Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

kama ni misaad western inatoa mingi sana kuliko urusi, kwenye budget support kila mwaka western countries zinasaidia Africa na nchi zingine za dunia, budget ya afya ya Tz kwa zaidi ya 60% inafadhiliwa na wahisani halaf urusi wakati wa vita ya idd amin na Tz si ilikuwa ikimsupport idd amin?
Kwa sababu nduli alikuwa na vinasaba vya kidikteta,russia mbwa kabisa.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Kupigana wapigane wengine na kwengine kabisa nyie mlalamike njaa
Hii SMO imekuja mahsusi ili mjitambue mkishindwa kujitambua hapa musahau kama mutakuja kujitambua tena
Yaani hao wanaopigana hawaliilii njaa kama ninyi
Wenzenu wanapigana kwamaslahi yao nyie kelele na laana zenu hazitasaidia kitu wala hazitaleta matokeo yeyote
Mnalaumu wanaowaongoza kwakutokujua ama kutojitambua
Laana zenu hazitaifikia RUSSIA wala tunaoisapoti hizo ama hayo maneno yamfa maji tuuuu
Mwisho:-tunaunga mkono SMO ya RUSSIA kwanguvu zote na Mungu asimame nao wazidi kufanikisha malengo yao haraka iwezekano eeeh Muumba wasaidie RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app

Japo Warusi sio watu wa akbar akbar takbir, mnatofautiana kwenye imani...
 
Kila siku nawakumbusheni VietNam na Afghanistan lakini mnajifanya kusahau/puuzia, masaa yote mnaikandia Urusi as if iliwahi kumiliki makoloni Barani Afrika au kumiliki black slaves unlike the US and European Nations, Warusi walisaidia sana mataifa mengi ya Africa kujikomboa dhidi ya utawala wa ukoloni hilo wala hamlikumbuki.
Utumwa ulifanyika duniab kote , kutoiona urusi kweny elimu yako isikutie uchiz kuhis hawakufanya utumwa , Utumwa ilikuwa ni lifestyle ya zama hizo sabab viwanda havikutegemea mashine za umeme ( kisasa ) angaliaga hata muvi zao huko Asia na Ulaya zinaelezea vzr tu .Nimeamua kukujib hiyo hoja ila hoja zilizobakia majibu unayo
 
Hao wenye dunia yao wanawatoa watu kafara kwa manufaa yao....kumbe hadi wazungu wajinga tu
wamuachie andunje kuturudisha zama za ukoloni tulizotoka ? yaan mtu avamie na aigeuza ardhi ya wengine iwe sehen yake , wanaosapoti hii ni yale ma primitive mazuz
 
Ni akili hauna au? Ukraine Hana uwezo wake kupigana na Russia ..inamaana huoni misaada ya wazi wazi anayopewa
ulitaka dunia ikae pemben kuona Urusi anavyourudisha ukoloni kweny karne ya 21 ? mnaoshabikia Putin wengi wenu upeo wenu ni mfupi sana hamuoni mbali , ukolon ulianza hv hv mmoja kaja Afrika kajimegea mwingine kaja na mwingine then wakakaa kikao kutugawa
 
Usichokijua ni kuwa kwenye base za za russia nchini syria kuna S400 na kama unavyoijua iyo air defence inadaka adi mchele sasa iyo s300 tumeitoa apo syria kwakuwa tayari mission completed hakuna tena tishio la kutolewa assad madarakani
anamlinda Assad kwa maslai gan ? ya wananchi wa Syria au ya wananchi wa Urusi ? Hlf mvaa kobaz mweny ngoz ya .... yupo bize kumshabikia Huyu Andunje
 
Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea....

AA11aRiM.img

Satellite imagery confirmed Russia redeployed an S-300 surface-to-air missile (SAM) system from Syria, and observers believe the battery is already in transit through the Black Sea to support Russia’s war in Ukraine.
This battery, in particular, arrived in 2018 and was something of a gift to Syrian strongman Bashar Al Assad. It was declared a much-needed upgrade of Syria's ancient, and in some cases dangerous, air defense system. It was not located at Russia's airbase south of Latakia or its prized naval port in Tartus, multiple advanced air defense systems remain at these locations protecting Russian interests. Instead, it sat inland and was supposed to protect critical Syrian targets. While it was claimed to be a Syrian system, in the years that have passed, it became clear that Russia retained control of it. Now Moscow appears to have taken its 'gift' back and shipped it off to the Black Sea.
Hahaha kwa hiyo kila kilichoandikwa kwa kiingereza unaamini ?
Ni sawa na kusema Kiwanda cha Samsung kaishiwa na simu ya kutumia kaja kukunyang'anya S5 yako hahaha
 
Kupigana wapigane wengine na kwengine kabisa nyie mlalamike njaa
Hii SMO imekuja mahsusi ili mjitambue mkishindwa kujitambua hapa musahau kama mutakuja kujitambua tena
Yaani hao wanaopigana hawaliilii njaa kama ninyi
Wenzenu wanapigana kwamaslahi yao nyie kelele na laana zenu hazitasaidia kitu wala hazitaleta matokeo yeyote
Mnalaumu wanaowaongoza kwakutokujua ama kutojitambua
Laana zenu hazitaifikia RUSSIA wala tunaoisapoti hizo ama hayo maneno yamfa maji tuuuu
Mwisho:-tunaunga mkono SMO ya RUSSIA kwanguvu zote na Mungu asimame nao wazidi kufanikisha malengo yao haraka iwezekano eeeh Muumba wasaidie RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
ukute unaish kwa shemej yako
 
Nadhani Habari yako si kweli kwasababu Russia sasa kashusha mzigo S 500 ambayo ni new technology hawezi kujiangaisha na S 300 ambayo ni technology ya zamani.

View attachment 2337268
Hii haijaingia kwenye Combat ndio kwanza inatengenezwa.Na kutokana na vikwazo huenda zoezi lisikamilike🤔
 
ulitaka dunia ikae pemben kuona Urusi anavyourudisha ukoloni kweny karne ya 21 ? mnaoshabikia Putin wengi wenu upeo wenu ni mfupi sana hamuoni mbali , ukolon ulianza hv hv mmoja kaja Afrika kajimegea mwingine kaja na mwingine then wakakaa kikao kutugawa
Nasikitika mtu alikuweka miezi Tisa tumboni Toto limezaliwa Hadi linajua ingia jf ni kilaza zero brain, ..hujielewi marekani kaua wangapi , marekani kafanya mangapi umeona urusi tu unajua chanzo ni nini ? Embu kakue Kwanza ..ungefanyiwaga tu abortion wewe huna faida
 
Kupigana wapigane wengine na kwengine kabisa nyie mlalamike njaa
Hii SMO imekuja mahsusi ili mjitambue mkishindwa kujitambua hapa musahau kama mutakuja kujitambua tena
Yaani hao wanaopigana hawaliilii njaa kama ninyi
Wenzenu wanapigana kwamaslahi yao nyie kelele na laana zenu hazitasaidia kitu wala hazitaleta matokeo yeyote
Mnalaumu wanaowaongoza kwakutokujua ama kutojitambua
Laana zenu hazitaifikia RUSSIA wala tunaoisapoti hizo ama hayo maneno yamfa maji tuuuu
Mwisho:-tunaunga mkono SMO ya RUSSIA kwanguvu zote na Mungu asimame nao wazidi kufanikisha malengo yao haraka iwezekano eeeh Muumba wasaidie RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda muumba mikunduh.
 
Back
Top Bottom