Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

Kataarifa ka blog fkan ya uchochoroni huko, kama ni hivyo anga lote la Syria lingekuwa limefunikwa na vivuli vya ndege za Israel 😅😅😅 madude yoote haya akachuku vidude viwili tu vya Syria?
 
Attachments

  • 20220829_125246.jpg
    151 KB · Views: 2
Sio kila mzee anabusara wengine wapumbavu
 
Kataarifa ka blog fkan ya uchochoroni huko, kama ni hivyo anga lote la Syria lingekuwa limefunikwa na vivuli vya ndege za Israel [emoji28][emoji28][emoji28] madude yoote haya akachuku vidude viwili tu vya Syria?
Umeleelewa maana ya total production?! Hapo ni jumla ya systems zote ambazo zilitengenezwa,zipo Russia pamoja na nchi nyinginezo ikiwemo za NATO.
 
Sijapotea njia nimemshauri mambo ya nchini mwake ambayo bado ni international issues
unajua kwann platform zimetofautishwa ? au unahis wajinga walioamua kuitenga hii platform
 
hujion ulivyo chiz , yaan matukio ya marekan ndo kibali cha nchi nyingine kuua raia wema ? ungekuwa timamu ungetoa sabab za msingi kumtetea Urusi , kuitaja Marekan inaonesha ni ukichaa grade 1 yaan marekan wakifiran@ na nyiny mtafiran@?
 
Hao wasirane wasisirane wewe bado utaendelea sirwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…