Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

Inatubidi tufahamu sheria na taratibu za Urusi zipoje: Kwa nilivyofuatilia kwa juu juu nimeona rais anasaini makubaliano kisha yanapelekwa Duma kisha federation huko kote wanaidhinisha majimbo kukubaliwa ndani ya Urusi kwa kuangalia na kukipitisha kile rais alichokiwasilisha. Kikipita kote huko rais anasaini rasmi hayo majimbo kukubaliwa na hivyo kwa mujibu wa sheria zao yanakuwa rasmi chini ya nchi ya Urusi.

Na kitendo hiki cha majimbo yaliyopiga kura kujiunga na nchi ya Urusi yameidhinishwa leo na rasmi leo yamekuwa ndani ya federation ya Urusi.

Suala la Urusi kuacha maeneo mkuu wa majeshi wa Israel kalizungumzia kwa ufafanuzi: Russia imeivamia Ukraine kwa kutumia askari 200,000. Nchi ambayo ya pili kwa ukubwa barani Ulaya. Majimbo aliyoyakamata ni makubwa ni kama nchi ya Portugal na mengine kama nchi ya Belgium. Huwezi kulinda eneo kubwa kama hilo kwa askari wachache hao wakati Ukraine ana askari wengi. Hili ndilo linalomgharimu Urusi mpaka anafanya partial mobilization nchini mwake.

Hili suala kwa ukraine imekuwa ni advantage yenye disadvantage: advantage ni kwamba kwa kugundua Russia wapo wachache wao eneo moja wanaenda na askari wengi. Ikiwa piga nikupige Urusi lazima irudi nyuma kwa sababu Ukraine inashambulia kwa kutumia askari wengi. Na ikiwa wanakiendea kijiji walipo Urusi itamfanya Urusi arudi nyuma kwa sababu kwa wingi wao na wao wanazana za kivita na kiidadi wamewazidi wanajeshi wa Urusi kwa Ukraine inakuwa ni rahisi kuweza kuwazunguka na kuwaweka kati Urusi.

Ili kuepuka kuwekwa kati Mrusi ana retreat mapema anaviacha vijiji wazi kwa kurudi nyuma na kukusanya askari wa kutoka maeneo mengine wawe wengi na kutengeneza safu ya ushambuliaji mpya itakayoweza kuendana kukabiliana na wengi wa Ukraine.

Disadvantage kwa Ukraine ni kuwa: Wanapata hasara ya askari na vifaa! Askari wao wanauliwa wengi kwa kuwa askari wa Urusi defensive line yao ni wachache wao Ukraine wanaenda wengi wote kwa wakati mmoja kwa msururu kwa sababu wanajua wamewazidi kiidadi hivyo wengine wakifa wengine ni lazima watawafikia tu. Na ndiyo maana wakifanya offensive wanaweza wakapata kijiji lakini idadi ya wanajeshi wanaokufa inafika mpaka 2000 kwa siku 2.

Sasa hili suala lililofanyika leo kutambuliwa hayo majimbo kama sehemu ya Urusi ni suala ambalo lipo wazi ni kuwa Urusi sasa imevamiwa yeye. Hivyo nguvu itakayotumia ni tofauti na nguvu iliyotumiwawakati wakiivamia Ukraine kwa sababu kipindi wanavamia Ukraine nchi yao ilikuwa safe kwa sasa hapana! Hivyo Urusi kwa wakati huu ina uwezo wa kusogeza wanajeshi wake wa ndani kwa wingi na kutumia jeshi lake la anga na ardhini kwa ufanisi mkubwa kwa sababu kwa sasa Urusi imevamiwa sio tena Ukraine. Na ndiyo maana wachambuzi wanasema askari wa Ukraine waliyopo kwenye hayo majimbo wana mawili: watatangaziwa na jeshi la Urusi waondoke na warudi kwenye nchi yao. Wakikataa kitakachofanyika ni Urusi kutangaza CTO na si tena SMO. Na CTO ni mbaya zaidi kuliko SMO.
Safi sana. Uchambuzi murua
 
