Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

Kuna muda flani humu Hawa ProNato ni tatizo,,Haelewi au hajui kuwa Uikrane kwenye nchi za ulaya kijeshi anawagalagaza isiokua nchi mbili na USA.Anasimama eti Uikrane Hana jeshi,mtu kama huyu huko shuleni mwl alikua na kazi ngumu sana,,,,,sijui nataka sema nn yaani hajui na anachangia asichokijua kypotosha watu.Hili jukwaa tunaelimika humu wao wanaharibu.
Ingawa kila mmoja anauhuru wa kumtoa maoni kwa hili halivumiliki.
Tulikubaliana humu shule zishafunguliwa waende naona bado wapo.
 
Urusi wa kuishiwa siraha?[emoji1787][emoji1787]
pepsi.jpg
 
Mataifa mengine ni baraha kwa propaganda, wanadiriki hata kueatisha sumu Africa kuwa Urusi ameishiwa siraha, pia Vita vya Siku 8 Georgia walisema ameishiwa siraha, hata Syria, Leo hii anaendesha mafunzo na Mataifa ya kikanda anatumia siraha.
Siwaelewi kabisa.

Nilipo wavulia kofia ni pale walipo waonga baadhi ya Viongozi wa Afrika na wengine wa third World kwamba wawa support katika upigaji kura kwenye umoja wa Mataifa kuiwekea/kuwashutumu Warusi kuhusu suala la Ukraine, viongozi walio kataa kusupport malengo ya USA walipigiwa simu baadae na kutishiwa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi,kunyimwa visa na kusitishwa misaada ya maendeleo - walitishwa kweli kweli!! Lakini wakiwa mbele ya jukwaa ya Umoja wa mataifa wanajidai ni ma custodian wa Demokrasia na haki za binadamu -ulaghai mtupu.
 
Kuna muda flani humu Hawa ProNato ni tatizo,,Haelewi au hajui kuwa Uikrane kwenye nchi za ulaya kijeshi anawagalagaza isiokua nchi mbili na USA.Anasimama eti Uikrane Hana jeshi,mtu kama huyu huko shuleni mwl alikua na kazi ngumu sana,,,,,sijui nataka sema nn yaani hajui na anachangia asichokijua kypotosha watu.Hili jukwaa tunaelimika humu wao wanaharibu.
Ingawa kila mmoja anauhuru wa kumtoa maoni kwa hili halivumiliki.
Tulikubaliana humu shule zishafunguliwa waende naona bado wapo.
90% ya siraha za Ukraine walichukua Moscow baada ya USSR kuvunjika

Labda wewe ututajie Ukraine anamiliki siraha gani za kisasa?
 
Kama us alipigana na taliban miaka kibaaani na kakimbia vita wakati talibani hawatengenezi silaha haitishii kua urusi kuishiwa silaha atanunua kama talibani adi west waombe poo, wakigoma kuomba poo wanarushiwa la nyuklia kama japani mchezo unaishia hapo.
 
Wakati huo anarusha nyukria wenzie watakua wakimcheki tu huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635] sio?
 
Wakati huo anarusha nyukria wenzie watakua wakimcheki tu huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635] sio?
Kwani west wana akili sasa, wao wanapelekeshwa na us, urusi anagombana na jirani na ndugu yake wao wanawashwa nini?
 
Bora anayeishiwa maana tunajua alikua nacho kuliko anaye ngojea misaada kutoka kwa mabeberu. Tena ikichelewa analalamika kama mtoto.
sasa Ukraine ni level moja na Urusi ? Ukraine aombe na Urusi aombe pia , hlf baada ya hapa mtakuja kusema Urusi ni superpower anaeza ipiga Ulaya yote , nyiny watu akili kisoda
 
Yaani kwa akili zako timamu na ukiwa hujalewa unaweza amini huo upuuzi wa Washington Post?
Yaani wana intelligence gani ya kujua arsenal za Russia? kama kaishiwa silaha watie mguu waone
walipokuambia Urusi itavamia ukraine mlisema propaganda pia , tena huyo andunje alikanusha hadharan
 
Urusi anapambana na anaamini operesheni yake ni lazima itimie. Je. Ukraine na washirika wake wamejipangaje?
 
