Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

Ujinga Tu , Kwani hizo nuclear war heads anazo yeye Tu ? au Kwa akili yako fupi kama kisoda unafikiri akijaribu kuzitumia mataifa mengine yatamwacha Tu na kumwangalia au sio ?
Russia anajua kabisa akibonyeza kitufe tu, watu nao wanakiwasha. Kumbuka mwezi march kama sio April mwanzoni, UK alisema wapo tayari kupeleka nuclear poland/sweden endapo Russia akiendelea na tambo za nuclear dhidi ya ukraine.
 
Ila US, UK, France hawana hizo mashine za kuipoteza Russia? Unajua efficiency ya silaha za westerns na europe? Umewahi kuwasikia wakifanya military parade wakishow off silaha zao kama Russia? Achana na nchi za ulaya mkuu.
 
ni wapuuzi tu ndio watakaoshabikia vita
Wanazania hii simba na yanga mtu anasema zipigwe tena vita yenyewe ya NUCLEAR wakati jana nasikia yule swalha kapigwa risasi basi wabongo kwa sifa wanajiona watakatifu kuanza kushushia lawama leo hii wanashangia vita bei zikipanda lawama zinaenda kwa samia
 
wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
 
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
Mara moja tuliambiwa aneka vinu vya nuclear sawa, sasa mwezi 4, hana issue huyu mzee wa ndaro wacha na yeye atibuliwe kidogo huko Moscow
 
Mara moja tuliambiwa aneka vinu vya nuclear sawa, sasa mwezi 4, hana issue huyu mzee wa ndaro wacha na yeye atibuliwe kidogo huko Moscow
Usijari ni suala la muda tu tusubiri tuone itakuaje
 
Ila US, UK, France hawana hizo mashine za kuipoteza Russia? Unajua efficiency ya silaha za westerns na europe? Umewahi kuwasikia wakifanya military parade wakishow off silaha zao kama Russia? Achana na nchi za
Kila nchi inafanya showoff labda kwa kuwa haufuatilii haya mambo.Kwa mujibu wa Wikipedia ebu jaribu kutoa tongotongo kidogo alafu rudi tujadili
 

Attachments

  • Screenshot_20220602-110517_Chrome.jpg
    561.3 KB · Views: 10
Usijari ni suala la muda tu tusubiri tuone itakuaje
Unasubiri nini yeye hizo roket tokea vita inaanza alikuwanazo anatumia kuua raia Ukraine sasa wenzake wanataka kupiga kazi yeye anatayarisha nuclear, mulimpaisha sana Putin sasa aibu fedheha
 
Ni kweli ndio maana hata south africa shirika lake wameliuza. Saiv ili la tz linajiendesha kihasara sasa ikitokea tena hao jamaa kufumuliana nuke ndo zitaozea viwanjani bora wauze wabaki na chache za kupiga rout hapa hapa na nchi jirani.
 
This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
🤣🤣🤣🤣🤣 Umenifanya nicheke sana R.. ladies huwa mnafuatilia tu mambo soft.. haya machumachuma huwa hamnaga info.
 
Naona unaongea sana kwa msisistizo..wewe ni nani hasa mpaka hayo unayowaza yatimie?
 
Very sad, Marekani kuipiga Iraq kwa kuituhumu ina ' weapons of mass destruction'' wakati kuna kina Putin, nao walikosea...hivi hio Nyuklia si ndio hio hio.. weapon of mass destruction au?!.. msinicheke eti, najifunza kutoka kwenu...
Waarabu kwasababu ya religious extremism mataifa makubwa hayataki wawe na nuclear weapons maana akitokea mwendawazimu mmoja anaweza kusababisha maafa.

Israel anazo nuclear tangu mwaka 1966 lakini hata walipovamiwa mwaka 1973 kwenye Yom kippur na kuwa kwenye hali ya hatari sana bado hawakutumia nuclear.
 
wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
Mwenzenu basi naona kabisaa Putin is ready to go that far..
 

Ni kweli religious extremists wangetumaliza mkuu..ila na huyo Putin sijaona tofauti yake na hao..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…