Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

Bahati mbaya umeliangalia kwenye angle moja.

Hii vita imekusanya vita ya aina 2.
(1) Ni vita ya kuvunja unipolar system
(2) Ni vita ya kuvunja uchumi

Na gurudumu ya hayo ya juu ni hii SMO Russia anayoiendesha. Lengo la Russia ni hayo yote 2. Hivyo operation haiwezi kwenda haraka. Kwa vikwazo alivyowekewa Russia kwa short term hasara kwa Russia kwa long term ni faida kwa Russia. Kwa sababu Russia ina vitu ambavyo dunia inavihitaji. Kwa namna yoyote tu mtarudi kwake.

Aliwekewa vikwazo kwenye fertilizer wamerudi kwake na wananunua tani kwa tani. US bado ananunua Uranium kwa kiasi kikubwa Russia kwani ndipo uhai wa vinu vyake vya nuclear. EU wamemuwekea vikwazo kweenye gas haijapita muda wamerudi kwake na kuilipia kwa pesa ya Russia. Walimwekea vikwazo kwenye mafuta mpaka sasa hakuna watu wanaoongoza kununua mafuta Russia kama nchi zilizomwekea vikwazo.

Kwa kuona Russia anapata faida zaidi kwenye mafuta wakapanga kuweka bei elekezi kwa mzalishaji ambaye ni Russia. Jana OPEC wametoa tamko lao wamepunguza kiasi cha uzalishaji wa mafuta kwa siku pipa million 2. Bado itakuwa ni faida kwa Russia! Bei elekezi haina maana kwa namna hiyo!

Hivyo huu mtanange kadri unavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kuwa faida kwa Russia. Kwa nini auwahishe kuumaliza wakati faida zaidi inakuwa kwake na EU uchumi wake unazidi kuporomoka?

Russia amewapa EU gas ndogo sana! Viwanda vikubwa vinafungwa, ni uchumi kuporomoka.

Ngoja niishie hapa nina majukumu mengine. Ila Russia ana clock na time kwenye huu mgogoro!

Ila kingine ambacho unachopaswa ujue: Nchi zilizopitia Ukomonisti au ujamaa zina uzalendo zaidi kuliko unavyofikiri. Raia wengi wamejitokeza kwa mapenzi yao kujiunga na jeshi baada tu ya kutangazwa. Na kwa nchi ya Russia kama hujui raia anapitia jeshini kama kwetu JKT. Walikataliwa ama kutokuwa na sifa ni wanafunzi waliyoko mavyuoni. Hawa ilitangazwa hawatoruhusiwa kujiunga katika jeshi inawabidi waendelee na masomo.
Umeandika theory nyingi humu huna tofauti na profesa majalala kwa ground mambo tofauti
Umejikalia zako kwenye gawha unajamba jamba humu
 
A typical
A typical Tanzanian....a lot of blah blah...no analysis but too much shouting....and no substance at all in regards to argument...
Mbona una hasira sana.
Uanao undugu na Putin wewe mrusi wa mchongo?🤔
 
Mbona una hasira sana.
Uanao undugu na Putin wewe mrusi wa mchongo?🤔
Niwe na hasira kwanini?!?! Halafu Putin anaingiaje hapa?!?! Watu makini hujadili issues na siyo mtu....ila ni kweli baadhi ya wenzetu humu wamekuwa brainwashed na vyombo vya habari vya magharibi wakidhani mgogoro wa Russia na Ukraine tatizo ni Putin ...no way ...Putin is just a reflection of millions of Russians ambao wana patriotism ya Hali ya juu...Ndiyo maana annexation ya majimbo hayo manne ya Ukraine imepitia ngazi zote na ambazo zimeunga mkono....
Ukisikiliza debate ya mgogoro huu ndani ya Russia you will enjoy it....
 
