Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Daah kwanza nakupa Pole,inaonyesha haufuatilii siasa za kimataifa(geopolitics) za hasa Urusi na Marekani.Marekani kaanza kumiliki Nyuklia tangu miaka ya 1940s na yeye amekuwa wa kwanza kutumia hizo silaha tangu duniani iwepo mwaka 1945s.Miaka kama 9 baadaye na Urusi naye akajaribu Nyuklia yake(Hydrogen bom) ambalo lilikuwa na nguvu mara 100 kuliko hata lile alilotumia marekani kui adhubu Japan,after hapo ikawa ni mashindano ya kutengeneza silaha hatari hadi leo.
According to the study mbalimbali zinzsema ni nchi 13 hivi ndo zinamiliki hizi silaha za maangamizi
 
Yaani upoteze wanajeshi 20k,hela,vifaa na kuharibu uchumi wako huku ukiwa na uwezo wa kumaliza vita mapema? Hivi hizi akili mnazitoaga wapi?
 
Sijawafumbia macho mkuu, sibariki walichofanya au historia yao ya mambo waliyofanya, nachotaka kuonyesha ni hatari iliyo mbele yetu wote, ambayo ukiangalia vizuri bila kuwa biased, source ni Mrussia...

...Bado sijajua huu mgogoro wa Russia/UKraine USA inafaidika vipi?..sijui kwa nini kama Russia ilikubali kutoa majeshi, USA bado ikaamua majeshi yake ya NATO yabaki Ukraine,..this means USA walitaka vita iendelee...for what reasons vita iendelee?..nadhani kuna kitu behind...naomba kama mnakijua mkiweke wazi tujifunze...
 
Halafu wewe Gen wa ku-google hakuna kitu kinaitwa Sartan, Ila kuna bomu kinaitwa Satan.

Hebu jifunze ku-copy na ku-paste data vzr kutoka huko Google.
 
Kwani wakati anafanya majaribio alimtangazia mtu na ni vihere vya wamagharibi kuhesabu idadi ya majaribio
 
Thanks ni kweli sifuatilii siasa za kimataifa, kama wewe uko smart mbona ungekua usha ninote muda mrefu tu kwenye hii topic 🀣🀣🀣☺️☺️☺️☺️, ila ndio maana kuna JF, wengi tu hatufuatilii hizo siasa za kimataifa, ila tumejifunza kwenu ma pro wa kufuatilia hizo siasa, tena ndani ya muda mfupi, ndio raha ya JF,lol,

Thanks, je hizo nchi 13, je hakuna washirika wa Marekani kweli??... manake balaa atiii...
 
Acha ujinga Russia ndo mwenye Nuclear peke yake Hadi atishie dunia, nchi bajeti yake ya jeshi kwa mwaka Ni $10b, anatisha Nini huyu
 
