Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Netanyahau kapiga ndege mbili kwa Jiwe moja...

Nashrallah was good leader kwa Watu wake..

Imagine kifo chake kimekuwa na Domino effect Syria na Lebanon
 
Assad baada ya kuona namna Gaza na Lebanon ilivyosambaratishwa vibaya, ni wazi akajua safari hii hatoboi tena.
Hizo fikra zako Assad kauzwa na Sunni na Jeshi lake pia kulikuwa hamna vita ni mapinduzi jeshi lilikataa kupigana unajua kama Assad no Shia na Syria 75% ni Sunni maana hapo Qatar, Saudia. Uturuki, Oman, Jordan, Kuwait wamehusika kulikuwa na vikao kati ya Saudia na Urusi, nakupa darsa.
 
Netanyahau kapiga ndege mbili kwa Jiwe moja...

Nashrallah was good leader kwa Watu wake..

Imagine kifo chake kimekuwa na Domino effect Syria na Lebanon
Syria, iko kwenye pwani ya mashariki ya bahari ya Mediterania. Inapakana na Uturuki upande wa kaskazini, Lebanoni na Israel upande wa magharibi na kusini-magharibi, Iraq upande wa mashariki na Jordani upande wa kusini. Sasa kila nchi ambayo imebakana nayo inahofia mtawala wa hapo atakua nani? Israel bado ana wasiwai anakuja kutawala Syria ni Sunni kama Hamas.
 
Kwa hiyo umefurahi kuanguka kwa utawala wa Assad uliokuwa unaungwa mkono na Russia, Iran, Lebanon?

Kama ni kweli basi rasmi wewe ni mfuasi mzuri wa NATO.
Unaniuliza maswali ya kishoga kisha unajijibu mwenyewe😂
 
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.
Sasa embu tuambie mleta mada, kipi ni kipi:
1. msaada wa Iran, Russia umeshindwa kumsaidia Assad kubakia madarakani, ama

2. Utawala wa Assad ulikataa msaada wa Iran na Russia, ama

3. Iran na Russia wametema bungo, wamemsaliti Assad kwa kumnyima msaada?
 
Tatizo JF imekuwa ya ubishani hata kama mtu anajua ukweli.Malkia/mfalme ana nguvu ya maamuzi zaidi ya katiba yao na akiamua kwa kauli yake anaweza kulivunja bunge au kutengua uongozi wowote mahakama,serikali au bunge.
Sasa akija mtu kusema UK wana demokrasia huwa namuangalia tu.
Hujui maana ya demokrasia
 
Syria, iko kwenye pwani ya mashariki ya bahari ya Mediterania. Inapakana na Uturuki upande wa kaskazini, Lebanoni na Israel upande wa magharibi na kusini-magharibi, Iraq upande wa mashariki na Jordani upande wa kusini. Sasa kila nchi ambayo imebakana nayo inahofia mtawala wa hapo atakua nani? Israel bado ana wasiwai anakuja kutawala Syria ni Sunni kama Hamas.
Hao Waasi wa Syria Wana deni kubwa lisilolipika Kwa Israel na Netanyahau.

Hadi Jana Usiku Israel imefanya Mashambulizi ya anga dhidi ya vituo vya Kijeshi vya Assad vyenye Silaha hatari na za sumu.

Israel imeshambulia vituo vya Kijeshi vya Iran na Wanamgambo wake walioko Syria.

Hadi Jana Usiku Israel imeshambulia vikosi vya Hezbollah vilivyokuwa ndani ya Syria

Israel imeidhoofisha sana Hezbollah, Israel ilitoa Onyo kwa Iran siku kadhaa nyuma kama italeta ndege yoyote ya Silaha Syria itaiangusha.
 
Hizi facts na dots huwezi kumuona Ritz akizisema, anaogopa na kuona aibu.
Hataki kusikia kabisa kuhusu nguvu ya Israel katika kuungamiza utawala wa Assad.
 
Operesheni hii ya waasi wa Syria ilikuwa tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu Marekani iko mashariki mwa Syria na walizuia uimarishaji wowote kutoka Iraq na Iran kusaidia serikali ya Syria.
Kwa hivyo USA walivyozuia huo upande wa Mashariki mwa Syria kima yoyote asiingie kumsaidia Assad, na hao kima wote wakanywea! Yaani Iran, Hezbollah, Russia wakaona watii amri ya USA?
Kama ni hivyo unashindwa nini kukiri tu, mbele ya USA na NATO hakuna wakuwazuia kijeshi middle east. Sio Russia wala Iran mwenye uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya middle east.
 
Back
Top Bottom