, Italy, Germany, Canada na Japan
Huyu tembo anasubiri wafe wangapi ndio aingie kuokoa jahazi! Asijekuwa tembo mweupe.
 
Pale maskini wanapojifariji.

Kwa Uchumi gani alionao Urusi na China Ili Dunia ifuate?

By the way waliundaga brics unajua ilikoishiaga?
 
 

Umesema kweli, hoja zako zina mashiko japo watu wengi watakupinga humu kwa mihemko. This is for really going to happen.

Wao wanapanga na Allah anapanga, hakika Allah ni mbora wa mipango.
 
Huko kumeonekana sio jambo raisi; wazungu si kama wa Tanzania ambao kila kitu kimepabda bei na tumekaa kimya. Wataandamana mda si mrefu we ngoja wakose gesi uone
Mrusi katoa onyo mapema; bomba la gesi kwenda Ujerumani atafunga muda wowote atakapoona inafaa kulipiza kuzuiwa Nord Stream 2.

Ulaya watatafutana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…