Uchumi wa china ni unakua kwa kasi kubwa sana kitu ambacho USA hayuko tayari kuona nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi kiasi kwamba kuna mashirika mbalimbali ya kutoa data duniani yalianza kutoa data kua uchina inawezekana kwa miaka 10 ijayo ikapita USA kiuchumi USA alianza kuchukuilia ni suala la utani tu lakini kadri muda unavoenda uchina ulianza kupunguza utegemezi kwa USA kiasi kwamba hata mitandao ikaanza kuunda mitandao yake binafsi mfano nasikia sasa hivi china hawatumii mfumo google kama injini ya mtandao china ilendelea taratibu kujiona kwenye utegemezi wa USA kwa vitu mbalimbalj badala yake china ikajiunga na urusi USA akachukulia swali tu china haikuishia hapo ikakaa kikao na urusi wakawa mbio kuacha kutumia USD yani dollar ya marekani kama fedha kwenye soko la dunia badala yake wakashauriana watumie mfumo Yuan/rubble wafanye hii ndio sarafu yao ya kimataifa kitu ambacho kitu ambacho kitaathiri sana uchumi wa USA na EU kwani sasa sarafu zinazotumika ni USD na EURO endapo china na urusi watajitoa humo basi uchumi wa USA utashuka hii itaweza kupeleka USA akapitwa kwa mfano sasa hivi tumeona jinsi RUBBLE ya urusi ilivo imarika dhidi ya EURO na USD hii ni baada ya urusi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi nae akajibu kwa kusema anaetaka GAS au MAFUTA lazima anunue kwa pesa yetu ya RUBBLE badala ya USD/EURO hebu imagine tu USD/EURO ilivoanguka baada ya putin kutoa kauli ya kununu gas na mafuta kwa ruble badala ya usd na euro jiulize je china USA zikijitoa kabisa kwenye huu mfumo wa USD/EURO itakuaje kwa uchumi wa USA na EU. haikuishia hapo urusi iliwekewa vikwazo china imeonesha ikipingana na EU na USA kuiwekea vikwazo urusi badala yake imeongeza ushirikiano na urusi mfano EU/USA waligomea kununua gas ya urus ila china ikaamua kuendelea kununua hii inaonyesha kwa kiasi china imejipanga sio hapo tu marekanj kupitia shirka lake la ujasusi CIA wanajua hilo kua uchumi wa china ni tishio kwa USA. usishangae maana hata hayati JPM liwaambia "Vita ya uchumi ni ngumu kuliko vita ya siraha" hiki ndio kinaendelea baina na USA na china ni vita ya kiuchumi tena vita ndefu hasa inaweza kugeuka vita ya siraha maana china imejipanga kweli kweli tena kwa kuungana na mrusi ilijua yaweza hii vita ikageka kua ya siraha ndo maana akimbilia kwa mrusi maana kama ikiwa ya siraha mrusi yupo kama ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi mrusi yupo ndo maana nikakwambia Dunia inaiitaji urusi kuliko urusi inavoiitaji dunia. Kuhusu suala la viongozi wako sasa sio kwamba wao wamekaa tu huku wananch wanaumia bali wanfanya hayo kwa ajiri ya hao hao wananchi ili waishi kwa amani na uhuru sio mashaka maana amani haiji ila kwa ncha ya upanga hivo kila mmoja atelekeze jukumu lake jeshi kazi yake mwananch kazi yake kiongoz kazi yake
 
Mfumo wa anga kwa maana ya anti- aircraft missile system lakini siyo mfumo wa kupambana na Balistic missile.. Master of Air superiority kwa maana ya nchi yenye uwezo mkubwa wa jeshi la angani bado ni Israel. Pia mfumo wa kisasa wa kupangua ballistic missile kwa kutumia battery aina ya Arrow.
 

Very informative, thanks.
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Unaishi dunia gani mama? FYI baada ya Mmarekani kutengeneza silaha ya nyuklia 1945 by 1950 mrusi naye aka-detonate lake tena alitengeneza lake kwa njia wizi wa kijasusi kupitia agent wao anayeitwa Fuchs aliyekuwa katika team ya nuclear scientists wa Manhattan project Los Alamos New Mexico.
 
Acha ujinga Russia ndo mwenye Nuclear peke yake Hadi atishie dunia, nchi bajeti yake ya jeshi kwa mwaka Ni $10b, anatisha Nini huyu
Condom ya sh. 300 tu ingetumika tusingepata madhara Kama haya hapa JF.

Budget ya ulinzi ya Russia kwa 2021 Ni $66bil,Ila kwa Sababu mtu ameamua kutumia kichwa kufugia nywele ndio basi tena.
 
Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
Nyuklia haidhibitiki
 
Ikitokea vya nyukilia itakuwa fursa kubwa kwa waafrika kuwa superpower, tutakuwa tunawadhibiti kuja Africa na kuwatoza pwsa nying kwa visa, watatutegemea chakula kwa muda mrefu.i
 
Ikitokea vya nyukilia itakuwa fursa kubwa kwa waafrika kuwa superpower, tutakuwa tunawadhibiti kuja Africa na kuwatoza pwsa nying kwa visa, watatutegemea chakula kwa muda mrefu.i

...😁😁😁😁,mkuu soma posts zote, mkuu mmoja kasema hapo nyuklia ikiwa nyingi hata sisi waafrika hatuko salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…