Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Kama umenisoma previous posst mimi mambo ya Nyuklia siyajui vizuri, Mkuu fulani hapo juu kaniambia tatizo sio Nyuklia chache, bali ikiwa nyingi kwenye vita ndio wote duniani hatuko salama,
Huyo aliye reply post yako inaonyesha hakuna anachokijuwa kuhusu nyuklia.
Wakati marekani anaipiga Japan na nyuklia 1945 Fat boy na Little boy zilikuwa ni silaha ndogo sana kiuwezo/capability ukilinganisha na hizi za leo.Hizo nyuklia za wakati huo uzito wake haukuzid hata kg 50.
But today silaha zina hata megaton 1000 na kuendelea.Kwa mfano silaha la Urusi inayoitwa Sartan 1 ina weka ku flat Ufaransa yote ndani ya muda mfupi.
 

nimejifunza mengi na naendelea kujifunza mengi kutoka kwako, asante kwa uvumilivu,lol, nielimishe again kwa faida yangu na wengine, kwa nini Marekani inataka China idhoofike kiuchumi sababu nachojua USA ni kubwa kiuchumi kwa China, ..thanks kwa kunielezea source ya hii vita, i wish wangetoa viongozi wote wenye decisions za kuingia vitani, kwa sababu ni watu wengine tofauti ndio wanalipa hii price za decisions zao, wao weko kwenye ulinzi maradufu, hawasogelewi hata na inzi, halafu wananchi wa kawaida ndio wanauwawa...
 
Asante mkuu, kuna hatari kubwa sana mbele yetu, huyo ni Russia tu, na wengine wakiweka zao, hakuna hata nzi atakaye survive...
 
Ujinga Tu , Kwani hizo nuclear war heads anazo yeye Tu ? au Kwa akili yako fupi kama kisoda unafikiri akijaribu kuzitumia mataifa mengine yatamwacha Tu na kumwangalia au sio ?
 
Asante mkuu, kuna hatari kubwa sana mbele yetu, huyo ni Russia tu, na wengine wakiweka zao, hakuna hata nzi atakaye survive...
Mataifa yenye Nuclear Arsenal kubwa duniani ni Urusi na Marekani, Urusi akiwa ni kiranja wa Ligi.Marekani na Urusi walisha sign mikata mbalimbali kwa lengo la kupunguza Arsenal zao lakini baada ya muda walishindwa kuendelea na mkataba wao.Waliwahi ku sign INF(intermediate Nuclear forces) lakini alipoiingia Trump alivuruga mkataba.Sasa hawa miamba kila mmoja kwa wakati wake huwa anaboresha namna ya ku deliver nyuklia kwa adui yake.Urusi ana kitu ambacho kinasababisha Nyuklia tsunami.Hii ngoma kama itapigwa Uingereza basi kwisha habari zake
 
 
Haya Sasa ngoja nikuulize wewe Gen. Wa jeshi la sungusungua,France yenye ukubwa wa km sq 543,940 ikipigwa bomu ikafutika yote dunia inaathirikaje?
 
Haya Sasa ngoja nikuulize wewe Gen. Wa jeshi la sungusungua,France yenye ukubwa wa km sq 543,940 ikipigwa bomu ikafutika yote dunia inaathirikaje?
Umeelewa kwanza msingi wa reply yangu hapo juu.Kama haujaelewa nakushauri nenda ukasome tena.Sartan 1 ni silaha moja tu ya Nyuklia yenye nuclear warhead nyingi, sasa kama silaha hiyo inaweza kumeza ufaransa yote je vipi zikiwa kama 500 hivi.Umejaribu kuwaza
 
Unawaendekeza hao USA na EU kwa kuwafumbia macho nakati wao ndiyo chanzo cha yote hayo yalipofikia na yanavyoendelea.

Putin yuko sahihi kulinda nchi yake kwa 100% dhidi ya adui wake USA.

Mbona RUSSIA ilipotaka kuweka kambi yake Cuba USA ilikuja juu kumtaka RUSSIA itoe kambi zake Cuba la sivyo itaanzisha vita na Cuba?

RUSSIA si ilikubali na ilitoa majeshi yake, sasa kwanini iwe nongwa kwa USA kuambiwa atoe majeshi yake ya NATO pale Ukraine ambapo ni jirani zaidi na Adui wake RUSSIA?
 

Thanks mkuu,US,Russia na wote wanaomiliki silaha za nyuklia ni hatari kwa usalama wa dunia, kibaya mimi naogopa labda nchi nyingi tu duniani zina hizi silaha za nyuklia basi tuu....bora hata North Korea hana unafiki alionyesha kabisa anazo...US mpaka anaingia Iraq kumbe na yeye katulia anazo tuu...mnh
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
hahaha ila Rebeca 83 sasa unanifurahisha.
 
North Korea anajaribu kill kukicha,mbona hamumsemi?
Tuseme nini mkuu.
Ndio maana nimetoa maoni yangu kuwa Putin anaonekana ananguvu kwa sababu ya show off zake. Hata Kim nae ndio wale wale tu kupenda show off.
Kuna mataifa yako kimya yanasubiri mwenye kihere here aanze.
Si umeona huyo Kim mwenyewe amejikita kufanya majaribio, sasa afanye kweli aone watu watakavyotoka mapangoni na vitu vizito.
 
Unaambiwa yale ya Nagasaki na Hiroshima ni primitive atomic bombs
Ya tekinolojia ya sasa ni noma
Tueleze tu kwa kifupi,kwa mfano TSAR bomb(World nuclear Biggest Bomb) likipigwa Ukraine Ni madhara gani Tz itayapata?
 
Hapa nachoona vita ya tatu inanukia ila tatizo litakuja project ya kwenda sayari ya masi haijakamilika so haitapiganwa kwanza mpk hio project ikamilike ili matajiri na viongozi muhimu wakimbilie huko alafu sisi mbarara tupambane na mungu wetu huku duniani wakati mataifa yenye nguvu yakigeuza dunia jangwa kwa silaha za kemikali
 
Eti mfumo imara wa anga? Hivi vichekesho tunavipataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…