Na bado - akiwageuzia kibao wale wote wanao mbeza beza wataanza kumtafuta kwa udi na uvumba na aibu juu, ni suala la muda tu - kabla ya January Zelensky na familia yake watakua wamekwisha kimbilia uhamishoni Miami Florida kwenye Mansion yake - amekwisha tajirika kupitia dubious deals zake za uuuzaji silaha nk. Zelensky hana uchungu wowote kuhusu Taifa la Ukraine wala Waukraine wenzake.
Hivi kweli mkashindwa kuteka Kyiv, leo ndo Zele akimbie?
Wakati ana zana zinazowarudisha nyuma
 
Kila mtu kwa sasa anajua Russia imechoka na kachapika vibaya, ground battle tayari Russia ilishapoteza toka kitambo, alikuwa anategemea air forces ambazo kwa sasa zimepukutishwa kwa zaidi ya 50%. Msaada wa mitambo ya kivita ambayo Ukraine wameipata kutoka USA imemvuruga Russia kupita maelezo.

Majimbo yote manne ambayo Russia ilitangaza kuyatwaa huenda ndani ya miezi mitatu ijayo yatakuwa mikononi mwa Ukraine.

Kwa sasa Russia ni bora ikaelekeza nguvu zake kuidhibiti Crimea, maana vita ya Ukraine chimbuko lake ni huko na hitimisho lake huenda likawa huko huko.
Litakuwa kosa kubwa litalomtoa Putin madarakani, na huenda kitafanyika hicho
 
Putin ni mjanja! Kurudi nyuma kwa majeshi yake siyo kushindwa vita.Subiri mziki uone,hata nchi za NATO sasa hivi hazitulii,hazijui nini Putin anachopanga kufanya.
Kwa hiyo wewe unajua apangacho Putin?
Putin hana jeshi la kufanya lolote kwa sasa
Mobilization hadi watu wafundishwe, msimu wa baridi kali huu hapa, muda huo hutaona kelele sana maana visibility itakuwa zero
 
Hivi kweli mkashindwa kuteka Kyiv, leo ndo Zele akimbie?
Wakati ana zana zinazowarudisha nyuma

Una ushahidi gani wa kuthibitisha kwamba Putin alikuwa. na lengo la kuteka na kukalia jiji la Kiev?? Mbona matra hiyo mnairudia rudia kila mara??
 
Mziki wa Putin, wamarekani hawauwezi, ngoja aanze kushusha vitu vya nuclear ndio mtamjua vizuri
Huwa nacheka sana kwa matisho ya kitoto.
Unadhani hao unaowataja hawana hizo silaah?

Nuclear sio baruti. Pande zote zitapigika na hazitorudi normal
 
Kwa hiyo wewe unajua apangacho Putin?
Putin hana jeshi la kufanya lolote kwa sasa
Mobilization hadi watu wafundishwe, msimu wa baridi kali huu hapa, muda huo hutaona kelele sana maana visibility itakuwa zero

Labda nikusaidie kidogo - chunga sana propaganda za kitoto zinazo sambazwa na inept western media - hawaelezi ukweli kwamba wanajeshi wa Urusi wanao pigana front line hawazidi 200,000 hao ndio wako Ukraine wakipigana bega kwa bega na wana mgamb.

Kwa taarifa yako idadi kamili ya wanajeshi wa Urusi ni 2,500,000 (millioni mbili na nusu),mpaka sasa Putin hajatangaza vita kamili - siku akihamua kutangaza Ukraine nzima itakuwa haikaliki nawabieni, hakuna cha: Jeshi la Zelensky,mamuluki wa magharibi au wanajeshi wa NATO/US walio valia sare za jeshi la Ukraine wataweza kupambana ana kwa ana na jeshi la Urusi wakalishinda -wote watanyonyolewa manyoya na Putin, watakao pona watakwenda makwao kusimulia ubaya wa vita.
 
Inatubidi tufahamu sheria na taratibu za Urusi zipoje: Kwa nilivyofuatilia kwa juu juu nimeona rais anasaini makubaliano kisha yanapelekwa Duma kisha federation huko kote wanaidhinisha majimbo kukubaliwa ndani ya Urusi kwa kuangalia na kukipitisha kile rais alichokiwasilisha. Kikipita kote huko rais anasaini rasmi hayo majimbo kukubaliwa na hivyo kwa mujibu wa sheria zao yanakuwa rasmi chini ya nchi ya Urusi.

