Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

Ila wana karakana kubwa ya vifaru ndio maana hawaishwi kabisa kabisa, kweli akiba haiozi.
 
Yaani inventory ya mataifa kumi hivi ya Afrika na mpaka sasa mumeambulia tumiji twa huko mpakani.....inapaswa waarabu wa Bongo muwe mumechoka kusapoti hawa supapawa mchongo..
Njoo na jambo jipya,hizo sentensi kila siku lazima urudierudie!Nadhani hata NATO wenzako wamekuchoka unavyowachoresh!
 
Njoo na jambo jipya,hizo sentensi kila siku lazima urudierudie!Nadhani hata NATO wenzako wamekuchoka unavyowachoresh!

Jambo ni lile lile na halibadiliki, kipigo kile kile mpaka mwisho.....
 
Hii hapa, kila nikiiangalia nacheka sana... Waarabu wa Bongo ifike wakati mpate aibu.

Aibu unapata wewe,unazoziona na hoja watu timamu wanakucheka Kwa kuonesha ufinyu wako wa maarifa hadharani!
 
KUNA WATU MNAULEVI SIO BURE.
UNATUITA TUMIJI WAKATI WENZAKO WAMEKIMBIA? UNGEKUA WA MAANA UNGEENDA KUPIGANIA HUTO TUMIJI
 
Aibu unapata wewe,unazoziona na hoja watu timamu wanakucheka Kwa kuonesha ufinyu wako wa maarifa hadharani!

Wala sipati aibu, yaani napata raha hadi naumwa...kwanza limsafara lilinitia hofu sana ila kwa namna vijana wa mjini wabeba javelin walivyolifyeka...kha!!
Aibu muipate nyie waarabu wa Bongo kwa supapawa mliyemtegemea eti mbabe wa Marekani kalizwa na kajirani hapo.
 
KUNA WATU MNAULEVI SIO BURE.
UNATUITA TUMIJI WAKATI WENZAKO WAMEKIMBIA? UNGEKUA WA MAANA UNGEENDA KUPIGANIA HUTO TUMIJI

Ulevi ni kushindwa kufumua haka kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi hapo jirani, na kupoteza zana za kila aina likiwemo limeli libwaku na pia majenerali kufa kama senene....

 
Akili Yako ndipo ilipoishia!Endelea kujificha kwenye kichaka Cha Ujinga!
 
Akili Yako ndipo ilipoishia!Endelea kujificha kwenye kichaka Cha Ujinga!

Ha ha ha!! Mimi hata waarabu wenyewe kule Quara wamenishindwa sembuse nyie mliojipandikiza uarabu hapo Bongo.....
 
Umeingizwa mkenge na propaganda ya nchi za magharibi!! Ujue Ukraine na Urusi wanamiliki silaha zinazofanana maana wote wamevirithi kutoka kwa iliyokuwa USSR. Vifaru vya ukraine vilivyokuwa vinabanguliwa mwanzoni kabisa mwa vita picha yake inatumiwa kana kwamba vifaru vya urusi vikibanguliwa!! Ingekuwa hayo yanayosemwa ni kweli, jimbo la Luhansky lisingekombolewa!! wala Mariupol isingetekwa!!

Putin kaziambia nchi za magharibi zilizokuwa zinadai urusi itashindwa kwenye uwanja wa vita, basi waendelee kama wanaweza!! Ukweli ni kwamba Ukraine ilishashindwa vita, kinachoendelea ni uhaini tu wa kujaribu kuua wananchi wa jimbo la Donbas kwa kutumia maroketi ya masafa marefu toka marekani ambayo [pia mengi yameshaharibiwa tayari.
 
Hivi unajua kiasi cha vifaru vya ukraine, ndege za kivita na magari ya kivita yaliyoharibiwa!! Tafuta hiyo halafu uje hapa kuleta mrejesho kama ubavu huo unao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…