I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Asante kwa kukazia ndugu yangu. Ndyo upumbavu walioaminishwaWakiua wanasema allah akbar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kukazia ndugu yangu. Ndyo upumbavu walioaminishwaWakiua wanasema allah akbar
Kwanin wakiua wanasema allah akbarUnaona ulivyo unachekesha!!?
Kwahiyo mtu akijiita alshabaab basi yeye muislam??
Hivi unajua alshabaab wale wanapigania madaraka ya kikabila la AMHAR litawale Somalia kwa mwamvuli wa kidini???
Na ndio maana kiongozi atayeingia kama haendani na kabila lao wanampangia assassination attempt.
Bokoharam wako kwa minajili ya kisiasa kupitia mwamvuli wa kidini nenda kasome kisa chao vizuri.
Una mengi huyajui.
Nikiongea mimi nitaonekana muongo.Na waislmu walishindwa kushambaza uislamu europe kwa mabavu kupitia crusader
Middle east walifanikiwa ila walipojaribubkwenda europe walishindwa
Sasa kama wanatumia mwavuli wa dini kwanini watumie Dini ya Kiislam wasiende kutumia ukristo au sijui ulokole?Unaona ulivyo unachekesha!!?
Kwahiyo mtu akijiita alshabaab basi yeye muislam??
Hivi unajua alshabaab wale wanapigania madaraka ya kikabila la AMHAR litawale Somalia kwa mwamvuli wa kidini???
Na ndio maana kiongozi atayeingia kama haendani na kabila lao wanampangia assassination attempt.
Bokoharam wako kwa minajili ya kisiasa kupitia mwamvuli wa kidini nenda kasome kisa chao vizuri.
Una mengi huyajui.
Kwahiyo hata wale wanaojinasibu wakristu na wanafunga ndoa za ushoga makanisani nao pia ni wakristu thabiti kabisa ambao wanakubalika??Wakiua wanasema allah akbar
BILA UISLAM DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!Acha kuropoka takataka kama umekunywa maji machafu.
1)VITA YA KWANZA YA DUNIA ALIANZISHA MUISLAM?
2)VITA YA PILI YA DUNIA ALIANZISHA MUISLAM.
3)UKOLONI NA MAUAJI YA KIMBALI YALOFANYIKA KATIKA MAKOLONI HUSUSAN YA KIINGEREZA NA KIJERUMANI YALIANZISHWA NA MUISLAM??
4)VITA YA UKRAINE ALIANZISHA MUISLAM??
5)KUIVUNJA USSR ALIANZISHA MUISLAM??
6)VITA ZA IRAQ NA SYRIA NA LIBYA ALIANZISHA MUISLAM??
FALA MKUBWA WEWE.
Embu jibu hayo maswali kwanza.
Hatukatai huko tulikotoka hizi dini zetu zote zina historia ya kupigana vita.Nikiongea mimi nitaonekana muongo.
CRUSADE WAR ILIKUA NI VITA YA MSALABA NA WALIANZISHA WAKATOLIKI.
Soma hizo hapo articles chini maana nikiongea mimi nitaonekana muongo.View attachment 2944217View attachment 2944218
Labda unashindwa kuelewa kitu kimoja.Sasa kama wanatumia mwavuli wa dini kwanini watumie Dini ya Kiislam wasiende kutumia ukristo au sijui ulokole?
Wote hao wawe wanatumia mwamvuli wa Uislam tu??
Na kama wanatumia mwamvuli wenu ili kuwachafua ni kwanini nyie wahusika wenyewe wenye dini msiwachukulie hatua kwa kuchafua dini yenu?
Ushaishiwa hoja wacha niku block nishakujua we ni kijana tu mpuuzi usiyejielewa.BILA UISLAM DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!
Hayo maswali wapelekee Masheikh wakujibu!
FACTBILA UISLAM DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA PA KUISHI!
Hayo maswali wapelekee Masheikh wakujibu!
Sasa swali langu ni kwamba ni kwanini Uislam tu ndyo utumike? Ni kutokana na mapungufu yake pamoja na kujengwa na misingi ya Violence.Labda unashindwa kuelewa kitu kimoja.
Hata hao USA wanatumia mwamvuli wa uislam kutimiza yao mathalan kuivunja USSR walitumika Mujaheddin(Taliban).
Watu wasio na mlengwa mzuri hutumia vijana kwa kuwa brainwash kuwa wanapombana wanapambania dini yao ya kiislam kumbe badala yake wanapigania maslahi ya watu binafsi ya kisiasa.
Na Uislam tokea miaka ya nyuma umezoeleka kuwa ni dini ya ITIKADI KALI ndio maana watu hutumia udhaifu huo.
