Pale Ulaya nzima hakuna nchi ambayo inaifikia Urusi kwa stocks za silaha na hakuna nchi ambayo itaenda vitani peke take dhidi ya Urusi.
Watu wanasahau kujua kua pale Ukraine Urusi hajafanya vita serious kabisa yaani ile full engagement,bali kutokana na Ukraine kuwatumia wananchi kama ngao,amechagua maeneo kadhaa ya kushambulia kuidhohofisha Ukraine ili isaini agreements.
Ukraine ashambuliwe kwa makombora ndani ya Urusi, halfu tuone. Ama hata hao wafadhili wake waingie wazi wazi vitani kama walivyofanya Libya,Iraq,Syria, Afghanistan etc halafu tuone kama Vita ya 3 ya dunia haitalipuka!!