Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Walijaribu kilicho wakuta hawataki tena kurudi huko kukomboa hivyo visimaWarusi na Wairani wanashindwa nini kuisaidia Syria kurudisha visima vya mafuta vinavyokaliwa na wamarekani na kuuacha Uchumi wa Syria ukidhoofika na kuonewa na waasi?
π π π Kwahiyo kumbe wajeda wa Asad walikimbia wa kaacha kambi zao na silaha?
Jamii yao inasilimishwa,soon or later europe you know won't be thereNdio njia pekee ya kudeal na mwarabu atulie. Unamtengenezea ugomvi kutoka ndani. Unavyomuona mzungu anaruhusu migrants waingie kwao kwa wingi usifikiri wanakosea mzee. Wale wote wanaenda kutrainiwa kusubir siku ya kulianzisha.
Bro mi ungejua huko naenda kama hapo kkoo. Wazungu wengi wameamua kutokuamin habar za dini. Uislam unaokua ulaya ni wingi wa wageni wanaoingia. Wakimbizi wengi wanaokwenda ulaya ni waislamu. So ukiona misikiti mingi ujue ni wageni wanasali.Jamii yao inasilimishwa,soon or later europe you know won't be there
Israel analeta fitina kuangusha utawala wa Syria hili lipo waziMuslims lazima waihusishe Israel mambo yao yakienda combo
Washaanza kutandikwa halafu Russia bwana haongei hovyo hovyo utasikia vilio tuWatapokea kipigo mapema na wapoteane mapema tu Russia ni Lidude kubwa sana. Lkn ukikaa kusikia propaganda za West unaweza sema Russia mgambo tu.!!
Fitina za Israel kuangusha utawala wa Syria zimefeli. Mrusi hataki shobo anawashona vibaya mnoSunni Shia Conflict inaanza tena, kuchinjana kwa Waisilamu wenyewe kwa wenyewe, theatre ni Syria huenda ikahamia na Iraq. sisi yetu macho na πΏ na Soda baridi aina ya Bibsiππ
Jihadi wao kwa waoππ
"Makafiri" watapunzishwa kidogo ππ
WameshindwaWanataka wampeleekee moto Putin pande zote mbili.
Wewe aliyekwambia wasiria wanateseka ni nani? Wewe mwenyewe hapo ulipo unateseka leo umegeuka msemaji wa wasyria.Assad aliua mtu ndo sababu haya yote yalianza mwaka 2011 , Ile nchi siyo ya Assad , mnavyozid kumtetea Assad ndivyo mnavyo chochea hii vita Wasyria wanateseka kisa Assad anang'ang'ania madarakani
Hi siyo vita ya uislamuWewe unafurahia kuona Waislam wenzako Wanauana kama kuku?
Hata wewe ukitaka unaenda unalipwa vizuri tu siyo kesiSawa ila wanaotumika ni hao hao waarabu sio?
Hawajakimbia Russia aliwaelekeza waondoke katika maeneo yote yaliyovamiwa na waasi ili asafishe vizuri na ndicho kilichotokea.π π π Kwahiyo kumbe wajeda wa Asad walikimbia wa kaacha kambi zao na silaha?
Lengo la yahudi linatimia bila nguvu
Hapo western media zote zinawaita hao kuea ni waasi yani rebells kwa sababu wanasapotiwa na west. Ingelikuwa wanasapitiwa na Iran ungesikia wanasema terrorists.Wanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.