Mrusi WA mchambawima ,endelea Kuota hivyo hivyo , kama wameletwa spetnaz wamelambishwa mchanga wiki iliyopita we sijui unaongea rubbish gani ,aisee Ukraine mlidhania ni Burundi sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mashine zinakuja mtaona balaa lake kuanzia wiki ijayo mwishoni

Sema unachotaka, mnacho sahau ni kwamba "Ivan the terrible" si binadamu wa kuchukulia kimzaaa zaa hata kidogo - atakuja kuwashangaza wengi - nawakumbuseni kila mara kwamba Putin kapeleka wanajeshi 200,000 tu wa Urusi kwenda Ukraine - bado ana akiba ya wananajeshi karibu 2.3 millioni na zana zao nzito zaidi ambazo kaziweka kiporo kuwasubiri NATO/US wafanye fyoko - hapo ndipo mtatambua umahili wa jeshi la Urusi - msione hawasemi mengi mkadhani ni mbumbumbu - nyie subirini tu NATO/US wa-cross threshold walio jiwekea wao -patachimbika nawambieni - jamaa watatimka kushinda mbio walizo timuka huko VietNam,Kabul Afghanistan na Syria, likumbekeni sana hilo.
 
Bahati mbaya umeliangalia kwenye angle moja.

Hii vita imekusanya vita ya aina 2.
(1) Ni vita ya kuvunja unipolar system
(2) Ni vita ya kuvunja uchumi

Na gurudumu ya hayo ya juu ni hii SMO Russia anayoiendesha. Lengo la Russia ni hayo yote 2. Hivyo operation haiwezi kwenda haraka. Kwa vikwazo alivyowekewa Russia kwa short term hasara kwa Russia kwa long term ni faida kwa Russia. Kwa sababu Russia ina vitu ambavyo dunia inavihitaji. Kwa namna yoyote tu mtarudi kwake.

Aliwekewa vikwazo kwenye fertilizer wamerudi kwake na wananunua tani kwa tani. US bado ananunua Uranium kwa kiasi kikubwa Russia kwani ndipo uhai wa vinu vyake vya nuclear. EU wamemuwekea vikwazo kweenye gas haijapita muda wamerudi kwake na kuilipia kwa pesa ya Russia. Walimwekea vikwazo kwenye mafuta mpaka sasa hakuna watu wanaoongoza kununua mafuta Russia kama nchi zilizomwekea vikwazo.

Kwa kuona Russia anapata faida zaidi kwenye mafuta wakapanga kuweka bei elekezi kwa mzalishaji ambaye ni Russia. Jana OPEC wametoa tamko lao wamepunguza kiasi cha uzalishaji wa mafuta kwa siku pipa million 2. Bado itakuwa ni faida kwa Russia! Bei elekezi haina maana kwa namna hiyo!

Hivyo huu mtanange kadri unavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kuwa faida kwa Russia. Kwa nini auwahishe kuumaliza wakati faida zaidi inakuwa kwake na EU uchumi wake unazidi kuporomoka?

Russia amewapa EU gas ndogo sana! Viwanda vikubwa vinafungwa, ni uchumi kuporomoka.

Ngoja niishie hapa nina majukumu mengine. Ila Russia ana clock na time kwenye huu mgogoro!

Ila kingine ambacho unachopaswa ujue: Nchi zilizopitia Ukomonisti au ujamaa zina uzalendo zaidi kuliko unavyofikiri. Raia wengi wamejitokeza kwa mapenzi yao kujiunga na jeshi baada tu ya kutangazwa. Na kwa nchi ya Russia kama hujui raia anapitia jeshini kama kwetu JKT. Walikataliwa ama kutokuwa na sifa ni wanafunzi waliyoko mavyuoni. Hawa ilitangazwa hawatoruhusiwa kujiunga katika jeshi inawabidi waendelee na masomo.
Alafu kuna Choko raa mmoja yupo kwa mto gole anasema eti Russia sio Super Power Nation

Baelezee baelewe mkuu
 
Niwe na hasira kwanini?!?! Halafu Putin anaingiaje hapa?!?! Watu makini hujadili issues na siyo mtu....ila ni kweli baadhi ya wenzetu humu wamekuwa brainwashed na vyombo vya habari vya magharibi wakidhani mgogoro wa Russia na Ukraine tatizo ni Putin ...no way ...Putin is just a reflection of millions of Russians ambao wana patriotism ya Hali ya juu...Ndiyo maana annexation ya majimbo hayo manne ya Ukraine imepitia ngazi zote na ambazo zimeunga mkono....
Ukisikiliza debate ya mgogoro huu ndani ya Russia you will enjoy it....

