Media ya Beberu iseme Putin mzuri?
Bia Yetu sijui wameimwaga?Kawe alumni naona wikii hii praise team upo zam, bia yetu kapumzika[emoji23][emoji16]
Kwa nchi kama urusi,China,Korea,Tanzania tunalakujifunza hapa
Jambo la kuendelea ni jema . Hao vijana ni kama vijana wa kupinga kila kitu. Na wanakunywa konyagi hovyo hobyo. Ulevi hupunguza ufahamu na maamuzi .mkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!
Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!
Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!
ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)
Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
Marekani sasa hivi kabanwa mbupu!Hapo huwezi kuwasikia akina Trump au Pompeo.
Mziki wa Putin muulize mbwa mkubwa anaujua.mkuu malizia stori nzima unakimbilia wapi? nimeangalia Al Jazeera leo! tukumbuke Putin ni dikteta na anaipenda Africa na wale watawala wake wapumbavu wasiong’oka madarakani! hili amezungumza mwenyewe! Putin ana laana sababu anahudumia vita nyingi za mashariki ya kati mf Syria na Africa mf Libya ambako mamilioni ya watu wasio na hatia kama watoto na kinamama na wazee wanakufa na kukimbia ovyo! Putin ana makosa mengi ya mauaji ndani na nje ya Urusi anaogopa mkono wa sheria kiti cha urais kinamlinda!
Kuhusu kura za maoni wamesema Al Jazeera kuwa asilimia zaidi ya sitini ya vijana wanapinga hawamtaki, theluthi moja tu ya vijana ndio wanaomkubali, wanaopigania avunje katiba kwa ulafi wake wa madaraka na kuongeza tena vipindi viwili ni wazee wajinga wachumia tumbo na wapumbavu kama ilivyo hapa bongo ambao wengi wao wamebakiza miongo miwili tu kuaga dunia kwa takwimu za life span ya mtu mweusi si kwa mujibu wa Allah of course!
Putin kaona viongozi wajinga wanavunja katiba Afrika raia wako kimya hadi wajifie wenyewe kama Nkurunzinza basi kawaiga ili aendelee kutesa watu duniani!
ikumbukwe pia Putin ni mmoja wa genge la majasusi la Urusi ambao ni matajiri wakubwa na kutoka kwake madarakani ni kudhoofisha pia uchumi wa kundi hilo na genge haliko tayari kwa hilo(Russian oligarchy)
Bongo tunaelewa pia siasa za nje hatuna la kuiga kutoka kwa Putin!
Ajikute kule kuna wanahisabati na wasayansi waliobobea kulifanya Taifa liendelee kutamba jumlisha uzalendo uliotukuka.Marekani sasa hivi kabanwa mbupu!
Nashukuru sana kuibuka kwa Mataifa kama china, urusi na irani ili kubalance power!
Huwezi kusikia USA anataka kumtoa Putin kama alivyofanya kwa Gadafi!
Kabisa badala wakae chini waje na innovative ideas kutumia usomi wao,wanatumika kushika baba zao ndevu.Jambo la kuendelea ni jema . Hao vijana ni kama vijana wa kupinga kila kitu. Na wanakunywa konyagi hovyo hobyo. Ulevi hupunguza ufahamu na maamuzi .
Russia n third world wewe so dunia ya kwanzaHuyo ni Rais anayejitambua na mwenye nidhamu ya kuheshimu wajibu wake kwa nchi yake!
Anatawala nchi ya dunia kwanza yenye uchumi imara, teknolojia, taasisi imara, miundombinu, ajira, na huduma zote za jamii ambazo ni za uhakika.
Hata akiongoza miaka mia, nchi itazidi kwende mbele bila shida.
Huku kwenye manchi ya shithole yaliyojaa umasikini unakuta jitu linang'ang'ania madaraka huku liko incompetent, tapeli na dhulumati!
Manchi yetu haya bado sana. Bado tuko kwenye stage fulani ya kutafuta chakula.
