URUSI: Wananchi wanapiga kura kuongeza muda wa Rais Putin

URUSI: Wananchi wanapiga kura kuongeza muda wa Rais Putin

Media ya Beberu iseme Putin mzuri?

we kwa akili zako Rais mmoja kuongoza yeye tu ni sahihi? kwani nchi haina watu wengine wenye uwezo wa kuongoza? amka ndugu!

wewe utakuwa kama si mgogo asilia unaechoma moto pori zima ili panya watoke katika mashimo wakimbie ovyo upate kitoweo basi utakuwa ni mrangi ambae akili hujaa katika kukimbia umande na kuuza mahindi kwa wanaume na kwa mwanamke ni kuwa na hawara sita wengine ndugu!!
 
Tanzania tunalakujifunza hapa
Kwa nchi kama urusi,China,Korea,
Kiongozi kuongezewa muda wa kukaa madarskani,kuna faida kubwa,kwa sababu hapa yanaangaliwa maslahi mapana ya nchi,
Mfumo kama wa China,kila anayeingia kuwa raisi anazingatia maslahi mapana ya nchi,hata raisi akila rushwa,anakula shaba tu,
Hivi ukiwa na raisi kama wa China,anayeifsnya nchi yake inakuwa superpower,ktk kila sekta,tekinolojia,jeshi,kilimo,usalama,utataka atoke??
Tofauti yetu na wao,sie huku,wanataka waongezewe muda,ili walinde maslahi ya chama,na ya kwao binafsi,hawana master plan ya kunufaisha nchi nzima,wanawaza kunufsisha mikoa yao,kabila lao,familia zao,hawana vision ya kuifsnya bongo iwe kama Malaysia,Philippine,SA,au India,wao ni majigmbo,uteuzi,matusi,chuki,
 
mkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!

Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!

Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!

ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)

Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
Jambo la kuendelea ni jema . Hao vijana ni kama vijana wa kupinga kila kitu. Na wanakunywa konyagi hovyo hobyo. Ulevi hupunguza ufahamu na maamuzi .
 
  • Thanks
Reactions: Sax

Mziki wa Putin muulize mbwa mkubwa anaujua.
Kwa uzalendo na maslahi ya Urusi Putin anafaa kuendelea.
Katiba ni makaratasi tu kama mengine.
 
Marekani sasa hivi kabanwa mbupu!

Nashukuru sana kuibuka kwa Mataifa kama china, urusi na irani ili kubalance power!

Huwezi kusikia USA anataka kumtoa Putin kama alivyofanya kwa Gadafi!
Ajikute kule kuna wanahisabati na wasayansi waliobobea kulifanya Taifa liendelee kutamba jumlisha uzalendo uliotukuka.
 
Jambo la kuendelea ni jema . Hao vijana ni kama vijana wa kupinga kila kitu. Na wanakunywa konyagi hovyo hobyo. Ulevi hupunguza ufahamu na maamuzi .
Kabisa badala wakae chini waje na innovative ideas kutumia usomi wao,wanatumika kushika baba zao ndevu.
 
Namkubali Putin lakin hapa ameanza kunifelisha.
Hana tofauti na wengine Kama akina Lukashenko.
Siku moja alihojiwa akasema hawezi kuongeza mda madarakani. Lakini sa anafanya Nini. Mpumbavu fala
 
Huyo ni Rais anayejitambua na mwenye nidhamu ya kuheshimu wajibu wake kwa nchi yake!

Anatawala nchi ya dunia kwanza yenye uchumi imara, teknolojia, taasisi imara, miundombinu, ajira, na huduma zote za jamii ambazo ni za uhakika.

Hata akiongoza miaka mia, nchi itazidi kwende mbele bila shida.

Huku kwenye manchi ya shithole yaliyojaa umasikini unakuta jitu linang'ang'ania madaraka huku liko incompetent, tapeli na dhulumati!

Manchi yetu haya bado sana. Bado tuko kwenye stage fulani ya kutafuta chakula.

Tukivuka hiyo stage ya kutafuta chakula huenda sasa tukaanza ku deal na serious issues.
Russia n third world wewe so dunia ya kwanza
 
wewe unatazama na kuchambua vizuri ulielewaje mkuu? nisaidie uchambuzi pale!

kiufupi ili unielewe natumia combination ya habari na maoni katika aina yangu ya uandishi naiita ‘provocative’ , yani wahusika bongo kama wewe nawachukiza kwa kuwachana live humo humo!

mtu afanyae mabaya hawezi kujirudi kama hukumchukiza kwa kumchana na kukemea upumbavu wake!

