Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Halafu napoteza muda kujadiliana na empty set,ni kupoteza muda tu..we ni wa kuwekwa ignore list
We jomba unaonekana zwazwa wa kununua udongo kwa Buku kumi embu jibu tujue ww sio zwazwa Assad na Netanyahu nani muuwaji zaidi. mbona atujawai ona ukimlalamikia Netanyahu muuaji anaetambuliwa na ICC
 
We jomba unaonekana zwazwa wa kununua udongo kwa Buku kumi embu jibu tujue ww sio zwazwa Assad na Netanyahu nani muuwaji zaidi. mbona atujawai ona ukimlalamikia Netanyahu muuaji anaetambuliwa na ICC
Bangi peleka hukohuko
Bullshit
 
Duuuh kumbe wewe ni mweupe hivi!?
Umesoma ulichokileta vizuri??
Shebah farms tangu 2006 ilitumika kama buffer zone wala haijashikiliwa kama unavyodai.
Na hiyo Shebah farm nusu ni buffer zone ya Israel na nusu ipo ndani ya utawala wa Hizbollah Kusini.
Tutajie vijiji anavyoshikilia Israel tangu aanze operations mwezi wa 10 mwaka huu.
Mimi ni mweupe Ila wewe ni kichwa wazi
 
Huu ndio muda wakuwapeleka wanajeshi wetu wakapate uzoefu wa vita.Siyo kutubebea mabegi makubwa ya mabokisi uwanja wa taifa na kutudanganya wamebeba kilo miamoja
 
Askari wa Urusi pia wamesarenda kwa Waasi wa Kisunni.
 
Asee nimeamini putin anawapenda ndugu zake Ukraine anawauwa huku anawastilii wavaa kobazi usiku mmoja tuu kawauwa 300+
 
Kwa hiyo Turkey na Israel wameungana dhidi ya Mshirika wa Urusi na maslahi ya Urusi? Una maanisha Turkey na Urusi wamepingulua urafiki wao? Au mimi ndiye sijaelewa? Turkey na Iran na wao wamenuniana?
😁😁😁hizi vita zinawachanganya sana kobazi wanashindwa kabisa kujenga hoja za kusimamia,mwingine anadai baada ya marekani na Israel kushindwa Lebanon wameamua kuhamia Syria. Nabaki nacheka tu
 
😂😂😂😂

Ila Kobazi Israel na Ulaya zinaingiaje wakati vita ni Kobazi kwa kobazi
Hawa ndugu zetu akilizao ni kama za hao wanaowashangilia,hawa wamatumbi wa huku wakisikia mapigano ya huko wanajua ni magharibi ndio kasababisha hawajui ni sunni au shia ndio maana wanachanganyikiwa hawaelewi washike lipi
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Mkuu Yoda anasema Bashar Al Assad regime is lesser evil than the rebels.

Anasema waasi ni mchanganyiko wa makundi yenye itikadi kali maswali sunna wallah wakbaru.

Kwa hiyo ni bora Bashar abaki madarakani tu.
 
Nchi ya nani sasa ya Shetanyahu na Biden, eti Joe jina lenyewe lakishoga shoga tu, kuna mwanaume anaitwa Joe.
Sasa wewe unataka uwakosoe wenye majinayao? Huku kwetu tunakoiga majina tunajua Nasra ni jina la kike ila kwa wenyenalo jina hilo anaitwa mwanaume inamaana nae alikua shoga?
 
Back
Top Bottom