Tukivuka hiyo stage ya kutafuta chakula huenda sasa tukaanza ku deal na serious issues.
Safi . Lakini ukitawaliwa na muislam baada ya mshua utafaidika na Nini?wewe unatazama na kuchambua vizuri ulielewaje mkuu? nisaidie uchambuzi pale!
kiufupi ili unielewe natumia combination ya habari na maoni katika aina yangu ya uandishi naiita ‘provocative’ , yani wahusika bongo kama wewe nawachukiza kwa kuwachana live humo humo!
mtu afanyae mabaya hawezi kujirudi kama hukumchukiza kwa kumchana na kukemea upumbavu wake!
unajifanya hamnazo eti hujui kuwa msingi wa huu uzi ni kuendeleza harakati za kipumbavu za washamba kutaka kumbakisha Rais wa bongo kwa kipindi cha tatu kama Nkurunzinza hiyo sio bongo wakafanye Burundi
sera ya kubaka katiba kwa kuongeza muda wa urais ni ulaya huko ila kwa Africa huleta vita na hatukubaliani nayo hapa bongo ni kwetu sote si kwa yule mgogo na yule mrangi mjinga peke yao , yule mrangi mpumbavu alieanzisha hiyo mada! kwanza akitoka Magu ni zamu yetu wazenji na ni zamu ya Rais muislam msitutoe kwenye mada miaka kumi tutakuwa tumechoka hoi kabisa kuongozwa na machogo na kanisa! Ni zamu ya Maalim sasa.
ukiwa mvivu wa kufikiri na uko mbali na update za siasa za bongo na za nje huwezi kunielewa kamwe!!
Founding fathers wa Taifa imara kama Marekani wangekuwa na akili kama hizi Hata marekani asingekuwa hapa kuna wakati lazima turuhusu Akili mpya ili tupate mawazo mapya pia hemu tazama mataifa yote yenye long served presidents na hali zao za uchumi na Uhuru wa watu ukoje? Putin akifa ghafla hapo nchi inaporomoka kwa vile tu hakuna Succession plan maana anahisi atatawala for lifeHuyo ni Rais anayejitambua na mwenye nidhamu ya kuheshimu wajibu wake kwa nchi yake!
Anatawala nchi ya dunia kwanza yenye uchumi imara, teknolojia, taasisi imara, miundombinu, ajira, na huduma zote za jamii ambazo ni za uhakika.
Hata akiongoza miaka mia, nchi itazidi kwende mbele bila shida.
Huku kwenye manchi ya shithole yaliyojaa umasikini unakuta jitu linang'ang'ania madaraka huku liko incompetent, tapeli na dhulumati!
Manchi yetu haya bado sana. Bado tuko kwenye stage fulani ya kutafuta chakula.
Tukivuka hiyo stage ya kutafuta chakula huenda sasa tukaanza ku deal na serious issues.
faida ni nyingi,Safi . Lakini ukitawaliwa na muislam baada ya mshua utafaidika na Nini?
Jf raha sans.Russia ni dunia ya tatuRussia n third world wewe so dunia ya kwanza
Na hapa pia tutafanya hivyoHabari nimeangalia mwenyewe leo asubuhi Al Jazeera imesema two third ya vijana hawamtaki Putin! ni wazee na genge lake wanalazimisha! hayo mengine ni news from other sources! usidanganywe mkuu uwe unacheki Al Jazeera na France 24 English daily!
Nimecheka sana asee [emoji23][emoji23][emoji23]Jf raha sans.Russia ni dunia ya tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia n third world wewe so dunia ya kwanza
Tafuta taarifa then njoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuota tu
Taarifa zanini unazozitaka weweTafuta taarifa then njoo
Sawa br. NajaTaarifa zanini unazozitaka wewe
Nchi ambayo ilowahi kua katika G7 useme third world country?!
Tafuta wewe taarifa halaf unletee mie nnaebishana nawewe...