Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Hawa ndugu zetu akilizao ni kama za hao wanaowashangilia,hawa wamatumbi wa huku wakisikia mapigano ya huko wanajua ni magharibi ndio kasababisha hawajui ni sunni au shia ndio maana wanachanganyikiwa hawaelewi washike lipi
Pro Arabs & Islamist wana wakati mgumu sn kila wanakoshabikia ni vipigo tu...wanahitaji Pyschology Treat kurudisha furaha.
 
Mkuu Yoda anasema Bashar Al Assad regime is lesser evil than the rebels.

Anasema waasi ni mchanganyiko wa makundi yenye itikadi kali maswali sunna wallah wakbaru.

Kwa hiyo ni bora Bashar abaki madarakani tu.
Kwa kweli mkuu nikiangalia Syria naona Bashar Al-Asad akiondoka Syria patachafuka zaidi, itageuka kiota cha ugaidi na extremists wanaofadhiliwa na serikali, sijui hesabu gani wanapiga Israel na Marekani Assad kuondolewa.
 
Ndio lengo kuu la mgogolo wa Syria lengo Israel afanye mauwaji pale ili macho y Dunia na akili zibaki SYRIA. Lkn bado watashindwa Hii VITA Iran anapeleka majesh Rasmi awatorudi nyumbani adi milima ya Golan imerudi kwa SYRIA au zaid ya apo Iran kaamua kucheza ngoma walioipiga wenyewe Wamarekani Israel na Uturuki Iran kapitia umoumo Baba hii ngoma inagile Wasrael washafaamika weupe akuna cha Iron dome wala THAAD takataka tu tullieni muone picha ndio inaanza ngoma mbichi bado. Watajutia kuleta upya mzozo huu.
Mwenyewe umensika huku umekaza meno kabisa as if hao Iran kuna chochote wanaenda kufanya huko zaidi ya kwenda kukatwa shingo
 
Kwa kweli mkuu nikiangalia Syria naona Bashar Al-Asad akiondoka Syria patachafuka zaidi, itageuka kiota cha ugaidi na extremists wanaofadhiliwa na serikali, sijui hesabu gani wanapiga Israel na Marekani Assad kuondolewa.
Nadhani labda ni kujeopardize maslahi ya Urusi(although sijui hata maslahi ya Urusi yaliyopo Damascus!).

Kimsingi Syria ya Bashar haina madhara kwa West au Israel.

Lakini mkuu tusiwaunderestimate CIA, huenda wanajua wanachokifanya.
 
😁😁😁hizi vita zinawachanganya sana kobazi wanashindwa kabisa kujenga hoja za kusimamia,mwingine anadai baada ya marekani na Israel kushindwa Lebanon wameamua kuhamia Syria. Nabaki nacheka tu
Hao vita yao huwa ni wenyewe kwa wenyewe halafu wanakimbilia kusingizia Magharibi.
Sasa kama huyu na akiamua kulianzisha watasema ametumwa na nchi za Magharibi.
 
Asubuhi ya kuamkia leo Urusi alituma ndege za kivita na kulipua maghara ya silaha ya waasi wanao mpinga Assad na kuteketeza wanamgambo zaidi 200.
Waislamu 200 waenda peponi Kula mabikira 72 kila mmoja, mito ya pombe Na bata kama zote
 

View: https://x.com/Osint613/status/1863154269253488651

Pale middle east mbabe ni Israel tu...

Iran kawatuma Minions wake Hamas na Hezbollah now, hawaamini walichokipata.

Na Hezbollah Ndio alikuwa anaaminiwa na Iran, walimsaidia sana Assad kubaki madarakani but baada ya kupigwa tu wamesambaratika wote

🤣🤣 Wamepigwa na kusambaratishwa na simu za mkoni pager😅😅 huyu myahudi sio wa kumchezea yaani magaidi na ungangali wote simu zimewachapa 🤣🤣😅
 
Mbona Uingereza kwa miaka yote inaongozwa na uko mmoja?
Uingereza inaongozwa na mawaziri wakuu wanaobadilishwa kila mara, ufalme umebaki kama historia, utamaduni na pambo tu.
 
Uingereza inaongozwa na mawaziri wakuu wanaobadilishwa kila mara, ufalme umebaki kama historia, utamaduni na pambo tu.
Kwanini huwezi kua waziri mkuu mpaka upitishwe na malkia ama mfalme kama ni pambo tu na Sawa kama ni pambo tu kwanini linatumia kodi za wananchi na sawa kama kutumia kodi za wananchi tu kwanini ni ukoo mmoja tu unaofaidika na hilo pambo na sio waingereza wote
 
Aiseee una safari ndegu sana kuelewa haya mambo,nani kakwambia uiengereza inaongozwa na waziri mkuu?
Uingereza ni constitutional monarchy, sera zote za kuongoza nchi zinawekwa na bunge. Kodi, uhamiaji, sera za mambo ya nje, ulinzi n.k vinafanywa kwa muongozo wa bunge, hata brexit iliamuliwa na raia kwa pamoja na bunge.
 
Back
Top Bottom