Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.

UP DATE===============

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.

View: https://x.com/mylordbebo/status/1865630687757230397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

What happened in Syria? How did al-Assad fall?​

Opposition forces have taken control of the capital after a significant offensive. Here is how it unravelled.
In the early hours of Sunday morning, opposition forces declared Syria liberated from the rule of President Bashar al-Assad as opposition forces surged into the capital.

The former president in question reportedly fled Damascus, with no information yet as to which country will receive him.

The stunning collapse of more than 53 years of al-Assad family rule has been described as a historic moment โ€“ nearly 14 years after Syrians rose in peaceful protests against a government that met them with violence that quickly spiralled into a bloody civil war.

Just a week ago, the regime still maintained control over significant portions of the country. So how did it all unravel so quickly?
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.

UP DATE===============

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.

View: https://x.com/mylordbebo/status/1865630687757230397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

VIPI SHEIKH WANGU KWA SASA WAMEKUBALI? HUWA TUNAONGOPEWA SANA NA WENZETU KUMBE UKWELI UPO TOFAUTI SANA.
 
Huu uzi mzito sana kwako nakushauli ungekuwa msomaji tu au kajikite jukwaa la udaku.
 
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ "Assad alijaribu kujadiliana na upinzani wenye silaha juu ya uhamisho wa mamlaka" - Bild, akiwanukuu wanadiplomasia wa Qatar

Mazungumzo hayo yalifanyika mjini Doha, lakini mpango huo ulitimia. Assad alisemekana kulazimishwa kujiuzulu.

-> Hiyo inalingana kabisa na picha na kauli tulizoziona kutoka Doha.

Ndiyo maana Iran na Urusi ziliwaita waasi hao "upinzani halali" jana baada ya mazungumzo ya Doha.
 
Ritz:

Hueleweki utaka kusema nini hasa.....Rejea tena post yako!
Wewe uwezi kunielewa kuna wasomaji wengi wananisoma huu uzi ni mzito kwako ukiwa shabiki mandazi huwezi kuelewa.
 
Huu uzi mzito sana kwako nakushauli ungekuwa msomaji tu au kajikite jukwaa la udaku.
Sheikh uzito wa huu uzi umeelemea kwako....mimi najitoa sasa kuishi kwa mihemko utabaki peke yako sheikh wangu. Maana kumbe ulikuwa unatulisha matango pori muda wote huo... Haya mambo yanataka Elimu sheikh wangu. Siyo mihemko.
 
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ "Assad alijaribu kujadiliana na upinzani wenye silaha juu ya uhamisho wa mamlaka" - Bild, akiwanukuu wanadiplomasia wa Qatar

Mazungumzo hayo yalifanyika mjini Doha, lakini mpango huo ulitimia. Assad alisemekana kulazimishwa kujiuzulu.

-> Hiyo inalingana kabisa na picha na kauli tulizoziona kutoka Doha.

Ndiyo maana Iran na Urusi ziliwaita waasi hao "upinzani halali" jana baada ya mazungumzo ya Doha.
Acha uongo wa kipumbavu.... Tumechoka kuku support unaonekana tu maamuma sheikh wangu unalishwa maneno tu kijiweni. Tumeshindwa Assad amekimbia. Hilo halina mjadala kujiuzulu si kukimbia kwa kipigo. Russia na Iran nao hawapo vizuri. Jifunike hata khanga ukivuliwa nguo sheikh wangu. Mimi nina hasira sana kwa jambo hili.
 
Minjingu,

Kukubali ukweli si udhaifu! Kuna kipindi nilimwambia hata Aljazeera wanaongopa? Kushindwa kwa Syria kumesababishwa na mambo yaliyo wazi kabisa! Urusi anataka kuongeza nguvu zake zote Ukraine, hilo halina ubishi. Iran imekuwa overstretched, haiwezi tena kuleta msaada Syria na huku ikichokoana na Israel, na Hezbollah imeondoa wapiganaji wake Syria kujiokoa nyumbani,ule msaada kutoka Iran kuja Lebanon Israel imeuharibu kwa kiasi kikubwa! hivyo mbeleko iliyo iibeba Syria imekatika na kuwapa nguvu waasi. Na hata askari wa Syria wamechoka! Hawaelewi hii miaka 13 wanapigania nini hasa!

