Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

[emoji635][emoji1255][emoji779]️From today, Vladimir Zelensky should be declared a terrorist, a blow is needed to convince the enemy that Russia has the opportunity to punish such actions to death, Oleg Morozov, deputy of the State Duma from United Russia, told RIA Novosti.
Nothing will deter Ukraine from hitting Russians
 
Habarini za jioni wakuu.

Kuna taarifa zimeanza kuzagaa kwenye media mbali mbali kuanzia leo mchana kuwa,JANA USIKU NDEGE MBILI ZISIZO NA RUBANI ZIMESHAMBULIA IKULU YA KREMLIN PALE MOSCOW.

Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Urusi ni kwamba hilo lilikuwa ni jaribio la kigaidi la ukraine kutaka kumuua Rais Putin.

Na wizara imesema kuwa ndege zote zilinaswa na mfumo wa ulinzi na hazikusababisha madhara yeyote wala uharibifu wa majengo.

Lakini pia Ukraine mpaka sasa haijasema kuwa imehusika na Rais wao Zelensky yuko ziarani huko FINLAND.

Lakini pia urusi imesema imesema italipiza kisasi shambulizi hilo kwa muda na wakati unaofaa.

Hivyo basi, kwa ninavyoijua URUSI, mda si mrefu KIEV kutawaka moto.

Ukraine imefanya kosa kubwa mno kujaribu kuingia mpaka Moscow kwenye ikulu ya Rais, kwa mtazamo wangu hili litazidi kuwagharimu Ukraine.
 
Kosa kubwa lipi wakati hizi ni nchi zilizopakana na zipo vitani? Yaani wewe upigwe tuu unaangalia inatakiwa wawashwe na wao vibao ili wajue machungu yake.
 
Wamlipue akiwa Finland au?
Zelensky in Finland denied that Ukraine had attacked the Kremlin: “We are not attacking Putin or Moscow. We are fighting on our own territory… We don’t have enough, you know, weapons for this.”
 
Kuna mawili,
1.Ukraine imekuwa desperate kuona Bakhmut inaanguka,kaamua liwalo naliwe.
2. Huenda ni inside job ya Urusi kuhalalisha kutangaza vita kamili.
Anyway,Kwa Putin ajifunze sasa,anacheka na kima sasa anavuna mabua.
ukraine ndo anacheka na kima tangu 2014 Ukraine wanatumia busara zaid ila Putin anawaona wenzie wajinga kwa kukaa kimya , sasa wameona wasipoteze pekee yao
 
Sio Putin tu,hata NATO wanamzuia Ukraine kushambulia Urusi Kwa silaha wanazompa!
bado unawaona NATO wabaya kwenye huu mgogoro kwann wao warusi wasijitoe ukraine ? mpk sasa unaona lengo la NATO ni usalama wa Ukraine wala sio kuizuru Urusi ila Urusi ndo anajitafutia matatizo
 
Choka mbaya wamagharibi wangekua wanalialia na vikwazo........ Tena vita kua ndefu imekua advantage kwa urusi. Kwenye kuishusha dola na kuipa nguvu BRICS
mnavyoa andika muwe na utafit kabla , warusi wenyew wanalia wanakuwa koloni la china kisa hii vita , yaan kila bidhaa hadi technology inaanza kuwa chini ya China
 
Back
Top Bottom