unajifanya hamnazo eti hujui kuwa msingi wa huu uzi ni kuendeleza harakati za kipumbavu za washamba kutaka kumbakisha Rais wa bongo kwa kipindi cha tatu kama Nkurunzinza hiyo sio bongo wakafanye Burundi

sera ya kubaka katiba kwa kuongeza muda wa urais ni ulaya huko ila kwa Africa huleta vita na hatukubaliani nayo hapa bongo ni kwetu sote si kwa yule mgogo na yule mrangi mjinga peke yao , yule mrangi mpumbavu alieanzisha hiyo mada! kwanza akitoka Magu ni zamu yetu wazenji na ni zamu ya Rais muislam msitutoe kwenye mada miaka kumi tutakuwa tumechoka hoi kabisa kuongozwa na machogo na kanisa! Ni zamu ya Maalim sasa.

ukiwa mvivu wa kufikiri na uko mbali na update za siasa za bongo na za nje huwezi kunielewa kamwe!!
Safi . Lakini ukitawaliwa na muislam baada ya mshua utafaidika na Nini?
 
Huyo ni Rais anayejitambua na mwenye nidhamu ya kuheshimu wajibu wake kwa nchi yake!

Anatawala nchi ya dunia kwanza yenye uchumi imara, teknolojia, taasisi imara, miundombinu, ajira, na huduma zote za jamii ambazo ni za uhakika.

Hata akiongoza miaka mia, nchi itazidi kwende mbele bila shida.

Huku kwenye manchi ya shithole yaliyojaa umasikini unakuta jitu linang'ang'ania madaraka huku liko incompetent, tapeli na dhulumati!

Manchi yetu haya bado sana. Bado tuko kwenye stage fulani ya kutafuta chakula.

Tukivuka hiyo stage ya kutafuta chakula huenda sasa tukaanza ku deal na serious issues.
Founding fathers wa Taifa imara kama Marekani wangekuwa na akili kama hizi Hata marekani asingekuwa hapa kuna wakati lazima turuhusu Akili mpya ili tupate mawazo mapya pia hemu tazama mataifa yote yenye long served presidents na hali zao za uchumi na Uhuru wa watu ukoje? Putin akifa ghafla hapo nchi inaporomoka kwa vile tu hakuna Succession plan maana anahisi atatawala for life
 
Safi . Lakini ukitawaliwa na muislam baada ya mshua utafaidika na Nini?
faida ni nyingi,

, moja ni huyu akitoka tutapata Rais mwenye maono na sera tofauti za kuendeleza watu pia ambao wametupiwa virago mfano yule kijana aliemwita Rais mshamba amesema bungeni nikimsikia huku Bwana Februari yuko pembeni akichekelea basi bwana Nipe alisema kuwa pamoja na mshua kujenga miundombinu bora kakosea mno na haelewi kabisa ilani ya chama chao inayotaka raia wawe na hali bora sababu kwasasa hata buku tu ni ngumu mno kuipata familia nyingi zinashinda njaa!! yule bwana wa kusini anasema Rais hafanyi alichotumwa na sisiem yao!

pili kwasasa ni wasukuma wanakula nchi wengine wamepewa vyeo vikubwa kuliko akili zao na wana vyeti feki hawa waropokaji wakitoka Rais mpya atakuja na timu yake na wengine walio taabani kiuchumi kwasasa nao watapata masurufu! kutesa kwa zamu mkuu!

tatu, sisi wazenji ni sehemu ya muungano nasi ni haki yetu kuongoza nchi hii mbona machogo mwajifanya hamnazo eti? yakhe muungano gani wa pande moja si ukoloni tu huu?

nne, pesa za ikulu ziendazo kuendeleza makanisa zitaendea kuendeleza misikiti!

tano, baraza la mawaziri lililojaa wakristo litabalansi akiingia muislam sababu sote tuna haki na nchi hii, kumbuka wazee wa kiislam ndio walimlipia Mwalimu nauli kwenda nje kudai uhuru au hujui?

sita akija Rais kama mkwere hana shida na sheria za vyama vingi kufuatwa wapinzani hawataumizwa wala kupotezwa!

saba, akija muislam nasi wazenji tutasikia raha ati kama vile wewe usikiavyo raha kanisa kuongoza nchi kwasasa usiwe mbinafsi ndugu utaleta vita isiyohitajika watu wasio na hatia watakufa bure! Burundi ya Nkurunzinza haikaliki leo hii wanauana kila siku baada ya bwana yule kuibaka katiba mwaka 2015! wakimbizi wamejaa kigoma au hujui?
 
Habari nimeangalia mwenyewe leo asubuhi Al Jazeera imesema two third ya vijana hawamtaki Putin! ni wazee na genge lake wanalazimisha! hayo mengine ni news from other sources! usidanganywe mkuu uwe unacheki Al Jazeera na France 24 English daily!
Na hapa pia tutafanya hivyo
 
Back
Top Bottom