Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

Walihusika ni wIslamu ila putin lazima ahamishe magoli
Putin hawezi kutumia kadi ya udini maana anawale jamaa zake wakina kadyrov atakua anawatusi ,ila mchezo mzima umesomeka, wametumika waislam wa ISIS ambao wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya wamagharibi
 
Ila anasema alikua anasikiliza mahubiri ya dini yenu takatifu.....
asee bora wangeajili waarabu tu ambao View attachment 2942716wanaweza kujilipua kufata bikira mbinguni,,,huyu jamaa alikua anataka kutoroka ili akatumbue dolari zake buku 5
Umemskia Putin lakini

🇷🇺 Putin in a speech right now:

“All the perpetrators of the terrorist attacks have been found and detained. They tried to hide on the territory of Ukraine. A window was prepared at the border to enter the territory of Ukraine.”

Go on Mr Putin. Tell us who they are.🔥
 
ISIS ni haohao wamarekani na mashoga zake
 
Aliekamatwa kasema yote,,,na kabla ya tukio alienda uturuki,,,Putin hawezi akasema moja kwa moja ishu za udini kwenye hilo jambo maana ana upande wa waislam ambao pia wanamuunga mkono ila majina ya hao magaidi ni wa dini ile,,,,,ISIS kakutana nao Syria anawajua
 
Walihusika ni wIslamu ila putin lazima ahamishe magoli
Wewe utakuwa una UTI ya ubongo wewe una uchungu na Urusi kuzidi Putin na KGB 🤣🤣 Tanzania kuna vituko.
🇷🇺 From Ramzan Kadyrov:

"The fighters of the "AKHMAT-RUSSIA" Regiment of the Ministry of Defense of the country, deployed in the Bryansk region and providing protection of the state border between Russia and Ukraine, together with the Special Purpose Center of the FSB, detained four terrorists in the Bryansk region attempting to cross the Russian-Ukrainian border, who directly participated in the shooting of people at Crocus City Hall.

Chechen fighters arrived at the search area for the terrorists at around three o'clock in the morning and immediately began searching the area together with the FSB's Special Purpose Center and fighters from the Leningrad Military District of the Russian Armed Forces.

With the task of capturing the killers alive, they successfully accomplished it despite the risks. None of the law enforcement officers were harmed during the special operation.

The Commander of the Western Military District troops, Lieutenant General Yevgeny Nikiforov, thanked the "AKHMAT" fighters and stated that they would be nominated for state awards."
 
Waliofanya hilo tukio ni waislam wa ISIS ngoja na yeye sasa awatumie Houthi kupeleka moto
 
Hii taarifa itawafanya marafiki wa mayahudi na westerns kwa ujumla kutopata usingizi,

Puttin kazia hapo hapo, mpaka awataje waliowatuma.
 
DUNIA BILA UISLAM INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!.
 
Uzembe mkubwa sana. Wanakubali vipi kukamatwa na askari wa Russia wakiwa hai!?
Tena baada ya kupiga tukio kama hili.
Watateseka sana hao jamaa, hapo bado hawajapelekwa kwenye idara ya mahojiano, aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…