Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia.
Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na Asia zinapata tabu kiasi hichi?
Kwa sasa duniani mafuta bei juu,vyakula bei juu,mbolea bei juu na kilicho na bei ndogo kunyamba tu basi.
Naiomba dunia waondoe vikwazo walivyoweka kwa Urusi ili mambo yaende sawa na Urusi acha amtwange Ukraine kwani hata ikifutika katika uso wa dunia bado dunia itaishi na haimtegemei yeye. Dunia inamtegemea Urusi kwa 87% na huyu ndie baba na babu wa ulimwengu huu.
Maisha magumu ni kwa sababu tu Urusi amechokozwa na tunapata tabu kweli kweli.