Mkuu husipoteza precious time yako ukijaribu schooling some adamant nembers ambao main stream media za magharabin zilisha wachota akili miaki mingi tu iliyopita.
 
hizo ulizozitaja ni sifa zako ww ambaye mpaka leo hujui nchi ambayo/ambazo ni super power
Tumia google vizuri.
Ushaelewa nilichoandika wewe baki na Google yako mimi ntabaki na nnachokijua na kukitambua, narudia tena RUSSIA THE SUPER POWER NATION
 
Niwe na hasira kwanini?!?! Halafu Putin anaingiaje hapa?!?! Watu makini hujadili issues na siyo mtu....ila ni kweli baadhi ya wenzetu humu wamekuwa brainwashed na vyombo vya habari vya magharibi wakidhani mgogoro wa Russia na Ukraine tatizo ni Putin ...no way ...Putin is just a reflection of millions of Russians ambao wana patriotism ya Hali ya juu...Ndiyo maana annexation ya majimbo hayo manne ya Ukraine imepitia ngazi zote na ambazo zimeunga mkono....
Ukisikiliza debate ya mgogoro huu ndani ya Russia you will enjoy it....
True say, tell them wakuelewe hawa mbumbumbu wazungu wa reli, hawaelewi wanafuata mihemko yao tu
 
Andaa domo kujaa inzi hilo maana utaliacha wazi kichapo kikianza
Imeisha hiyo
FB_IMG_1665062976465.jpg
 
Ushaelewa nilichoandika wewe baki na Google yako mimi ntabaki na nnachokijua na kukitambua, narudia tena RUSSIA THE SUPER POWER NATION, gay mmoja wahi US ukapakuliwe
-hicho unakitambua ww kwa uelewa wako ww ambao ni uelewa wa kiwango cha chini
- unatumia matusi kama mbinu ya kujenga hoja, jipange utumie akili kwemye mambo ya kutumia akili, kama mambo ya kutumia akili huyawezi achana nayo.
 
Sema unachotaka, mnacho sahau ni kwamba "Ivan the terrible" si binadamu wa kuchukulia kimzaaa zaa hata kidogo - atakuja kuwashangaza wengi - nawakumbuseni kila mara kwamba Putin kapeleka wanajeshi 200,000 tu wa Urusi kwenda Ukraine - bado ana akiba ya wananajeshi karibu 2.3 millioni na zana zao nzito zaidi ambazo kaziweka kiporo kuwasubiri NATO/US wafanye fyoko - hapo ndipo mtatambua umahili wa jeshi la Urusi - msione hawasemi mengi mkadhani ni mbumbumbu - nyie subirini tu NATO/US wa-cross threshold walio jiwekea wao -patachimbika nawambieni - jamaa watatimka kushinda mbio walizo timuka huko VietNam,Kabul Afghanistan na Syria, likumbekeni sana hilo.
Hakuna lolote labda awalete wachinjwe na Himars Tu basi na kuchomwa mishkaki na vijana WA Azov battalion ,Maana wanatembeza kipondo hao si poa .Muulize huyo mnywa ulanzi wenu Putin habari anayo
Na wale makomando uchwara wenu na Ile misululu ya km 70 kuelekea Kiev sijui ilishia wapi ,yaani nikikaa na kukumbuka nacheka Sana , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine vifaru ,malori , makomando kipensi , dah halafu kipindi like hata Himars hazikuwepo pale Ukraine , Imagine javellins Tu zikawaponda ponda kama nyanya mbichi mkapoteana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi ni kilaza hata alete jeshi lake Zima pale wanachinjwa kama kuku nakwambia . Huwezi kuwa na jeshi la watu wapuuz ,undisciplined wanaiba washing machines ,nguo na vyakula wanapakia kwenye malori halafu unasema Una jeshi ,lazima uwe kichaa mwenye kamasi kichwani .

Jeshi ambalo halina strategy wala logistics za kueleweka ,linaendeshwa kama mgambo , na hii mentality ya kusacrifice watu kwenye battle field bila strategy na logistics za kueleweka ndio iliyosababisha Russia kupoteza wanajeshi wengi hata WW2 dhidi ya Nazi Germany ,kuna kipindi mpaka walikuwa wanaishiwa mpaka vitu bafic kama risasi na chakula ,wanakula mizoga ya farasi waliofia battle front ,too bad hawajabadilika mpaka leo na kuendana na modern military strategies ,yaani hii vita imeexpose weakness nyingi Sana za wale wanamgambo WA Russia ,hamna kitu pale .