90% ya siraha za Ukraine walichukua Moscow baada ya USSR kuvunjika

Labda wewe ututajie Ukraine anamiliki siraha gani za kisasa?
USSR ilikuwa ni URUSI na ndiye aliyekuwa mtawala hivyo baada ya kusambaratika kila mtu alibaki na chake. Suala ya kusema Urusi kuchukua silaha za UKRAINE huo ni mtazamo wako.
 
Mwambie tu sio siraha za UKRAINE bali URUSI alichukua asilimia 80% ya siraha zote za muungano wa SOVIETY. Sasa inabidi apige hesabu kama mwaka 1990 Soviety alikuwa na jumla ya izo siraha.je asilimia 80% ya izo siraha ni ngapi ili upate jibu kuwa URUSI yupoje kwenye siraha.

55,000 tanks, including 4,000 T-80, 10,000 T-72, 9,700 T-64, 11,300 T-62, 19,000 T-54/55, and 1,000 PT-76.

70,000 armored personnel carriers, including BTR-80, BTR-70, BTR-60, BTR-D, BTR-50, BTR-152, and MT-LB.

24,000 infantry fighting vehicles, including BMP-1, BMP-2, BMP-3, BMD-1, BMD-2, and BMD-3.

3,500 BRDM-2 and BRDM-1 reconnaissance vehicles.

33,000 towed artillery pieces, including 4,379 D-30, 1,175 M-46, 1,700 D-20, 598 2A65, 1,007 2A36, 857 D-1, 1,693 ML-20, 1,200 M-30, 478 B-4 howitzers and D-74, D-48, D-44, T-12, and BS-3 field/anti-tank guns.

9,000 self-propelled howitzers, including 2,751 2S1, 2,325 2S3, 507 2S5, 347 2S7, 430 2S4, 20 2S19, 108 SpGH DANA, ASU-85, and 2S9.

8,000 rocket artillery, including BM-21, 818 BM-27, 123 BM-30, 18 BM-24, TOS-1, BM-25, and BM-14 multiple rocket launchers.

Scud, OTR-21 Tochka, OTR-23 Oka, and 9K52 Luna-M tactical ballistic missiles.

1,350 2K11 Krug, 850 2K12 Kub, 950 9K33 Osa, 430 9K31 Strela-1, 300 Buk missile system, 70 S-300 (missile), 860 9K35 Strela-10, 20 Tor missile system, 130 9K22 Tunguska, ZSU-23-4, and ZSU-57-2 army air defense vehicles.

12,000 towed anti-aircraft guns, including ZU-23-2, ZPU-1/2/4, 57mm AZP S-60, 25mm 72-K, 61-K, 52-K, and KS-19.

4,300 helicopters, including 1,420 Mi-24, 600 Mi-2, 1,620 Mi-8, 290 Mi-17, 450 Mi-6, and 50 Mi-26, 6 experimental Mi-28 and 2 Ka-50

90% ya siraha za Ukraine walichukua Moscow baada ya USSR kuvunjika

Labda wewe ututajie Ukraine anamiliki siraha gani za kisasa?
 
Mkifata bifu la URUSI na MAREKANI mnaweza mkambiwa vitu vingine ambavyo kwa mtazamo wa kawaida unaona haiwezekani.URUSI akitaka kununua siraha ataenda CHINA,huyo North korea yeye kawekeza kwenye Nuclear ila siraha zingine sio mtengenezaji mkubwa ndo maana muda mwingine mnaona kombola linavutwa na trekta wakati kuna magari spesho ya kubebea kombola,leo hii Mrusi akanunue siraha kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ebu MAREKANI mtushushe jamani
 
Back
Top Bottom