Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Duh 🤣😂😁Dr. Shika (r.i.p)
Aliwahi kusema ukihojiwa na warusi(kgb)
unahojiwa uku unachunwa ngozi kdg kdg na pemben Kuna mchoma nyama mahili, anachukua nyama yako anaipaka viungo vingi na kuichoma akiwapa mbwa waile uku mahojiano yako yakiendelea😃
Acha uongo lini Urusi alisema anataka kuchukua nchi yote? Na wala ufahamu kwa nini Urusi anayachukua hayo maeneo. Subirini tu muone Putin atakachakifanya kasema wazi itakuwa adhabu ya wazi.Ni miaka miwili sio kuwaua tu viongozi wa ukraine bali ilitaka ichukue nchi nzima ya ukraine lakin mpaka sahivi wameshindwa
Kama propaganda nyingine
Hakuna sehemu nimesema china anawa-treat wakristo vizuriChina haina tatizo lolote na Uislam wala dini yoyote as long as ukifuata principle za serikali iliyopo Beijing.
China mpaka leo ina mgogoro mkubwa na Kanisa katoliki baada kanisa katoliki kujifanya viburi na kugomea sheria za serikali ya China.
Nayo China haitambui waaskofu wanao chaguliwa na papa bila idhini yao.
China na Vatican ziliwahi kuwa na mkataba ambao hakudumu sana mashariti yakavunjwa.
China dini zote zipo chini ya mamlaka kikombe wanacho kunywa waislam China ndicho kikombe hicho hicho wanacho kunywa wakristo na dini zote China hakuna dini yenye special treatment China wakomunisti wale.
Uwezo huo hana nyie waislamu endeleeni kumuombea huko msikitini ili afanikiweAcha uongo lini Urusi alisema anataka kuchukua nchi yote? Na wala ufahamu kwa nini Urusi anayachukua hayo maeneo. Subirini tu muone Putin atakachakifanya kasema wazi itakuwa adhabu ya wazi.
Nimeandika dini zote zinapewa treatment sawa ila wewe umeona ukristo tu. Wewe ni mkristo umeumia mimi kusema niliyosema ?Hakuna sehemu nimesema china anawa-treat wakristo vizuri
Penda kujikita kwenye mada
Nimeandika dini zote zinapewa treatment sawa ila wewe umeona ukristo tu. Wewe ni mkristo umeumia mimi kusema niliyosema ?
Unangea kama umekatwa kichwa utapata ugonjwa wa moyo bure kuwachukia Waislam umeishawahi kujiuliza.Waislam wanavyowatetea hao magaidi unaona kabisa hii dini ina walakini!
BILA UISLAM DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI
Putin ni Mkiristo mwenzako wewe unapambana na Uislam uwezi utajiumiza moyo wako bure wamepita wenzako toka karne ya 7 🤣Uwezo huo hana nyie waislamu endeleeni kumuombea huko msikitini ili afanikiwe
Wale magaid wa kislamu wanaenda kukutana na mabikra 72 kwa hiyo kukatwa sikio na mateso ni suna kwenye uislamuHawa Warusi hatari sana daaah yaani askari kakata sikio la gaidi kisha anamwambia kula watajuta aliyewatuma anapewa salamu.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1771542088775004665?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wale magaid wa kislamu wanaenda kukutana na mabikra 72 wawashughulikie kwa hiyo kukatwa sikio na mateso ni suna kwenye uislamuPutin ni Mkiristo mwenzako wewe unapambana na Uislam uwezi utajiumiza moyo wako bure wamepita wenzako toka karne ya 7 🤣
Putin mkoristo mwenzako kasema wazi atatoa adhabu ya wazi kwa wahusika wote.
Walihusika ni wIslamu ila putin lazima ahamishe magoliBREAKNG: The defense committee chief of Russia's lower house of parliament says that 'Ukraine and its patrons are the main stakeholders' in terrorist attack on Moscow concert hall.
Ila anasema alikua anasikiliza mahubiri ya dini yenu takatifu.....Wanaukumbi.
BREAKING: INTERROGATION VIDEO OF MOSCOW TERROR SUSPECT
HE CLAIMS HE WAS RECRUITED VIA TELEGRAM:
'Police: “What did you do in Crocus?”
Suspect: “Shot.”
Police: “Whom?”
Suspect: “People.”
Police: “For what?”
Suspect: “For money. Half a million Rubles.”
Police: “Where did you get the weapons?”
Suspect: “They delivered the weapons themselves.”
Police: “Who are they?”
Suspect: “I don’t know. They wrote by Telegram without a name, without anything.”
BREAKING: VIDEO YA KUHOJIWA YA MTUHUMIWA WA UGAIDI MOSCOW
ANADAI ALIAJIRIWA KUPITIA TELEGRAM:
'Polisi: "Ulifanya nini huko Crocus?"
Mtuhumiwa: "Piga risasi."
Polisi: "Nani?"
Mtuhumiwa: "Watu."
Polisi: "Kwa nini?"
Mtuhumiwa: "Kwa pesa. Rubles nusu milioni."
Polisi: "Ulipata wapi silaha?"
Mshukiwa: "Walikabidhi silaha wenyewe."
Polisi: "Ni akina nani?"
Mtuhumiwa: "Sijui. Waliandika na Telegram bila jina, bila chochote.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1771504136179077548?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Russian special forces cut off the terrorist's ear near the Ukrainian border where he tried to escape, where the organizers were waiting for him.Wale magaid wa kislamu wanaenda kukutana na mabikra 72 kwa hiyo kukatwa sikio na mateso ni suna kwenye uislamu