Urusi waanza kutumia bidhaa za Kichina na Kihindi

Ile sio operation ya kijeshi, ule ni uvamizi.
Mimi nimekuuliza bara la Afrika Lina nchi ngapi . Ila sijakuuliza ni nchi gani kutoka bara la Afrika iliyounga mkono operation ya kijeshi ya urusi pale Ukraine
 
US Secretary of State Anthony Blinken and Russian Foreign Minister Sergey Lavrov, who were in the same room for the first time since the start of the war, defiantly ignored each other.
 
Range Rover zenyewe nasikia zinatengenezwa India na kuna mkono wa India..🤣🤣🤣
 
Ile sio operation ya kijeshi, ule ni uvamizi.
Operation za kijeshi zipo nyingi duniani mfano ni hii ya urusi hapo Ukraine , ya marekani na washirika wake pale Iraq, Libya , Somalia , Afghanistan,Syria n.k
 
Kumbe hata Iddi Amini alifanya operation ya Kijeshi Tanzania na sio uvamizi wa kupora ardhi ya nchi nyingine!

Ni ardhi gani yule mbeha Idd Amini alifanikiwa kuipora hapa kwa Mwalimu?🤔
 
Nani kakwambia kuwa China na India hawana bidhaa zenye high quality na durable??

Tatizo mnaamini sana West.
Wote mna matatizo.

Kwanini hamjiamini nyinyi wenyewe kama waafrika, muda wote mnakaa mnabisha nani bora kati ya Mchina na Usa.

Hopeless kabisaa
 
Huawei, Xiaomi, Oppo na Realme ni kampuni za simu za China na zinauza sana barani Ulaya
 
Sisi tunajitahidi kwenye nini au kazi yetu ni kusifia wengine ?
Mkuu, mtu akifanya mambo makubwa inabidi umwappreciate, upo huru kusifia watu wafanyao mambo makubwa. Ni kama tu watu wanavyowasifia Messi na Ronaldo
Hatujisifii wenyewe kwa sana sababu hakuna mambo makubwa ambayo waafrika tunafanya, au wewe mkuu unatakaje, tuanze kujinafikia au[emoji848][emoji848]
 
We Pimbi kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…