In short Ritz anaujua ukweli, lakini kuumeza ni mchungu mno!
 
Sasa huyu dogo tunamwambia sasa tujilite kwenye elimu kama hii anakuwa na kibri. Inshallah tutajipanga next time sheikh wangu this time mayahudi wametuweza...
 
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ
Statement by the Russian Foreign Ministry regarding the situation in Syria: 'We are following the dramatic events in Syria with extreme concern. As a result of negotiations between Bashar al-Assad and a number of participants in the armed conflict in the Syrian Arab Republic, he decided to leave the presidential post and left the country, giving instructions to transfer power peacefullyRussia did not participate in these negotiations. At the same time, we appeal to all parties involved with a strong call to renounce the use of violence and resolve all governance issues by political means.In this regard, the Russian Federation is in contact with all groups of the Syrian opposition. We call for respect for the opinions of all ethno-confessional forces of Syrian society, and support efforts to establish an inclusive political process based on the unanimously adopted UN Security Council Resolution 2254. We expect that these approaches will be taken into account by the UN and all interested players, including in the context of the implementation of the initiative of the UN Secretary General's Special Representative for Syria, Georg Pedersen, to urgently organize inter-Syrian inclusive negotiations in Geneva.At the same time, all necessary measures are being taken to ensure the safety of our citizens in Syria. Russian military bases in Syria are on high alert. There is currently no serious threat to their security.'

Mkuu Ritz: Huoni ni maneno ya kushindwa!
 
Acha uongo wa kipumbavu.... Tumechoka kuku support unaonekana tu maamuma sheikh wangu unalishwa maneno tu kijiweni. Tumeshindwa Assad amekimbia. Hilo halina mjadala kujiuzulu si kukimbia kwa kipigo. Russia na Iran nao hawapo vizuri. Jifunike hata khanga ukivuliwa nguo sheikh wangu. Mimi nina hasira sana kwa jambo hili.
Usitimie nguvu..
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,
 
Wanaukumbi.

Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.

UP DATE===============

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?

Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.

Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.

Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"

  • ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
  • ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
  • ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.

-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.

Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.

Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.

View: https://x.com/mylordbebo/status/1865630687757230397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mbona wamekubali!!
 
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ
Statement by the Russian Foreign Ministry regarding the situation in Syria: 'We are following the dramatic events in Syria with extreme concern. As a result of negotiations between Bashar al-Assad and a number of participants in the armed conflict in the Syrian Arab Republic, he decided to leave the presidential post and left the country, giving instructions to transfer power peacefullyRussia did not participate in these negotiations. At the same time, we appeal to all parties involved with a strong call to renounce the use of violence and resolve all governance issues by political means.In this regard, the Russian Federation is in contact with all groups of the Syrian opposition. We call for respect for the opinions of all ethno-confessional forces of Syrian society, and support efforts to establish an inclusive political process based on the unanimously adopted UN Security Council Resolution 2254. We expect that these approaches will be taken into account by the UN and all interested players, including in the context of the implementation of the initiative of the UN Secretary General's Special Representative for Syria, Georg Pedersen, to urgently organize inter-Syrian inclusive negotiations in Geneva.At the same time, all necessary measures are being taken to ensure the safety of our citizens in Syria. Russian military bases in Syria are on high alert. There is currently no serious threat to their security.'

Mkuu Ritz: Huoni ni maneno ya kushindwa!
Wapi wameshindwa wakati kulikiwa hamna mapigano yeyote.

View: https://x.com/marionawfal/status/1865726941061333057?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo fikra zako Assad kauzwa na Sunni na Jeshi lake pia kulikuwa hamna vita ni mapinduzi jeshi lilikataa kupigana unajua kama Assad no Shia na Syria 75% ni Sunni maana hapo Qatar, Saudia. Uturuki, Oman, Jordan, Kuwait wamehusika kulikuwa na vikao kati ya Saudia na Urusi, nakupa darsa.
"Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
usipokubali kwa hiari utalazimishwa kukubali, nadhani hukufikiria hilo ostadh
 
Back
Top Bottom