Katizame wapiganaji wengi wa alshabaab na Bokoharam masikini ni vijana wadogo waliokua brainwashed kuwa wanapigana jihad na wakidanganywa na fedha za hapa na pale kumbe wanapigania maslahi ya watu binafsi ya kisiasa.
Hivi unafuatilia mratibu wa hizi vita ni nani??Hatukatai huko tulikotoka hizi dini zetu zote zina historia ya kupigana vita.
Hata ukisoma Biblia, ukisoma quran zote zina simulizi za mapigano ya vita. Lakini hizo zote ni way back tushatoka huko zamani sana.
Sasa nyie ndugu zetu bado mpo humo tu, kila siku mnatutesa kusikia habari zenu za kujitoa mhanga na kuua mamia ya watu huku mkisema allah akbar
Nadhani Bado kuna mambo ya msingi hatuelewani hapa.Hivi unafuatilia mratibu wa hizi vita ni nani??
Wacha nikupe homework ukaifanye:
1)Kafuatilie nani anawafadhili ISIS Iraq na Syria.
2Kafuatilie nani anawafadhili PKK kurdish fighters Syria na Turkiye na Iraq.
3)Kafuatilie nani kafadhili mauaji ya Mohammed Morsi ili Elsisi aingie madarakani.
4)Kafuatilie nani aliratibu vita za Yemeni tokea 2014 mpaka 2021.
Chanzo hamkijui mnaongea tu.
Embu kafuatilie hayo kesha urejee.
Unakosea.Sasa swali langu ni kwamba ni kwanini Uislam tu ndyo utumike? Ni kutokana na mapungufu yake pamoja na kujengwa na misingi ya Violence.
Tunarudi palepale kuwa, Bila uislam dunia ingekuwa sehemu salama sana ya kuishi
Naunga mkono hoja uislam ni dini hatari ukristo ni ujingaView attachment 2942624
Ndio maana uchinani hawataki masihara
ALlahu Akbar maana yake Mungu mkubwa.Kwanin wakiua wanasema allah akbar
😂😂😂😂😂Aisee unanichekesha we jamaa.We ndo ufuatulie sisi mimi
Uko bize kukariri juzuu huwezi nielewa
Pakistan na India ni Nchi moja imegawanywa tu juzi juzi, asilimia kubwa ya Wapakistan ni Punjabi, ambao ndio hao hao wapo India kwa wingi.Afghanistan na Pakistan kiasili wanaendana na Tajikistan na hao Uzbekistan.
Afghani na Paki sio Indian origin hata kidogo wana unasaba mkubwa wa kiajemi .
Kuwa Pakistan na India kuwa taifa moja hilo halipingiki mkuu.Pakistan na India ni Nchi moja imegawanywa tu juzi juzi, asilimia kubwa ya Wapakistan ni Punjabi, ambao ndio hao hao wapo India kwa wingi.
WA Afghanistan wengi ni pashtun ambao pia wapo kwa wingi Pakistan na India. Kuna Makabila madogo madogo ya Afghanistan ambayo yana relate Na Iran na uzbek kama vile Hazara.
Hii study inaelezea vizuri
NCBI - WWW Error Blocked Diagnostic
www.ncbi.nlm.nih.gov
Kwa case yetu hapa Tunaongelea Taliban ambao ni Pashtun na wanarelate zaidi na Pakistan na west India.
Hawa ndio hazara
View attachment 2944266
View attachment 2944267
By appearance unawaona ni kweli wana asili ya huko Uzbek
Na hawa pashtun
View attachment 2944268
Wakipita mtaani hutofautishi na wale Tabligh wa kipakistan.
Bora ungekaa kimya unazidi kuonyesha ujinga wako wewe upo Uloye unapinga msome Papa kabla ya kifo chake.Vita vya dunia walikua wanapigania maslai na sio dini
Hawa ndugu zako wakiua wanasema allah akbar
Crusade roma empire walikuwa wanajilinda dhid ya caliphate za kiislamu zilizokua zinawalazamisha kuwa waislamu ndo maana ya crusade
Kama sio uimara wa roma empire western europe yote ingechukuliwa na waislamu na wote kuwa magaidi
Pope John Paul II made many apologies. During his long reign as Pope, he apologized to Jews, women, people convicted by the Inquisition, Muslims killed by the Crusaders and almost everyone who had suffered at the hands of the Catholic Church over the years. Even before he became the Pope, he was a prominent editor and supporter of initiatives like the Letter of Reconciliation of the Polish Bishops to the German Bishops from 1965. As Pope, he officially made public apologies for over 100 of these wrongdoings, including:>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Unapoteza muda wako kupambana na Uislam kuna wenzako toka karne ya 7 walikuwa wanapambana na Uislam leo wapo wapi na Uislam upo wapi?>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>