Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Sasa kipi kimeongelewa hapo? Au ni siri yenu? Mnaanzakuumba matukio ambayo hayakuwahi kuwepo?
Wewe si uzi wako uliufungua kabla ya hicho kikao?
Russia na Iran ndiyo ilikuwa nguzo ya Assad wameshalegea na kuchoshwa na wamechoka kweli.
Russia kalazimika kusafiri hadi Korea kuomba Askari kwa kiduku. Askari wenyewe nao juzi wamechomwa hapo Kursk
 
Usitimie nguvu..
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,
1. Ipo busy na Ukraine
2. Iran imenyong'onyweshwa na Israel
3. Hizbullah the same wapo hoi kutokana na kipigo cha hawa makafir kwetu
 
Mazayuni hawa ibilisi na agenda ya Greater Israel ,Assad wamefanikiwa kumchomoa ,,Gaddafi tayari , Sadam tayari , Assad ndio alikuwa kichwa ngumu aliyebaki ,wamekomaa zaidi ya miaka kumi na tatu sasa .
Anyway kifupi hii agenda si nzuri na ni maumivu makubwa kwa watu wa middle east maana hawa Ibilisi wanaenda kusimika utawala wao hapo kupitia puppets wao .
Yaani agenda ya kishetani kabisa , na bado hawajamaliza wanamtafuta Iran ,Maana kusimika hawa vibaraka magaidi wa Alqaida na mercenaries wao hapo ni kujitahidi kuondoa buffer zone ili kuwa karibu na IRan waweze kumhujumu vizuri ,kipande kilichobaki ni Iraq .
Naomba bookmark hii comment , hawa washenzi wanarudi kuamsha vikundi vya kigaidi dhidi ya serikali ya kishia ya Iraq na kusababisha vita na uharibifu humo ili kusimika mercenaries wao wa Alqaida na ISIS , msichojua ISIS ni project ya mazayuni wa Israel na Marekani ,na walichokuwa wanafanya miaka ile mauaji na uharibifu ilikuwa ni kujaribu kutawala hili eneo la Syria na Iraq ili kusimika utawala puppets WA wazayuni na ambao utaharibu buffer zone na kumhujumu Iran Kwa ukaribu .
Kwa mtu asiyejua Geopolitics na history za hapo hataelewa nilichoandika .
ISIS ndio hawa hawa vibaka mercenaries walioenda kuchukua utawala wa Assad na ndio hawa hawa waliibuka kwenye hizo nchi mbili za Syria na Iraq na si kwingine kabla ya kuzidiwa nguvu na makundi ya Hezbollah ,IRGC ,Urusi na Shiites militias WA Iraq na wakurdi na ni Israel huyu huyu aliyekuwa anatibu hawa magaidi wa ISIS na Alqaida branch ya Alnusra kwenye hizo vita na ndio leo leo kawapa supports tena mfano hawa HTS ambao ni Alnusra walijibadilisha jina ,unganisheni dots hapo na mumjue Gaidi mkuu ni nani
 
"Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani" 😂😂😂
usipokubali kwa hiari utalazimishwa kukubali, nadhani hukufikiria hilo ostadh

Naona wanasema
Kajiuzulu wangesema kalazimishwa kujiuzulu.. kujiuzulu "at will" na kujiuzulu "at gun point" ni vitu viwili tofauti
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.

UP DATE===============

🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.

View: https://x.com/mylordbebo/status/1865630687757230397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ishaondoka
 
Hizo fikra zako Assad kauzwa na Sunni na Jeshi lake pia kulikuwa hamna vita ni mapinduzi jeshi lilikataa kupigana unajua kama Assad no Shia na Syria 75% ni Sunni maana hapo Qatar, Saudia. Uturuki, Oman, Jordan, Kuwait wamehusika kulikuwa na vikao kati ya Saudia na Urusi, nakupa darsa.
Ushahidi wa haya unayotwambia please!
 
Masikini, yaani mmapigwa uongo wa mchana na nyie mmameza tu. Huyo anayebandiko hizo habari unazo quote inaelekea ndiye chief comforter wenu kwa sasa na anayeifanya kazi yake vyema illi kuwatuliza maumivu ya mioyo.
Breaking News ya kikaocha makabidhiano inatolewa baada ya serikali kupinduliwa na nyie msivyo na akili mnabugia tu kama makinda ya ndege.
Hakuna kikao chochote kiichofanyika kati ya waasi na Assad
 
Hujui kitu bana unaongea fikra zako futialia habari acha ushabiki mandazi, Assad alijua anaondoka kakusanya vitu vyake vyake na kaondolewa na Urusi.
 
Assad anaweza kuwa kakimbilia Latakia huko anaweza kuanzisha Rebellion huku akisaidiwa na Urusi na Ayatolah ili kuurudisha utawala wake.
 
NATO-US against NATO-Türkiye, not really a world war.
Kurds will be the victims.
I have no idea who will be the victor.
 
Putin Hana hali Sasa
Screenshot_20241208-164722_Sputnik.jpg
 
Hujui kitu bana unaongea fikra zako futialia habari acha ushabiki mandazi, Assad alijua anaondoka kakusanya vitu vyake vyake na kaondolewa na Urusi.
Wewe badala ya kutafuta habari umeamua kutafuta faraja
 
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,

Nipo pembeni nimejibanza nasubiri maswali yako maana ni mazuri wasomaji wanapata faida.
Usiwe unajifanya msemaji wa Urusi wakati hujui chochote zaidi ya kutegemea habari za propaganda za gubasi

Hesabu zilipigwa vyema kwanza ilikuwa baada ya Urusi kupeleka usikivu Ukraine,Hezbollah wakavutwa na myahudi kwenda Lebanon na kumwacha Asada mtupu

Pili vita ikaanzishwa kaskazini Asad Akatuma majeshi yake huko akijaribu kuzuia waasi wasifike kusini iliko Damascus

Tatu na mwisho Vita kusini inavamia Damascus isiyo na ulinzi madhubiti biashara ikaishia hapo kwa Asadi kupanda ndege ambayo pia inasemekana imetunguliwa maeneo ya Homs Syria asubuhu ya Leo hivyo hatima ya maisha ya Asad haijulikani
 
Back
Top Bottom