fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Ndio hivyo mkuu wengi wao wanapinga kishabiki kwasababu yy anamahaba na taifa fulani.Umesema kweli, hoja zako zina mashiko japo watu wengi watakupinga humu kwa mihemko. This is for really going to happen.
Wao wanapanga na Allah anapanga, hakika Allah ni mbora wa mipango.
Kwataarifa yako Sasa. China na Urusi hawamjui Allah. Wachina wengi ni Budhas na Warusi wengi ni Orthodox,Kule China Deen ya Allah na Wafuasi wao wameuliwa balaa na Waliobaki kule UIGHUR wamepelekwa Kambi ya Uponyaji ili waondolewe Masalia ya Iman ya Allah. Kwahiyo Kama huyo ALLAH atawabariki Wachina kwa maovu wanayoyatenda dhidi ya Wafuasi wa Allah Basi atakuwa Hana Akili.Umesema kweli, hoja zako zina mashiko japo watu wengi watakupinga humu kwa mihemko. This is for really going to happen.
Wao wanapanga na Allah anapanga, hakika Allah ni mbora wa mipango.
Wanaandamana kutokana na sababu zzilizosababisha Bei kupanda. Kwa Hili la Ukraine,nakuhakikishia wananchi wa nchi za Ulaya wako pamoja na viongozi wao wa kisiasa. Atakayeandamana huko kupinga Bei ya gesi ataonekana anaunga mkono Kinachofanywa na Urusi dhidi ya Ukraine.Huko kumeonekana sio jambo raisi; wazungu si kama wa Tanzania ambao kila kitu kimepabda bei na tumekaa kimya. Wataandamana mda si mrefu we ngoja wakose gesi uone
Nord stream2 halikuwah kuanza kufanya kazi lililokua linafanya kazi ni nord stream1Wewe waweza kuwa kilaza wa TBC au gazeti la Uhuru, maana unaandika UONGO mtupu[emoji849]
Mfano mmoja tu:
Bomba la gesi toka Urusi kwenda EU (Nord Stream 2) linapitia ujerumani, na lilifungwa na serikali ya Ujeramani muda mfupi kabla ya uvamizi wa Urusi kwa Ukraine. We unadanganya kuwa Urusi ndo ililifunga!!!
Germany freezes Nord Stream 2 gas project as Ukraine crisis deepens
Germany on Tuesday halted the Nord Stream 2 Baltic Sea gas pipeline project, designed to double the flow of Russian gas direct to Germany, after Russia formally recognised two breakaway regions in eastern Ukraine.www.reuters.com
Labda miaka 50 ijayoNatamani itokee hii kitu.
Hii umeandika kama fairy tales stories for kids
We jamaa ndyo unamjua Mungu kuliko wao how sure you are?? kwahyo kwako Orthodox wanaabudu kiti gani?Kwataarifa yako Sasa. China na Urusi hawamjui Allah. Wachina wengi ni Budhas na Warusi wengi ni Orthodox,Kule China Deen ya Allah na Wafuasi wao wameuliwa balaa na Waliobaki kule UIGHUR wamepelekwa Kambi ya Uponyaji ili waondolewe Masalia ya Iman ya Allah. Kwahiyo Kama huyo ALLAH atawabariki Wachina kwa maovu wanayoyatenda dhidi ya Wafuasi wa Allah Basi atakuwa Hana Akili.