Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Mdomo haulipiwi kodiMsemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
View attachment 2377871
Hakika [emoji848][emoji12]Mdomo haulipiwi kodi
Anawapa hope za uongo sana akubali mfupa umemshinda atakua wa-kwanza marekani wenyewe walifail Vietnam na AfghanistanMimi simuamini Putin tena sijui hao majenerali wanafanyaje kazi na mtu wa aina hiyo.
Mpaka sasa wanajeshi zaidi ya elfu 60wamepoteza maisha Ukraine.
Warusi kama wana akili timamu wamgeuzie kibao Putin badala ya kupigana na Ukraine🤔
Putin hakuwa na strategies wenzake vichwa vinafanya kazi na jamaa hawatamuacha tena abadan ndo kwisha tena nchi iitwayo Russia, yaani Urusi ana hesabu za kitoto sana uchukue eneo kwa nguv za kijeshi halafu likutoke baadae ulikomboe tena.,Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
View attachment 2377871
Wa Biden ndio unaolipiwa?Mdomo haulipiwi kodi
Putin ni kiboko ya mabeberu wa Ulaya na Marekani.Mimi simuamini Putin tena sijui hao majenerali wanafanyaje kazi na mtu wa aina hiyo.
Mpaka sasa wanajeshi zaidi ya elfu 60wamepoteza maisha Ukraine.
Warusi kama wana akili timamu wamgeuzie kibao Putin badala ya kupigana na Ukraine[emoji848]
Mziki wa Putin, wamarekani hawauwezi, ngoja aanze kushusha vitu vya nuclear ndio mtamjua vizuriAnawapa hope za uongo sana akubali mfupa umemshinda atakua wa-kwanza marekani wenyewe walifail Vietnam na Afghanistan
Hawatapata tena rais mzalendo kama Putin, anatakiwa kulindwa mnoooo.Hawa majenerali wanatakiwa kummaliza Putin ili iwe salama kwao kabla hajawamaliza!
jibu la mtu ni kipimo cha akil yake , sijaona sehem katajwa Biden , akili yako ni USA vs RUSSIA , hlf ww si raia wa nchi mojawapo , wenzio tunatetea uhuru wa kujitawalaWa Biden ndio unaolipiwa?
Putin ni kiboko ya mabeberu wa Ulaya na Marekani.
Ahh huyu naye mbona anaharibu sasa kwan mandonga russia si huwa mashabiki maandazi wake husemaga hapa jukwaan kuwa hakuna maeneo yaliyonyakuliwa🤣Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
View attachment 2377871
Hata wafuasi wake humu JF wamegundua Urusi ni mandonga aliyechangamka.Mimi simuamini Putin tena sijui hao majenerali wanafanyaje kazi na mtu wa aina hiyo.
Mpaka sasa wanajeshi zaidi ya elfu 60wamepoteza maisha Ukraine.
Warusi kama wana akili timamu wamgeuzie kibao Putin badala ya kupigana na Ukraine🤔
Hizi pambio;sifa na kumuabudu Putin wewe mrusi wa Buza hujaacha tu pamoja kichapo chote hicho toka Ukraine 🤔Putin ni kiboko ya mabeberu wa Ulaya na Marekani.