Sasa kipi kimeongelewa hapo? Au ni siri yenu? Mnaanzakuumba matukio ambayo hayakuwahi kuwepo?Huu mkutano ndiyo ulimuondoa Assad.
View: https://x.com/mylordbebo/status/1865699811481292920?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sasa kipi kimeongelewa hapo? Au ni siri yenu? Mnaanzakuumba matukio ambayo hayakuwahi kuwepo?
Wewe si uzi wako uliufungua kabla ya hicho kikao?
Russi naIranamao ndiyo ilikwanguzo ya Assad wameshalegea na kuchoshwa na wamechoka kweli.
Russia kalazimika kusafiri hadi Kora kuomba Askari kwa kiduku. Askari wenyewe nao juzi wamechomwa hapo Kursk
1. Ipo busy na UkraineUsitimie nguvu..
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,
"Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani" 😂😂😂
usipokubali kwa hiari utalazimishwa kukubali, nadhani hukufikiria hilo ostadh
IshaondokaWanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
UP DATE===============
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi, hongera.
View: https://x.com/mylordbebo/status/1865630687757230397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ushahidi wa haya unayotwambia please!Hizo fikra zako Assad kauzwa na Sunni na Jeshi lake pia kulikuwa hamna vita ni mapinduzi jeshi lilikataa kupigana unajua kama Assad no Shia na Syria 75% ni Sunni maana hapo Qatar, Saudia. Uturuki, Oman, Jordan, Kuwait wamehusika kulikuwa na vikao kati ya Saudia na Urusi, nakupa darsa.
Masikini, yaani mmapigwa uongo wa mchana na nyie mmameza tu. Huyo anayebandiko hizo habari unazo quote inaelekea ndiye chief comforter wenu kwa sasa na anayeifanya kazi yake vyema illi kuwatuliza maumivu ya mioyo.
Hahahaha nimecheka. Ila Ritz unapenda sana ligi mkuu🙂😀😀. Hata wadanyaje hawakuwezi wewe.😀😀😀JF ina vituko mvaa msalaba wa mbao kilo 15 anamcheka mvaa kobaz😂
Hujui kitu bana unaongea fikra zako futialia habari acha ushabiki mandazi, Assad alijua anaondoka kakusanya vitu vyake vyake na kaondolewa na Urusi.Masikini, yaani mmapigwa uongo wa mchana na nyie mmameza tu. Huyo anayebandiko hizo habari unazo quote inaelekea ndiye chief comforter wenu kwa sasa na anayeifanya kazi yake vyema illi kuwatuliza maumivu ya mioyo.
Breaking News ya kikaocha makabidhiano inatolewa baada ya serikali kupinduliwa na nyie msivyo na akili mnabugia tu kama makinda ya ndege.
Hakuna kikao chochote kiichofanyika kati ya waasi na Assad
Hahahaha nimegundua JF kuna watu wabishi sana hawanikubali lakini cha ajabu wanakesha kwenye nyuzi zangu kufonyza data.😂Ushahidi wa haya unayotwambia please!
Putin Hana hali Sasa
Wewe badala ya kutafuta habari umeamua kutafuta farajaHujui kitu bana unaongea fikra zako futialia habari acha ushabiki mandazi, Assad alijua anaondoka kakusanya vitu vyake vyake na kaondolewa na Urusi.
Usiwe unajifanya msemaji wa Urusi wakati hujui chochote zaidi ya kutegemea habari za propaganda za gubasi🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia Assad?
Washirika wa Assad hawakusaidia, kwa sababu jeshi na watu wa Syria hawakupigana.
Kimsingi hapakuwa na vita kubwa hata moja, lakini kama kwenye video wanajeshi wa Syria waliondoka tu.
Kwa hivyo washirika wakasema: "Kwa nini tupigane, ikiwa hawapigani?"
- 🇷🇺 Warusi walifanya mashambulizi kadhaa mwanzoni, lakini walisimama mara tu ilipoona kuwa serikali ya Syria haipingi.
- 🇮🇷 Iran ilijadili kupelekwa kwa wanajeshi, lakini vivyo hivyo iliachana na wazo hilo.
- 🇱🇧 Hezbollah haijatuma wanajeshi, madai yote yalikuwa ya uwongo
- 🇮🇶 Wanamgambo wote waliokuwa njiani walisimama mpakani na viongozi wakatangaza kuwa hawataingilia kati.
-> Hakuna mtu anayepaswa kuingilia kati ikiwa hakuna vita! Kimsingi hapakuwa na vita, ni waasi tu waliokuwa wakiendesha gari kuelekea Damascus na jeshi kujisalimisha.
Kwa maana hiyo, hiyo ilikuwa sahihi kutoingilia Syria. Kwa sababu watu hawakutaka kupigana, bali kumuondoa Assad.
Natumai watu wa Syria walifanya chaguo sahihi,
Nipo pembeni nimejibanza nasubiri maswali yako maana ni mazuri wasomaji wanapata faida.