passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
This is nonsense Kule Ukraine Warusi wanaendelea kuchukua maeneo wakati kuna NATO wanatoa mpaka silaha hii inaonesha urusi sio mchezo.Nuclear ndo kete ya mwisho ya Putin ukitoa nuklia urusi inakuwa haina tofauti na Belarus urusi n nuklia tu zaidi ya hapo n propaganda tu
kiongozi una uhakika na unacho kiongea RUSSIA unamjua vizuri kweli wewe rudi ukaangalie WW2 vita ya pili ya dunia halafu uje uangalie na kauli yakoNuclear ndo kete ya mwisho ya Putin ukitoa nuklia urusi inakuwa haina tofauti na Belarus urusi n nuklia tu zaidi ya hapo n propaganda tu
Ndomana Vita bado inaendelea mkuu peskovu msemaji wa PutinThis is nonsense Kule Ukraine Warusi wanaendelea kuchukua maeneo wakati kuna NATO wanatoa mpaka silaha hii inaonesha urusi sio mchezo.
Kwani unafikiria Urusi atalifanya hilo bila kufanya calculations zake vizuri?BAHATI NZURI MAJESHI YA US YAKO KARIBU KABISA NA URUSI, LABDA AANZE KUYAPIGA HAYO.
Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.Anaweza ndo maan eneo lote la mashariki mwa Ukraine ni Russia Sasa hivi mfano sea of azor ni ya Russia forever.
Hawezi ndo maana anatishia nuclear (kujitoa muhanga)Anaweza ndo maan eneo lote la mashariki mwa Ukraine ni Russia Sasa hivi mfano sea of azor ni ya Russia forever.
This is nonsense Kule Ukraine Warusi wanaendelea kuchukua maeneo wakati kuna NATO wanatoa mpaka silaha hii inaonesha urusi sio mchezo.
Eti ...hiyo ni danganya toto tu....wenzao USAKwani hayo mazoezi walikua bado hawajaanzaga tu mpk leo?
Eti ...hiyo ni danganya toto tu....wenzao USA walifanyia mazoezi kuanzia karne ya 19Kwani hayo mazoezi walikua bado hawajaanzaga tu mpk leo?
Hamna kitu. Hawawezi pigana vita vya nuclear. Wao wenyewe wanaogopa.Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
Jifunze kwanza kiingereza na ndipo uje u'comment' humu kwa hiyo lugha, vinginevyo utatukana bure[emoji1787][emoji1787]Even if you wife dines you sex you would blame America.
Nikupe kionjo kwa nini RUSSIA ana kiburi hata kama wakimzoom ili waje wampe putin kipigo bado hawata weza ukiipiga URUSSIA ujue unaitafuta CHINA NORTH KOREA IRAN nchi karibu zote za FALME ZA KIARABU alafu mbaya zaidi USA na NATO wana maadui wengi mfano IRAN na IRAQ wanataka kulipa kisasi kwa sababu USA ilimuua SADDAM hapo hapo ikamuua SOLEYMAN kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi IRAN kitu ambacho IRAN alisema ipo siku atajibu kwa nyuklia USA na NATO endapo zitampiga urusi zitakua ni sawa na mafuta kwenye moto kwani wana maadui wengi haya yote wameyataka wenyewe kipindi cha nyuma walikua wanaonea sana watu sasa hizo nchi zinataka kulipa kisasi endapo ataipiga rusia lazima atawekeza nguvu zote kwa rusia hilo litakua kosa kwao pia itakua faida kwa maadui zake kwani watampa shambulio la kushitukiza ndo maana mpaka sasa NATO na USA wanaangalia tu hatii mguu maana wakiingiza mguu tu watapigwa vibaya maana wana maadui wengi mfano NORTH KOREA IRAN IRAQ alafu zote hizo zina nyuklia bado maadui kibao ndo maana USA anaiogopa RUSSIA na kamwe usije ukafikiria kwamba putin atashindwa hii vita hata tramp alimwambia biden. putin is smart he is smart. asitegemee kufua dafu yeye wala hao washirika wake NATO kama anataka yaishe heri wakae mezani na sio kuingia vitani.Nadhani ni Timing tu mkuu, wanamzoom Putin,wanajua kapinda ..ndio maana wana delay hio vita nadhani hata wenyewe US wamechelewa kupeleka silaha Ukraine ili hii vita iendelee mbele kidogo,halafu wamshughulikie Putin..hapo kasha reveal ana SATAN, sijui one and two, hapo ni kudukuana sasa kwa kwenda mbele, nchi zote ni kudukuana kujua utaalamu wa silaha za nchi nyingine....kaazi kweli kweli, by the way mtu anaita SATAN, silaha zake hafu mniambie huyo sio shetani mwenyewe...ngumu kuamini..lol