Na kitendo hiki cha majimbo yaliyopiga kura kujiunga na nchi ya Urusi yameidhinishwa leo na rasmi leo yamekuwa ndani ya federation ya Urusi.

Suala la Urusi kuacha maeneo mkuu wa majeshi wa Israel kalizungumzia kwa ufafanuzi: Russia imeivamia Ukraine kwa kutumia askari 200,000. Nchi ambayo ya pili kwa ukubwa barani Ulaya. Majimbo aliyoyakamata ni makubwa ni kama nchi ya Portugal na mengine kama nchi ya Belgium. Huwezi kulinda eneo kubwa kama hilo kwa askari wachache hao wakati Ukraine ana askari wengi. Hili ndilo linalomgharimu Urusi mpaka anafanya partial mobilization nchini mwake.

Hili suala kwa ukraine imekuwa ni advantage yenye disadvantage: advantage ni kwamba kwa kugundua Russia wapo wachache wao eneo moja wanaenda na askari wengi. Ikiwa piga nikupige Urusi lazima irudi nyuma kwa sababu Ukraine inashambulia kwa kutumia askari wengi. Na ikiwa wanakiendea kijiji walipo Urusi itamfanya Urusi arudi nyuma kwa sababu kwa wingi wao na wao wanazana za kivita na kiidadi wamewazidi wanajeshi wa Urusi kwa Ukraine inakuwa ni rahisi kuweza kuwazunguka na kuwaweka kati Urusi.

Ili kuepuka kuwekwa kati Mrusi ana retreat mapema anaviacha vijiji wazi kwa kurudi nyuma na kukusanya askari wa kutoka maeneo mengine wawe wengi na kutengeneza safu ya ushambuliaji mpya itakayoweza kuendana kukabiliana na wengi wa Ukraine.

Disadvantage kwa Ukraine ni kuwa: Wanapata hasara ya askari na vifaa! Askari wao wanauliwa wengi kwa kuwa askari wa Urusi defensive line yao ni wachache wao Ukraine wanaenda wengi wote kwa wakati mmoja kwa msururu kwa sababu wanajua wamewazidi kiidadi hivyo wengine wakifa wengine ni lazima watawafikia tu. Na ndiyo maana wakifanya offensive wanaweza wakapata kijiji lakini idadi ya wanajeshi wanaokufa inafika mpaka 2000 kwa siku 2.

Sasa hili suala lililofanyika leo kutambuliwa hayo majimbo kama sehemu ya Urusi ni suala ambalo lipo wazi ni kuwa Urusi sasa imevamiwa yeye. Hivyo nguvu itakayotumia ni tofauti na nguvu iliyotumiwawakati wakiivamia Ukraine kwa sababu kipindi wanavamia Ukraine nchi yao ilikuwa safe kwa sasa hapana! Hivyo Urusi kwa wakati huu ina uwezo wa kusogeza wanajeshi wake wa ndani kwa wingi na kutumia jeshi lake la anga na ardhini kwa ufanisi mkubwa kwa sababu kwa sasa Urusi imevamiwa sio tena Ukraine. Na ndiyo maana wachambuzi wanasema askari wa Ukraine waliyopo kwenye hayo majimbo wana mawili: watatangaziwa na jeshi la Urusi waondoke na warudi kwenye nchi yao. Wakikataa kitakachofanyika ni Urusi kutangaza CTO na si tena SMO. Na CTO ni mbaya zaidi kuliko SMO.
Kuna mbumbumbu aliekaza ubongo ambae yupo kwa mtogole shimoni kidongo chekundu kwa dumba bado atakua anajifanya hajakuelewa ulichokieleza
 
Putin ni mjanja! Kurudi nyuma kwa majeshi yake siyo kushindwa vita.Subiri mziki uone,hata nchi za NATO sasa hivi hazitulii,hazijui nini Putin anachopanga kufanya.
Litapigwa Jitu hadi mbwa koko waliopo humu watashangaa na kuanza kuuliza Putin ni shetani au ni nani? Subiri uone
 
Back
Top Bottom