Hakuna lolote labda awalete wachinjwe na Himars Tu basi na kuchomwa mishkaki na vijana WA Azov battalion ,Maana wanatembeza kipondo hao si poa .Muulize huyo mnywa ulanzi wenu Putin habari anayo
Na wale makomando uchwara wenu na Ile misululu ya km 70 kuelekea Kiev sijui ilishia wapi ,yaani nikikaa na kukumbuka nacheka Sana , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine vifaru ,malori , makomando kipensi , dah halafu kipindi like hata Himars hazikuwepo pale Ukraine , Imagine javellins Tu zikawaponda ponda kama nyanya mbichi mkapoteana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi ni kilaza hata alete jeshi lake Zima pale wanachinjwa kama kuku nakwambia . Huwezi kuwa na jeshi la watu wapuuz ,undisciplined wanaiba washing machines ,nguo na vyakula wanapakia kwenye malori halafu unasema Una jeshi ,lazima uwe kichaa mwenye kamasi kichwani .
Jeshi ambalo halina strategy wala logistics za kueleweka ,linaendeshwa kama mgambo , na hii mentality ya kusacrifice watu kwenye battle field bila strategy na logistics za kueleweka ndio iliyosababisha Russia kupoteza wanajeshi wengi hata WW2 dhidi ya Nazi Germany ,kuna kipindi mpaka walikuwa wanaishiwa mpaka vitu bafic kama risasi na chakula ,wanakula mizoga ya farasi waliofia battle front ,too bad hawajabadilika mpaka leo na kuendana na modern military strategies ,yaani hii vita imeexpose weakness nyingi Sana za wale wanamgambo WA Russia ,hamna kitu pale .
Vita ni actions ,plans ,strategies na logistics si bla bla bla za kipuuz kama za hao wanywa gongo wenu toka Urusi