Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Hakuna mwanadamu mwenye uthubutu huo, dunia imekuwepo kwa maelfu ya miaka na bado itakuwepo kwa maelfu mbeleni.wakiyapiga hayo mabomu, kila kitu kitaathirrika, hewa, maji,Ozone,joto la dunia nk. Inawezekana wakiyapiga vya kutosha ndio ukawa mwisho wa maisha kwenye hii sayari tunayoiiita Dunia
Ni kweli dunia imekuwepo kwa mabilioni ya miaka,lakini maisha duniani ni mapya kuliko dunia yenyewe, hivyo viumbe vyote kufa na kuiacha dunia inawezekana.Hakuna mwanadamu mwenye uthubutu huo, dunia imekuwepo kwa maelfu ya miaka na bado itakuwepo kwa maelfu mbeleni.
Only the creator of the earth can.
Who is Putin bwana? Hizo nuclear anazotishia si kitu. Bado kuna mfululizo wa gunduzi za silaha za maangamizi bora kuliko nuclear ambazo dunia itashuhudia zikitengenezwa hata baada ya kizazi chetu kupita lakini zitaishia kukaa ghalani.
Putin akae kwa kutulia.
Liwalo na liwe mentality, kwake bora Dunia iishe kuliko Urusi kuangukaMwenzenu basi naona kabisaa Putin is ready to go that far..
Embu kuwa serious, kuna maisha mazuri Russia bila uwepo wa Putin.Liwalo na liwe mentality, kwake bora Dunia iishe kuliko Urusi kuanguka
Huu uzi udumu, tutakutana wakati ujao wakati Putin hayupo tena na dunia ikiwa salama.Ni kweli dunia imekuwepo kwa mabilioni ya miaka,lakini maisha duniani ni mapya kuliko dunia yenyewe, hivyo viumbe vyote kufa na kuiacha dunia inawezekana.
Only creator can?? Sasa kama ingekuwa hivyo basi kuua mtu/kiumbe chochote isingewezekana kwasababu creator hajaruhusu.
Sasa kama creator karuhusu maelfu na maelfu ya viumbe wake kuuwawa...atakataaje wote kufa dunia ibaki yenyewe?
InshaallahHuu uzi udumu, tutakutana wakati ujao wakati Putin hayupo tena na dunia ikiwa salama.
Tuombeane uzima.
Russia ina hazina kubwa ya mabomu ya nyuklia ikifuatiwa na Marekani..This is sad, sikujua before Russia wana silaha za Nyuklia, kumbe walikua wana wasema North Korea tu buree...inaelekea labda nchi nyingi zina hizo silaha za Nyuklia...yakifumuka ya kufumuka huko tobaaaa...
Mkuu makombora ya nyuklia hayawezi kupigwa afric kitakachotufikia ni madhara ya haya makombora. Ila yataelekezwa kqenye nchi maaduiJambo kubwa hili boss. Si mazoezi tu, Ni mazoezi dhidi ya maangamizi ya ulimwengu. Russia kujaribu nuklia Ni hatari coz si NATO Wala us atavumilia watApigana na tutakwisha
kupigina na mrusi ni sawa na kupigana na mtu asiye na nguvu.... mawe, kinyesi, bisibisi, pilipili, upupu yaani chochote atatumia ili akuumize.Marekan anatuletea balaa kubwa sasa
Mmatumbi unasema akitumia fresh tu [emoji23][emoji23][emoji16]Hamna kitu kama hcho boss , hzo ni imagination tuu , yeye kama anatumia atumie tuu , na maisha yataendelea, mda wote wenzake walikuwa wanajipanga namna ya kudhibiti hzo nyuklia endapo atazitumia, ndo mana sa hv wamemwacha hata akitumia fresh tuu
Fahamu alichokiandika ndio ujibu, hakusema kuhusu masuala ya sex wala wifeEven if you wife dines you sex you would blame America.
Fahamu alichokiandika ndio ujibu, hakusema kuhusu masuala ya sex wala wife
Hiyo haiwezi kupigwa Ukraine hiyo IPO kwa sababu ya wakubwa.ukraiene bomu dogodogo linatosha.Tueleze tu kwa kifupi,kwa mfano TSAR bomb(World nuclear Biggest Bomb) likipigwa Ukraine Ni madhara gani Tz itayapata?
Nani dunia hii wa kumpandisha kizimbani hakuna fala yoyote anayeweza.Yawezekana Putin akapandikwa kizimbani kwa kosa la Uhalifu dhidi ya binadamu?
Ukraine war: Investigators look into alleged Russian war crimes
Ukraine war: Investigators look into alleged Russian war crimesClose
Investigators have been searching for evidence of alleged Russian war crimes, in apartment blocks in the Ukrainian city of Kharkiv.
War crimes include the use of weapons that cause indiscriminate or appalling suffering, genocide and the abuse of the rights of prisoners of war.
Since Russia began its invasion of Ukraine on 24 February, nearly 15,000 war crimes have been alleged across the country, with 200 to 300 more being reported daily, according to Ukraine's chief prosecutor, Iryna Venediktova.
NonsenseHuu uzi udumu, tutakutana wakati ujao wakati Putin hayupo tena na dunia ikiwa salama.
Tuombeane uzima.
Anaweza ndo maan eneo lote la mashariki mwa Ukraine ni Russia Sasa hivi mfano sea of azor ni ya Russia forever.Kwa hiyo Russia hawezi kuzichapa kavukavu bila hizo silaha za maangamizi, Russia bila nuclear ni jeshi la Burundi iliyochangamka.