DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Mkuu tatizo la vijana wa humu jf wanaojitanabaisha Kama wafuasi wa west huyaona mataifa yanayofuata mlengo wa kimashariki Kama ni masikini yasiyojiweza kwa lolote . Aina hii ya vijana walidiriki kusema kuwa Russia sio lolote ni taifa masikini hawawezi kushinda vikwazo vya kiuchumi vya magharibi hana ushawishi wowote duniani baada ya kuanguka hawezi kuendelea na operation yake ya kijeshi hapo Ukraine ndani ya mwezi moja watakuwa Kama Zimbabwe naona ni kwa namna gani Russia amewaonesha ni kwa Jinsi gani alivyo na nguvu na ushawishi kwenye nchi mbalimbali. Kaiingiza pesa ya kutosha ndani ya mwezi moja tu kipindi hiki Cha operation ya kijeshi , ushawishi wake wala haujapotea, nguvu ya kijeshi anayo, dunia inamtegemea kwa kiasi kikubwa kwa gas na mafuta pamoja na chakula na Russia kaonesha ni kwa namna gani anaweza kuyumbisha uchumi wa duniani kwa kiwango kikubwa Sana . Kama walivyomdharau Russia na kumuona sio chochote wala lolote ndivyo hivyo hivyo wanamdharu mchina , pia hivyo hivyo wanamdharua Iran , Korea ya kaskazini wanasahau haya mataifa mawili yamaeishi na vikwazo vya kiuchumi vya marekani na magharibi kwa takribani zaidi ya miaka 50 mpaka Sasa Hilo wanasahau na hakuna siku wameenda marekani na ulaya na kuanza kuwalamba Wazungu makalio ili wawape vijimisaada vya kinyonyaji Kama ambavyo wanapewa mataifa yetu yanayoongozwa na viongozi wajinga na wapumbavu kutwa kucha kuwalamba makalio mabwana zao wa magharibi ili wawape vijimisaada vya kinyonyaji.Unaona sasa umetukimbizia kijana wetu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ungeacha kwanza tumpige msasa kuhusu UCHINA
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMA AMBAVYO WANAYAHESHIMU MATAIFA YA MLENGO WA KIMAGHARIBI PIA WANAPASWA KUYAHESHIMU MATAIFA YENYE MLENGO WA KIMASHARIKI