Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
We jamaa ni mjinga iran na urusi wangebaki wanapigane kuliko kukimbiaUmeshajiuliza mbona hamna mapambano yoyote wanajeshi na silaha wameenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni mjinga iran na urusi wangebaki wanapigane kuliko kukimbiaUmeshajiuliza mbona hamna mapambano yoyote wanajeshi na silaha wameenda wapi?
Anatafuta namna ya kujifarijiHuo ni uongo wa kitoto peleka huko,ukweli umedhihirika walizidiwa nguvu labda kama umeamua kujifariji kwa kujidanganya mwenyewe
KabisaAnatafuta namna ya kujifariji
Tupe maoni yako leo. Ahahahahaha!!!Wanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
Naona baada ya kushindwa umebadili maneno na mtazamo. Pole sana ndugu yangu, vita sio jambo la kufurahia na kushangilia. Jifunze kitu sasa.🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.
🇸🇾Kilichotokea Syria ni mapinduzi ... sio vita.
Hakukuwa na vita moja mashuhuri. HAKUNA MMOJA
Jeshi lilimwacha Assad na kukimbia.
View: https://x.com/mylordbebo/status/1865641063869726868?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Pole ya nini unanipa? Mimi nafuatulia huu mgogoro miaka najua kinachotokea ndiyo nakileta hapa siyo fikra zangu halafu mimi siyo shabiki mandazi kama wewe unaonekana vitu vingi hufahamu kuhusu Syria.Naona baada ya kushindwa umebadili maneno na mtazamo. Pole sana ndugu yangu, vita sio jambo la kufurahia na kushangilia. Jifunze kitu sasa.
Ukweli ni kwamba, Assad alikuwa anabebwa na Russia, Iran na Lebanon, na kwa kipindi hiki wote hao wako kwenye hali ngumu kivita, wamechoka, wanateseka na wamepigika kimtindo, lingekuwa ni jambo la kijinga na kipumbavu kwa wao kupeleka nguvu kubwa kule Syria kumlinda Assad wakati wao wenyewe wamekalia kuti kavu. Ni bora kupoteza moja ili ubakie na moja, mtaka vyote ana hatari ya kupoteza vyote.
Sasa tunajua Israel ndo boss middle east.🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.
Hezbollah wamepeleka Wanamgambo ila Israel ikaomba kazi ya Kudeal na hao kima.🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.
Kwa hiyo umefurahi kuanguka kwa utawala wa Assad uliokuwa unaungwa mkono na Russia, Iran, Lebanon?Pole ya nini unanipa? Mimi nafuatulia huu mgogoro miaka najua kinachotokea ndiyo nakileta hapa siyo fikra zangu halafu mimi siyo shabiki mandazi kama wewe unaonekana vitu vingi hufahamu kuhusu Syria.