britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa mkandawile na vibatu vyenye harufu ya bamia.
Bwana last week nikawa na kazi sehemu kama kawida yangu, nikatafta booking ya ndege nilikuwa naenda Nchi fulan kwa ajili ya kazi (inside job) nikapitia kurasa kadhaa za kutangaza safari za ndege za shirika la urusi maarufu kama Russia airline, na wajanja sana wao wanachofanya wanakwambia kwamba ndege hii inasafiri hadi uingereza au kokote dunian ila wanachofanya wanakukatia kufaulisha maana hawawezi toboa dunian kulingana na mzozo wake na Dunia, nchi pekee ambazo ndege za urusi zina access ya kuingia ni Iran, Turkmenistan, North Korea, Nicaragua, na hapo kwa north korea bado kuna matatizo kulingana na wateja kukosa huko hivo wanalazimika kuacha route hiyo iwe dominated na air koryo tu ya nk,
Ndege zina hitlafu sana hazifunction inavyotakiwa na wahudumu au raia mnakuwa strictly prohibited kupiga picha na kusambaza, nje ya hapo utakipata cha mtema kuni.
Ratiba zao za ndege Magumashi kama Air Tanzania kwa sasa, muda wa kuondoka mnaandikiwa saa 4 lakin mnachelewa mpaka masaa 2 mbele bila sababu za msingi, kichekesho zaidi yan Urusi yangu hii ina matatizo ndege inasukumwa na mikono kuingia kwenye run way nikajiuliza hivi vile vi gari vya kusukuma havipo au wana sababu zao nyingine za kiusalama?
Kwakweli huduma zao ni za hovyo sana kabisa kwa karne hii ya 21 na technology waliyo nayo urusi tunayoaminishwa wanayo, nimejiuliza mengi ni ama urusi ni majigambo kama mtu fulan hapo Tanzania au ni shida ya vita ndo imemlegeza hivi?
Maana hata wapiganaji wa kuendeleza vita baada ya bajeti na nguvu kazi kukata nimeona juzi wanalazimisha watu wa kada kadhaa kwenda mapiganoni ilihali hawana ujuzi na si hiari yao, naona wameleta makundi yaliyokuwa ya Islamic states ndo yasaidie pia katika kupigana na dubwana liitwalo Ukraine.
Nataman hii vita waimalize watu waishi kwa raha kama zamani, tunaambia thamani ya sarafu ya urusi imeimarika lakin kwenye makaratasi, ila tulioko ground kazi ni ngumu na mambo ni Magumu sana, ingekuwa ni hiari yangu bila kushinikizwa na kazi ni bora nikahamia nchi nyingine kuliko Urusi.
Wameanzisha mfuko maalumu wa kuwalazimisha wafany biashara kutozwa tozo ya 12% extra ya mapato yao ku supplement matumizi ya serikali ya Putin, GTI9-0, Wafanya biashara wakilalamika ndo inakula kwao ni ama wapotezwe au biashara yote inachukuliwa kimafia.
Kwa sasa wapinzani wameanza kumpa joto Putin kwakuwa uchaguzi unakaribia, ila kapiga marufuku hakuna mikutano kisiasa hali haija kaa sawa kiusalama wa nchi.
Je, hii ndo Superpower?
Britanicca