DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Naomba unitofautishie kwa njia ya maelezo kati ya bidhaa fake na bidhaa za first standard, second standard na third standard?. Ukishajua tofauti ya hayo maneno hakika utajua china anauzaSasa niambie kwanini hapo awali Urusi alikuwa anatumia bidhaa za Ulaya na Marekani kama China anazalisha bidhaa bora?
Kwanini sasahivi aamue kuhamia China na sio alipozoea kununua?
Ukweli ni kwamba China anazalisha bidhaa feki kwahiyo Urusi ameamua kununua bidhaa feki kwakuwa hana namna.
bidhaa gani Africa. je ni fake au ni third standard na pia utajua China anauza bidhaa gani Ulaya na marekani je Second standard au ni first standard