ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Hakuna maamuzi yeyote yanayo husu msitakabali wa taifa yanayo weza kupitishwa bila kuridhiwa na familia ya kifalme acha kudanganya watu.Uingereza ni constitutional monarchy, sera zote za kuongoza nchi zinawekwa na bunge. Kodi, uhamiaji, sera za mambo ya nje, ulinzi n.k vinafanywa kwa muongozo wa bunge, hata brexit iliamuliwa na raia kwa pamoja na bunge.