Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Mmatumbi unasema akitumia fresh tu
Lakini ameongea kitu cha msingi, sio kwamba wenzake hawajui kwamba Russia ana hizo Nyuklia...

Hapo mkuu nilipobold, wengine wanasema ana Cancer..(sijui kama ni kweli), labda kaona siku zake za kuishi hapa duniani ni chache,kaona aondoke na sisi... 🤣 ...ombea usiingie vita na mtu asiye na cha kupoteza...
 
Mara moja tuliambiwa aneka vinu vya nuclear sawa, sasa mwezi 4, hana issue huyu mzee wa ndaro wacha na yeye atibuliwe kidogo huko Moscow
Yaani nchi yoyote ikishambulia Moscow ndo mwisho wake wale jamaa huwa hawana utani na nchi yao
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Sio tu kwamba anazo bali anaongoza kwa idadi

Total9,44012,705
CountryMilitary StockpileRetired WeaponsTotal Inventory
Russia
4,4771,5005,977
United States
3,7081,7205,428
France
2900290
China
3500350
United Kingdom
18045225
Israel
90090
Pakistan
1650165
India
1600160
North Korea
20020
 
Russia anajua kabisa akibonyeza kitufe tu, watu nao wanakiwasha. Kumbuka mwezi march kama sio April mwanzoni, UK alisema wapo tayari kupeleka nuclear poland/sweden endapo Russia akiendelea na tambo za nuclear dhidi ya ukraine.
Urusi ikitaka inaangamiza marekani Kwa dakika chache
 
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
Nadhani unahitaji kwanza kujipiga msasa kuhusu haya mabomu na wakati ukijipiga msasa refer kidogo tu hapo Hiroshima na Nagasaki au Dakota kule USA ambapo testing ilifanyika utagundua kwamba mpaka kesho kuna mabaki ya hii kitu...

In short kama dunia tunahitaji kuondoa kabisa huu uchafu (its for humanity detriment) na nchi / binadamu yoyote mwenye akili anatumia hii kama defense kwamba ninayo basi nisiguswe sababu utumiaji wake ni beginning of an end... na kizazi mpaka kizazi kitakulaumu
 
Russia anajua kabisa akibonyeza kitufe tu, watu nao wanakiwasha. Kumbuka mwezi march kama sio April mwanzoni, UK alisema wapo tayari kupeleka nuclear poland/sweden endapo Russia akiendelea na tambo za nuclear dhidi ya ukraine.
Wakajibiwa kwamba wao ni kisiwa kidogo Sana wanaweza kuangamizwa Kwa dakika chache.uingereza ananuclear war heard 200 Tu hawezi Kushindana na warusi.
 
Wewe unatakaje? Dunia iteketee kwa moto?

Chunguza tamaa yako katika mzozo huu na kile nilichokiandika. Utabaini nonsense imelalia upande upi?.

Nakutakia maisha marefu tutakutana hapa wakati ujao.
 
Wewe unatakaje? Dunia iteketee kwa moto?

Chunguza tamaa yako katika mzozo huu na kile nilichokiandika. Utabaini nonsense imelalia upande upi?.

Nakutakia maisha marefu tutakutana hapa wakati ujao.
Kwani urusi anataka kuangamiza dunia?sijui mnafikirije aisee Russia analinda nchi yake Marekani anataka kwenye kuitawala dunia asiwe na kipingamizi lolote nchi yenye nguvu kama Russia inazuia mpango wake uende kirahisi ndo maana anajenga military bases karibu na urusi.lakini kitu kizuri ni kwamba urusi anasilaha ya kuwaangamiza Kwa Dakika chache.anayetaka kuangamiza.dunia ni Marekani.
 
Marekani anataka kuiangamiza dunia, Ila mwenye silaha ya kuangamiza dunia ni mrusi.

Aisee kazi kweli kweli hahaha
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Russia hajawahi wasema north korea
 
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
Yani just for yif tu akianza kutumia hilo boom hakutakuwa na Taifa linaitwa Urusi. Trust me.
 
Jambo kubwa hili boss. Si mazoezi tu, Ni mazoezi dhidi ya maangamizi ya ulimwengu. Russia kujaribu nuklia Ni hatari coz si NATO Wala us atavumilia watApigana na tutakwisha
Mkuu wewe unafikiri nuklia ikiangushwa Ukraine au Russia na sisi huku tutakufa? Hamna kitu kama hicho, sisi huku tuendelee tu kugonga wali maharage full bata. Wacha bei zipande tu ipo siku zitashuka
 
HIVI KWA NINI SISI WANANCHI TUSIUNGANE KUPINGA HUU UPUUZI MAANA KAMA WAKIPIGANA NA NUCLEAR KUTAKAO UMIA NI SISI RAIA TUSIOKUA NA HATIA KWA NINI MAJESHI YASITUTII SISI RAIA AMBAO NI WENGINE NA TUTAUMIA SISI PAMOJA NA WAO ILA HAWA VIONGOZI WATAKIMBIZWA ANGA ZA MBALI NA KUTUACHA SISI TUSO NA HATIA TUISOME NAMBA HILI SIO SAWA HATA KIDOGO KWA NINI WASIYAMALIZE WAKIWA MEZANI KULIKO KUANGAMIZA VIUMBE WASIO NA HATIA INA MAANA PAMOJA NA MAISHA MAZURI BADO HAWAJALIZIKA TU WAMEONA WATUUMIZE KABISA
 

Mkuu mmoja hapo kasema Putin is 70 na wengine wanasema ana Cancer, the guy has got nothing to lose, i feel anataka twende nae wote...ni kweli dunia ikiungana hii vita itaisha, lazima tuungane hawa wapuuzi wanataka kutukata pumzi...Putin hasogelewi,ulinzi assasinations attempts kibao, so does Zelenzisky, na viongozi wengine,...wao wana survive na familia zao wakati wananchi wengine wanakufa....not fair,
 
Marekani anataka kuiangamiza dunia, Ila mwenye silaha ya kuangamiza dunia ni mrusi.

Aisee kazi kweli kweli hahaha
Urusi ana silaha ya kulinda nchi yake sijui unafikiria Kwa nini.hizo silaha ni kwaajili ya kulinda urusi.kwa hiyo nchi yoyote ambayo itahatarisha usalama wa urusi itaona cha Moto.
 
Haw
Hawa viongozi wengi wao wanafuta kiki za kijinga japo wapo sahihi kwa upande fulani ila tatizo lipo kwa upande wa wasio na hatia ni lazima tujitetee wenyewe maana viongozi wenyewe hawa tayari wameonesha hawako tayari kututetea japo kwa upande fulani wanafanya kwa manufaa yetu ila hasara ni kubwa kuliko manufaa. kuhusu putin kua na cancer hizo habari za uzushi hazina ukweli na klemlin inalijua hilo hizo ni mbinu za kijajusi USA kupitia shirika lake la ujasusi CIA ndio ilisambaza hizo habari kitu ambacho sio kweli hata kidogo Klemlin ilipinga hizo habari mara ya kwanza walisema ana matatizo ya akili mara ya presha hii ya tatu wanasema kansa kitu ambacho sio ukweli mataifa ya magharibi huwa yanapenda sana kupotosha.
 
Nuclear ndo kete ya mwisho ya Putin ukitoa nuklia urusi inakuwa haina tofauti na Belarus urusi n nuklia tu zaidi ya hapo n propaganda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…