Vita ni actions ,plans ,strategies na logistics si bla bla bla za kipuuz kama za hao wanywa gongo wenu toka Urusi
 
Inatubidi tufahamu sheria na taratibu za Urusi zipoje: Kwa nilivyofuatilia kwa juu juu nimeona rais anasaini makubaliano kisha yanapelekwa Duma kisha federation huko kote wanaidhinisha majimbo kukubaliwa ndani ya Urusi kwa kuangalia na kukipitisha kile rais alichokiwasilisha. Kikipita kote huko rais anasaini rasmi hayo majimbo kukubaliwa na hivyo kwa mujibu wa sheria zao yanakuwa rasmi chini ya nchi ya Urusi.

Na kitendo hiki cha majimbo yaliyopiga kura kujiunga na nchi ya Urusi yameidhinishwa leo na rasmi leo yamekuwa ndani ya federation ya Urusi.

Suala la Urusi kuacha maeneo mkuu wa majeshi wa Israel kalizungumzia kwa ufafanuzi: Russia imeivamia Ukraine kwa kutumia askari 200,000. Nchi ambayo ya pili kwa ukubwa barani Ulaya. Majimbo aliyoyakamata ni makubwa ni kama nchi ya Portugal na mengine kama nchi ya Belgium. Huwezi kulinda eneo kubwa kama hilo kwa askari wachache hao wakati Ukraine ana askari wengi. Hili ndilo linalomgharimu Urusi mpaka anafanya partial mobilization nchini mwake.

Hili suala kwa ukraine imekuwa ni advantage yenye disadvantage: advantage ni kwamba kwa kugundua Russia wapo wachache wao eneo moja wanaenda na askari wengi. Ikiwa piga nikupige Urusi lazima irudi nyuma kwa sababu Ukraine inashambulia kwa kutumia askari wengi. Na ikiwa wanakiendea kijiji walipo Urusi itamfanya Urusi arudi nyuma kwa sababu kwa wingi wao na wao wanazana za kivita na kiidadi wamewazidi wanajeshi wa Urusi kwa Ukraine inakuwa ni rahisi kuweza kuwazunguka na kuwaweka kati Urusi.

Ili kuepuka kuwekwa kati Mrusi ana retreat mapema anaviacha vijiji wazi kwa kurudi nyuma na kukusanya askari wa kutoka maeneo mengine wawe wengi na kutengeneza safu ya ushambuliaji mpya itakayoweza kuendana kukabiliana na wengi wa Ukraine.

Disadvantage kwa Ukraine ni kuwa: Wanapata hasara ya askari na vifaa! Askari wao wanauliwa wengi kwa kuwa askari wa Urusi defensive line yao ni wachache wao Ukraine wanaenda wengi wote kwa wakati mmoja kwa msururu kwa sababu wanajua wamewazidi kiidadi hivyo wengine wakifa wengine ni lazima watawafikia tu. Na ndiyo maana wakifanya offensive wanaweza wakapata kijiji lakini idadi ya wanajeshi wanaokufa inafika mpaka 2000 kwa siku 2.

Sasa hili suala lililofanyika leo kutambuliwa hayo majimbo kama sehemu ya Urusi ni suala ambalo lipo wazi ni kuwa Urusi sasa imevamiwa yeye. Hivyo nguvu itakayotumia ni tofauti na nguvu iliyotumiwawakati wakiivamia Ukraine kwa sababu kipindi wanavamia Ukraine nchi yao ilikuwa safe kwa sasa hapana! Hivyo Urusi kwa wakati huu ina uwezo wa kusogeza wanajeshi wake wa ndani kwa wingi na kutumia jeshi lake la anga na ardhini kwa ufanisi mkubwa kwa sababu kwa sasa Urusi imevamiwa sio tena Ukraine. Na ndiyo maana wachambuzi wanasema askari wa Ukraine waliyopo kwenye hayo majimbo wana mawili: watatangaziwa na jeshi la Urusi waondoke na warudi kwenye nchi yao. Wakikataa kitakachofanyika ni Urusi kutangaza CTO na si tena SMO. Na CTO ni mbaya zaidi kuliko SMO.
Uchambuzi mzuri

Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom