Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Halaf usisahau kuniletea navigezo vya nchi zadunia yatatu MKUU ili tueke mambo sawa.....Sawa br. Naja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halaf usisahau kuniletea navigezo vya nchi zadunia yatatu MKUU ili tueke mambo sawa.....Sawa br. Naja
Nimegundua kitu hapa! Kwanza kabisa vigezo vya developed na developing nations vimetengenezwa na west hasa US. Kwa mfano kigezo Cha demokrasi Kama ile ya US unapelekea hata nchi zingine Kama Iran ,turkey, iliyokuwa Libya kuonekana ni less developed. Hivyo Basi kwa kudakwa na vigezo hivi wengi wamedondokea kuamini hivi.Halaf usisahau kuniletea navigezo vya nchi zadunia yatatu MKUU ili tueke mambo sawa.....
Naunga mkono hojaWananchi huko Urusi wameanza kupiga kura ya maoni ili kuruhusu Rais Putin kubakia madarakani kwa miaka 16 zaidi. Upigaji kura huyo utakamilika Julai mosi.
Source: BBC
Magufuli aongoze mpaka 2035Tanzania tunalakujifunza hapa
West wapuuzi taifa la 11 katika UCHUMI imara kwaduniani huwez ukaliita MASKINI kwakigezo chochote kile kiwachoNimegundua kitu hapa! Kwanza kabisa vigezo vya developed na developing nations vimetengenezwa na west hasa US. Kwa mfano kigezo Cha demokrasi Kama ile ya US unapelekea hata nchi zingine Kama Iran ,turkey, iliyokuwa Libya kuonekana ni less developed. Hivyo Basi kwa kudakwa na vigezo hivi wengi wamedondokea kuamini hivi.
Lakini hata hivyo mie nilikua "nimechomekea"" kidogo tu ili kuibua mjadala mpya.
Mimi ni miongoni mwa wasioamini katika inferiority ya Russia inayojengwa na west
Hebu kanywe uji kwanza mangi, naona unipotezea WAKTI tu.Russia n third world wewe so dunia ya kwanza
Uko sahihi kabisa.mkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!
Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!
Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!
ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)
Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
Vladmir sio dikteita kwan c anapigiwa kura nawananchi MKUU ama kajiongezea kinguvu hayo mamlaka ?!mkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!
Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!
Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!
ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)
Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
what is your definition of dictatorship mkuu?Vladmir sio dikteita kwan c anapigiwa kura nawananchi MKUU ama kajiongezea kinguvu hayo mamlaka ?!
Kama kupenda watawala wpumbavu wasiopenda kutoka madarakani US anaongoza kuaanzia kwa SAUDIA QATAR BAHRAIN YEMEN KUWAIT UAE nakwengineko
Muache kua wanafiq aseee....
Lengo langu hapa wala sio kuwaongelea huko bongo land sababu mnajijua wenyewe mnavyoendesha chaguzi zenu huko mtajijua tu wenyewe kiukweliwhat is your definition of dictatorship mkuu?
ni kina nani wanampigia kura za ndiyo Putin unawajua? wanaopiga kura wana maslahi gani kutokana na Putin kuendelea madarakani unajua mkuu? ukijibu hayo maswali utaelewa mi sina unafiki kwani warusi wakimsimika Putin kuwa dikteta wao wa maisha mimi binafsi huku mfereji wa wima Zenj napungua nini mkuu? si naendelea tu kula urojo supu ya pweza na mapembe?! Karl Marx anasema all decisions people make have material gain motives inside sijui hata kama una elimu kiasi gani unasumbua tu!
msingi wa comment yangu ni kupinga nia ya uzi huu kutaka kutumia mfano wa Putin kuendeleza harakati za kipumbavu za warangi (mkamia maji ) na wagogo ( nduguye) kumsimika mkulu hapa kwetu kwa kipindi kingine wakati mazingira ya kiuchumi, kidini na kisiasa hayakubali! vita ikizuka bongo kwa raia kupinga ukurunzinza wa kubakwa katiba yao maana yake nasi bongo tuwe wakimbizi ndicho wanachotaka kina mkamia maji na genge lake la wachumia tumbo!
kwanza na sie wazenj waislamu ni zamu yetu kutawala baada ya mkulu kutoka angalau basi Maalim aongoze serikali ya muungano ijayo kwa maana yakhe tushachoka kuongozwa na machogo na kanisa lao! miaka mitano ya kanisa iliyobaki twaiona kama karne nzima!! nyie huko makanisani mngetulia kusikia Jakaya anataka kuongeza muda wa kusalia madarakani? mngekubali muislam atawale maisha bongo?
mkuu kote nimekubaliana nawe ila hapa unaposema definition ya dikteta upaangalie, mfumo unaweza kuonesha Rais anakubalika na akapigiwa kura zikaonesha ameshinda kumbe waliopiga kura ni ten percent tu! mf bongo ina 60 million people na wapiga kura huwa 6 million tu!!! hapa mkulu akiwin uchaguzi kwa kishindo na kutaka aendelee kung’ang’ana madarakani kwa kisingizio kuwa anapendwa utamwitaje kama sio dikteta?Lengo langu hapa wala sio kuwaongelea huko bongo land sababu mnajijua wenyewe mnavyoendesha chaguzi zenu huko mtajijua tu wenyewe kiukweli
Hapa lengo langu nikuonesha yakwamba PUTIN before akichaguliwa kwakupigiwa kura nawakati huu pia anapigiwa kura yakubadilisha katiba
Pia jengine kuhusiana na masuala yakimaslahi kila mtu anampigia mtu anaemtaka kura sababu yamaslahi yake anayoyajua yeye sasa kwanini ushangazwe nawanaompigia kura PUTIN kwamaslahi yao
Election is all about Maslahi kwampiga kura nampigiwa kura
Dictator nilile jitu linalong-ang-ana madarakani bila ridhaa yawananchi wake kama alivyo ELIZABETH amaniyule anaekaa madarakani kwakupitia mapinduzi nakuendeleza ama kudumisha mfumo ule
Bongo(AFRIKA) Namashariki yakati (BARA ARABU) mfumo wakiutawala wademokrasia mnalazimishwa tu ila sio mfumo ambao mnaupenda namnauweza kwahio juu yenu sasa kuamua namna bora yakuufuata mfumo bora mnaouweza nakuupenda ambao utakua namaslahi nanyi
Mataifa yote DUNIANI yalikuja kugawanyika kuufata Mfumo fulani wakiutawala ama kisiasa kipindi chavita baridi
Kuhusiana na elimu yangu mimi ni form Nne failure MKUU.....
MKUU utanisameh kwakisasi fulani sipendi kuiongelea ama kuziongelea siasa za Afrika mashariki especially TANZANIAmkuu kote nimekubaliana nawe ila hapa unaposema definition ya dikteta upaangalie, mfumo unaweza kuonesha Rais anakubalika na akapigiwa kura zikaonesha ameshinda kumbe waliopiga kura ni ten percent tu! mf bongo ina 60 million people na wapiga kura huwa 6 million tu!!! hapa mkulu akiwin uchaguzi kwa kishindo na kutaka aendelee kung’ang’ana madarakani kwa kisingizio kuwa anapendwa utamwitaje kama sio dikteta?
kuna wabunge wapumbavu sana bongo wanataka kutumia vyeo vyao na platform ya bunge kuhalalisha upumbavu wao wa kuvunja katiba kwa kusimika watu urais wa maisha ili walinde matumbo yao na iwapo watapata uungwaji mkono wanaweza kufanikisha hili je watu hao utawaitaje kama sio majuha na malofa?
Acha mambo yako mkuu...Tanzania tunalakujifunza hapa
Nani anatamani kukaa kwa hofu miaka mingi?Tanzania tunalakujifunza hapa
Tulia mkuu ... Msiba wa mchina wewe mbongo una kuhusu nini ilhali hata hamkuwa mkijuana na marehemumkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!
Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!
Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!
ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)
Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
Itakuwa ID moja, wana akili mfananoKawe alumni naona wikii hii praise team upo zam, bia yetu kapumzika[emoji23][emoji16]
Sasa habari umeangalia aljazeera sawa hii. Habari aliyoleta mtoa mada amei copy BBC ... How come una muambia kuwa aimalizie wakati vyombo vilivyo tumika kutoa habari za puttin ni vyombo viwili tofauti ...!!?Habari nimeangalia mwenyewe leo asubuhi Al Jazeera imesema two third ya vijana hawamtaki Putin! ni wazee na genge lake wanalazimisha! hayo mengine ni news from other sources! usidanganywe mkuu uwe unacheki Al Jazeera na France 24 English daily!
Hahaha wewe jamaa .. Unaleta vituko sasa kumbe unaleta udini katika masuala ya utawalawewe unatazama na kuchambua vizuri ulielewaje mkuu? nisaidie uchambuzi pale!
kiufupi ili unielewe natumia combination ya habari na maoni katika aina yangu ya uandishi naiita ‘provocative’ , yani wahusika bongo kama wewe nawachukiza kwa kuwachana live humo humo!
mtu afanyae mabaya hawezi kujirudi kama hukumchukiza kwa kumchana na kukemea upumbavu wake!
unajifanya hamnazo eti hujui kuwa msingi wa huu uzi ni kuendeleza harakati za kipumbavu za washamba kutaka kumbakisha Rais wa bongo kwa kipindi cha tatu kama Nkurunzinza hiyo sio bongo wakafanye Burundi
sera ya kubaka katiba kwa kuongeza muda wa urais ni ulaya huko ila kwa Africa huleta vita na hatukubaliani nayo hapa bongo ni kwetu sote si kwa yule mgogo na yule mrangi mjinga peke yao , yule mrangi mpumbavu alieanzisha hiyo mada! kwanza akitoka Magu ni zamu yetu wazenji na ni zamu ya Rais muislam msitutoe kwenye mada miaka kumi tutakuwa tumechoka hoi kabisa kuongozwa na machogo na kanisa! Ni zamu ya Maalim sasa.
ukiwa mvivu wa kufikiri na uko mbali na update za siasa za bongo na za nje huwezi kunielewa kamwe!!