Teh teh eti North Korea,Iran sijui na taka taka gani ndio ziende kumsaidia Urusi,kwanza huko Urusi watafika kwa njia gani?Nikupe kionjo kwa nini RUSSIA ana kiburi hata kama wakimzoom ili waje wampe putin kipigo bado hawata weza ukiipiga URUSSIA ujue unaitafuta CHINA NORTH KOREA IRAN nchi karibu zote za FALME ZA KIARABU alafu mbaya zaidi USA na NATO wana maadui wengi mfano IRAN na IRAQ wanataka kulipa kisasi kwa sababu USA ilimuua SADDAN hapo hapo ikamuua SOLEYMAN kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi IRAN kitu ambacho IRAN alisema ipo siku atajibu kwa nyuklia USA na NATO endapo zitampiga urusi zitakua ni sawa na mafuta kwenye moto kwani wana maadui wengi haya yote wameyataka wenyewe kipindi cha nyuma walikua wanaonea sana watu sasa hizo nchi zinataka kulipa kisasi endapo ataipiga rusia lazima atawekeza nguvu zote kwa rusia hilo litakua kosa kwao pia itakua faida kwa maadui zake kwani watampa shambulio la kushitukiza ndo maana mpaka sasa NATO na USA wanaangalia tu hatii mguu maana wakiingiza mguu tu watapigwa vibaya maana wana maadui wengi mfano NORTH KOREA IRAN IRAQ alafu zote hizo zina nyuklia bado maadui kibao ndo maana USA anaiogopa RUSSIA na kamwe usije ukafikiria kwamba putin atashindwa hii vita hata tramp alimwambia biden. putin is smart he is smart. asitegemee kufua dafu yeye wala hao washirika wake NATO kama anataka yaishe heri wakae mezani na sio kuingia vitani.
Haina haja ya kwenda Urusi watamsaidia tu wanajua wao jinsi ya kumsaidia usichokijua ni kwamba urusi anawashirika wengi sema wako kwa siri sana wengine wapo mpaka ndani ya NATO hii kijasusi ungesema Double agent sasa ni kwamba hakuna wa kumtisha urusi labla USA angekuepo trump na sio biden kwa sababu trump anajua putin na anaijua vita lakini sio biden hawezi kufua dafu mbele ya urusTeh teh eti North Korea,Iran sijui na taka taka gani ndio ziende kumsaidia Urusi,kwanza huko Urusi watafika kwa njia gani?
Marekani Akituma Nuclear Ukraine ndo itakuwa mwisho wake.Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.
Subiri wakushambulie na waanze kusema kwani ni Marekani tu itaangamia, muda huo Russia atakuwa na hali gani.Urusi ikitaka inaangamiza marekani Kwa dakika chache
Na kuweka vikwazo vya Kiuchumi kwa hasimu wao.NATO walianza kufanya mazoezi kabla Russia haijaivamia Ukraine na mpk leo bado wanafanya mazoezi tu.Kitu pekee ambacho NATO wanakiweza hua Ni kufanya Mazoezi tu.
Unasumbuliwa na ushabiki maandazi, badala ya uhalisia.Sasa anapokimbilia kisu (nuclear) Wakati Marekani hajatuma rungu (nuclear) kule Ukraine manaake nini kama sio kushindwa kuzipiga kavukavu na kuhofia kutandakwa sio tu ndan ya Ukraine, bali mpaka Moscow.
Duh umenikumbusha br. Napenda Sana kiporo Cha wali maharage. Aisee Ni kitamu zaidi ya ki -shi- mo Cha asaliMkuu wewe unafikiri nuklia ikiangushwa Ukraine au Russia na sisi huku tutakufa? Hamna kitu kama hicho, sisi huku tuendelee tu kugonga wali maharage full bata. Wacha bei zipande tu ipo siku zitashuka
Ndiyo.Subiri wakushambulie na waanze kusema kwani ni Marekani tu itaangamia, muda huo Russia atakuwa na hali gani.
Hapa umeongea ukweli mchungu sana lakini kutokana na upofu na mahaba team NATO hawataki kusikia lakini kenge mpaka atoke damu sikioni ndio anasikia.
Russia sio wapumbavu kutamani vita ya nuclear huku akijua maisha ya watu wake yapo hatarini lakini wamejipanga Sana kujilinda na wametengeneza shelter zenye uimara wa kuhimili mlipuko mkubwa Sana na shelters hizo zinaweza kuwahifadhi warusi wote.