DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
i, Kwa hiyo baada ya kupandisha ushuru wa bidhaa zinazoingia U.S.A kutoka China unafahamu ni nini kilitokea?Sio china ni makampuni ya.marekani yaliyowekeza industrial base China sababu ya cheap production costs.Yanazalishia China na kuuza America kwao kwa bei ya juu
Trump alishawahi kuyatishia hayo makampuni ya Marekani yaliyowekeza industrial base china kuwa yasiporudisha industrial base zao Amerika atapandisha Kodi na ushuru wa bidhaa zao wanazozalisha China sababu wana create ajira China na kuacha waamerika hawana ajira
ii, Unafahamu ni asilimia ngapi za viwanda vilivyopo China vinamilikiwa na wawekezaji kutoka nje ya China?
iii, Unafahamu pia ni asilimia ngapi za viwanda vilivyopo China vinamilikiwa na serikali ya China?
iv, Unafahamu sheria za uwekezaji za China zinasemaje?
V, Unafahamu ni kwa nini matajiri wa marekani walimgomea Trump kurudisha viwanda marekani? baada yake matajiri ndio wanazidi kwenda kuwekeza China?
Vi, Unadhani ni marekani pekee ndio amewekeza viwanda China . Unafahamu ni sababu zipi zina wasukuma matajiri mbalimbali duniani kwenda kuwekeza viwanda China na sio marekani?